The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

... Ya kwamba umoja wa mataifa, umoja wa ulaya pamoja na baraza la usalama la umoja wa mataifa WAMECHUKUA HATUA KALI NA ZA HARAKA SANA KTK KUJIANDAA KUIVAMIA LIBYA. HATUA HIZI ZILIZOCHUKULIWA NI SAWA NA KUZIDHARAU NCHI ZA KIAFRIKA BALI KUDHARAU AU-SECURITY COUNCIL KUTATUA MAMBO YA NDANI MWA BARA HILI. Kwamba ILIKUWAJE UN HAWAKUIVAMIA RWANDA KIPINDI CHA GENOCIDE? Kwamba nchi za kiafrika zinaouwezo wa kutatua mambo yake kwani 'zinajuana' na 'zinatambua' jinsi ya kushughulikia mambo ya ndani mwa bara hili. Mfano baraza la usalama la AU limefaulu kushughulikia mambo yake ya ndani mfano ukiwa ni MAURITANIA, COMMORO, LESOTHO, ZIMBABWE JUU YA UMOJA WA KITAIFA etc. Ya kwamba UN,USA & EU mbona hawamalizi matatizo ya somalia na hawapeleki manowari za kijeshi mogadishu? Jibu ni MAFUTA YA LIBYA, KWAMBA HAIKUWA NA BIASHARA NZURI NA MAGHARIBI JUU YA MAFUTA YAKE. Zaidi ni IWAJE MALKIA WA UINGEREZA YUPO KWA MIAKA 50 LAKINI HAKUNA KUPIGIWA KELELE? Wachambuzi wamehitaji Libya iachiwe itatue mambo yake yenyewe na AU ifanye kazi yake na si hao wamagharibi. Ya kwamba uvamizi utazua vita na machafuko waliyoyataka wenyewe, na kwamba 40% HAWAMTAKI MUAMMAR huku 60% WAKIMTAKA MUAMMAR,, hali hiyo inapelekea ugumu wa kiongozi wa Libya kuachia ngazi.

Source: BBC SWAHILI PROGRAM 02/03/2011, evening session.
 
Gaddafi forces had moved into eastern areas for the first time since towns there fell to protesters two weeks ago.

The BBC's John Simpson in Brega says it seems clear of loyalist troops.

Earlier Col Gaddafi said on TV he would "fight until the last man and woman" and warned that thousands of Libyans would die if Western forces intervened.

Our correspondent has been to the seashore and the university, where the heaviest fighting took place, and they appear entirely clear of Gaddafi troops.

He says a senior rebel officer had suggested the Gaddafi troops might have run out of ammunition and been forced to withdraw.

The excited rebels appeared very proud of what they had achieved, our correspondent says, and the feeling in the town is that Col Gaddafi's men do not necessarily have their hearts in the job.

Firing could still be heard but our correspondent was assured it was just victory shots.


A Libyan air force plane did recently drop one bomb nearby, he says, but the attempt by Col Gaddafi to move on the eastern rebel-held areas appears for now to have been repulsed.

The government forces had taken an oil facility at Brega at dawn but rebels later said they had struck back.

Rebel spokesman Mustafa Gheriani accused Col Gaddafi of "trying to create all kinds of psychological warfare to keep these cities on edge".

Medical sources in Brega told BBC Arabic that 14 people had been killed in the fighting.
BBC
 
Hata waarabu nao hawampendi na wanataka aondoke pia! Kuwa na viongozi wa aina ya Gaddafi ni makosa makubwa kwa taifa na mataifa mengine hata style aliyoingilia madarakani ilikuwa ya mapinduzi ya kijeshi na jamaa hakutengeneza katiba na kila mtu aliyeonekana threat kwake aliuwawa! Kwa kifupi ni lazima atolewe kwa nguvu tu!!!!!!!
 
Nadhani Libya wanahitaji rais. Yeye kasema sio rais ila ni mwanamapinduzi.
 
Lakini jamani si aondolewe na watu wake wa Libya? - kuna haja gani ya hawa mabepari kutaka kuingilia kijeshi? Si watategemea malipo fulani?
 
Kuna kila dalili za vita chafu hapo mashariki ya kati, NA ITASAMBAA ZAIDI KWA IMANI. Somalia hawapo mbali nasi, watatusogelea tena kwa mitumbwi tu. Harufu ya midle east kwa sasa ni mbaya sana KIUJUMLA.
 
The only option ni kumwondoa kwa nguvu. Gadafi lazima aondoke na hakuna taifa lolote--liwe la kizungu au kiarabu--linaloweza kuzuia. Mwangalie huyo jamaa, amejitokeza sana public jana na leo..huyo siyo kiongozi ila ni dictator!!
Hana chembe ya utu..

Ni kweli Gadaff amechokwa, lakini inatakiwa aondolewe na wananchi wake kama ilivyokua kwa Mubarak na Ben Ally. Na sio kuondolewa kwa nguvu na majeshi ya kigeni. Na kama kuondolewa kwa nguvu basi anatakiwa kuondolewa na UN or African Union. Ina maana Gadaffi amefanya nini cha hajabu zaidi ya Lauren Gabgo wa Cote d'Ivoire? Hao wavamizi(USA,UK) waanze kwanza kumg'oa Gabgo ambaye ambaye amekataa matokeo halali ya uchaguzi.
 
Majeshi ya UN au AU kuingilia ni sawa lakini sio UK au US as independent nations.hilo halikubaliki na halina justification kwa namna yoyote ile.
 
Keshaua sana. Watu elf 6 si mchezo. Hata namuona mubarak ni mtakatifu. Wakiachwa wananchi wamtoe atawamaliza
 
Nadhani hapa hakuna cha udini! Kama kweli anaamini kwamba anapendwa kwa nini awashambulie watu wake kwa ndege? Nadhani jamaa huyu anaweweseka kama vile anakaribia kufa, na hakika ataondoka kwenye kiti chake cha miaka 42!
 
Watu elfu sita umesikia wapi? Hizo zote propaganda tu. As much as simpendi Gadafi lakini aachwe aondolewe na watu wake wenyewe. Lini tutajifunz akwa yaliyotokea Iraq? Kiongozi kuondolewa na taifa la nje inaleta resentment kubwa ambayo inayumbisha nchi.

Onyo wanaotaka kumtoa Gadaffi wakishindwa atawanyonga wote. The guy is ready to die, haondoki Libya na atapambana mpaka mwisho. Mabeberu wakianza kupenyeza silaha na kumsupport yatakuja yale yale ya Taliban waliotumiwa kug'oa Warusi wakarudi kudeal na aliyewasaidia in the first place.

Africa ina washenzi wengi tu we should not have double standards when dealing na watu wajinga wajinga.

Grrh!!!
 
Lets face it Ghaddafi isn't going anywhere.
 
Arab League says could impose Libya "no fly" zone

02_AA31.jpg
Amr Moussa
Wed Mar 2, 2011 5:46pm GMT

CAIRO, March 2 (Reuters) - The Arab League said on Wednesday it could impose a "no fly" zone on Libya in coordination with the African Union if fighting continued in the north African state, Secretary-General Amr Moussa said on Wednesday.

"The Arab League will not stand with its hands tied while the blood of the brotherly Libyan people is spilt,"
Moussa said.

One of the steps it could take would be to enforce a "no fly" zone in cooperation with the African Union, he said.

The Arab League has suspended the membership of Muammar Gaddafi
's government in protest at its crackdown on protesters who have risen up against his rule.

Source:
 
COLONEL ALINIFURAHISHA SANA ALIPOKUWA AKISEMA ZE PIPO LOFE KADAFI ZEY LOFE ME ZEA R NO DEMONSTRATIONS INI STRITS

kIUKWELI THEY GUY IS TORN AND I THINK THE WORLD DOESNT NEED THESE KIND OF LEADER IN THIS ERA OF DEMOCRACY WHERE PEOPLE WANTS TO FEEL THE TRUE DEMOCRACY WHERE THEY ELECT LEADERS WHO WORKS FOR THEM AND WHO CAN BE ANSWERABLE WHEN NECESSARY NA SIO WANANCHI PEKEE NDIO WANAWAJIBISHWA WANAPOKOSEA ,.......
 
hAPO hakuna cha Alqaeeda wala USA, tatizo liko kwa Ghadafi wenu huyo,
si wananchi wote hawamtaki na si wannchi wote wanaomtaka.
Ila kwa ujumla ni kwamba wananchi wengi wameshamchoka.
Hivi mbana ninyi kila kitu ni kusingizia USA tu??

wewe amini unachoamini na kufahamu na sisi tuachie tuendelee kuamini tunachofahamu.....hatulipwi kuisingia USA wala kumtetea Gadaffi,hii ni forum tunabadilishana mawazo na ku=share tunavyoona mambo......kwanini marekani inasaidia mapinduzi kwenye nchi zenye mafuta tu?
 
Kwa nini hao UN na EU wasiende kwa Bgabgo Ivory coast? kuna kitu kimejificha Libya hatukijui.
 
Kwa nini hao UN na EU wasiende kwa Bgabgo Ivory coast? kuna kitu kimejificha Libya hatukijui.

Hata mi napinga kuwa na double standards ktk mashirika tunayoyaamini kuwa na double stnds, mbona UN au AU hazfanyi ivo kwa obvious cases km Kodivwaa, Zim, Tz? Lkn pia, hata hao US&UK mbona wanariakt tu penye maslah. Na hii ndo chanzo cha hasira za Arab states/League...wanaagyu kuwa West wanasingzia mengine km extrimism&ugaid wkt wanataka kuaksess resources zao. Km tu ilivo apa kwetu, waislam kulaumu serkal na wakristo kwa hali yao ya maendleo na wakristo kuona waislam km tishio la amani kwa wao kudai fursa sawa! Nadiagnose tu wajameni.
 
Wao wanataka mafuta tuu...Libya wana produce 1.45 million barrels a day tofauti na Saudi (8 mil) na wana reserve ya 400 billion!

mbona hawaendi kwa bgabo? wanafik! Iraq nyingine oil price zita shoot up ile mbaya!
 
Back
Top Bottom