Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Mkuu nionavyo mimi ni kwamba utawala wa Gaddafi sasa ni kwishnehi. Jamaa harudi madarakani tena. Iliyobaki tungojee yajayo kwa Libya, mazuri au mabaya. Na hilo ni swala jingine!Ukweli ni upi? maana mie mpaka nashindwa kutambua yupi tumwamini
Mkuu Askari KanzuHillary Clinton amtakia kifo Kanali Gaddafi!
"We hope he can be captured or killed soon so that you don't have to fear him any longer," Clinton told students and others at a town hall-style gathering in the capital city.
Until now, the U.S. has generally avoided saying that Gadhafi should be killed. U.S. officials usually say they want to see him brought to justice, something Clinton also said during her daylong visit.
"I am proud to stand here on the soil of a free Libya," Clinton said. "The United States was proud to stand for you in your fight for freedom and we will continue to stand with you as you continue this journey."
"Now the hard part begins," Clinton said, heading into a meeting with the transitional leaders.
Yahoo News
Hiyo sio kitu kipya. Na ukiangalia vizuri utatambua uchambuzi huo umefanywa na wazungu (haujakamilika)!...Katika pita pita nimekutana na hii kitu. Leonor en Libia: EEUU expande si cooperación militar en Africa Je yanayotokea ni tofauti? na nini kifanyike?
Pia iko na hii ANALYSIS-The rise and rise of western covert ops | News by Country | Reuters
Hiyo sio kitu kipya. Na ukiangalia vizuri utatambua uchambuzi huo umefanywa na wazungu (haujakamilika)!
There is always light at the end of the tunnel. Take your time and search for it! Achana na hiyo mi-conspiration theories ya wazungu ambayo haina tija kwa waafrica!Kwa hiyo? Do you see any light at the end of the tunnel?
Kama una muda jaribu kuukamilisha huo uchambuzi. Kama nimekuelewa vyema ,miaka umeshaikata mingi. Kuna uhai na umauti. Usije ukaondoka na hazina ya kutukomboa. Ingawaje naelewa anaweza kufa aliye mzima na kumuacha hai aliye mgonjwa.
Huwezi kutoa some hints, mkuu?There is always light at the end of the tunnel. Take your time and search for it! Achana na hiyo mi-conspiration theories ya wazungu ambayo haina tija kwa waafrica!
The new aid package includes medical aid for wounded fighters and additional assistance to secure weaponry that many fear could fall into the hands of terrorists. Aides said the money is meant partly as a pledge to ongoing U.S. support during what will be a difficult passage to free elections and a new government after four decades of dictatorship.
"Now the hard part begins," Clinton said, heading into a meeting with the transitional leaders.
Hillary Clinton amtakia kifo Kanali Gaddafi!
View attachment 39390
By MATTHEW LEE - Associated Press | AP 2 hrs 46 mins ago.
She met with the leader of Libya's Transitional National Council, Mahmoud Jibril, and offered about $11 million in additional aid. The fresh aid boosts Washington's contribution since the uprising against Gadhafi began in February to roughly $135 million.
Yahoo News
Asa mbona na wewe unaweka alama hizi " " kwa Gaddafi na shetani. Ushawastukia sio?(Reuters) - U.S. Secretary of State Hillary Clinton hailed "Libya's victory" during a visit to Tripoli but fighters loyal to Muammar Gaddafi were still holding out in his home town, underscoring the challenges facing the country's new leaders.
Hata huyu mwandishi wa Reuters anaweka hizi alama " " ameushitukia ushindi huu unaoimbwa wa NTC.
WRAPUP 1-Clinton hails Libya's victory on Tripoli visit | News by Country | Reuters
Wakiwa US wamefreeze billioni za fedha za "Gaddafi" aka sovereign fund za Libya ,eti US wanatoa msaada wa 11 millioni kusaidia walibya watibu majeraha kutokana na manomu ya NATO na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe lakini pia wanunulie silaha ili waendelee kuuana.
Ni wazi katika NTC wako wanaojuta kuingia mkataba na "shetani"
MkuuAsa mbona na wewe unaweka alama hizi " " kwa Gaddafi na shetani. Ushawastukia sio?
Haya, sawa!Mkuu
Vyombo vya habari vya West , wachambuzi na wanasiasa wao ndio wanasema pesa za "Gaddafi" wakati hizo ni sovereign funds za Libya. Fedha za Taifa la Libya na sio za Gaddafi binafsi.
Uwe makini unaposoma.
US ama kwa usahihi serikali ya US ni sawa na shetani. Wanataka damu saa zote.
Haya, sawa!