BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hii habari kama ni kweli,basi lazima kuna majadiliano as to whether to aanounce him captured either alive or dead.Kama ni kweli zile habari za wakati mgumu waliokuwa wakiupata hao rebels ni za kweli.Basi kumkamata Gaddafi hao itakuwa ni mwiba mbaya kwao.Bottoline nadhani uamuzi ni wa kina Sarkozy.This time mawasiliano wanafanya kwa kasi.
Naam Mkuu sasa hivi kutakuwa na majadiliano makali ambayo yanaongozwa na Taifa kubwa nini kitangazwe kwa dunia. Na si ajabu wanaweza kuiacha habari hi ikiwa na utata mwa muda kidogo ili kuhakikisha kuna ulinzi wa kutosha katika sehemu muhimu kule Libya kabla ya kutangazwa rasmi kwamba ameuawa kwa kuhofia vurumai toka kwa wale ambao bado walikuwa ni supporters wake.