Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hata hao ndugu zake aliowapendelea na mlolongo wote hakuna atakayezifaidi hizo mali maana hata atakayebakia atakuwa na kumbukumbu za ndugu waliouwawa pamoja na hofu. Laiti tungelielewa maana ya maisha madaraka ya siasa yasingetupofusha ki hivi!Honestly, to my opinion Gaddaf hajatendewa haki kabisa. Kaijenga Libya ambayo ilikua chini ya ufalme na watu walikua na shida akawatoa kote huko, leo wanamuondoa hivi?!! Is not fair kabisa.
Maskini Gadaffi! Alitaka united africa lakini akaadvocate kugawanywa kwa Nigeria kwa misingi ya dini! <BR>Japo alijitahidi kuwapa mahitaji watu wake, alichukua sehemu kubwa ya raslimali za nchi kuwafanya ndugu zake wa karibu waishi maisha kama ya 'peponi'<BR>His days are over now. <BR>Suala ni je tunajifunza nini?

africa africa africa
Reuters na CNN wanasema TNC wame-capture Sirte.....Eti Bani Walid mapambano bado yanaendelea, wakati juzi walisema wame-Capture Bani Walid :shock:
collonel Gaddafi
View attachment 39512
An image from a mobile phone apparently showing Col Muammar Gaddafi wounded: hii picha mhhh!!
source: BBC News - Libyan forces 'capture Gaddafi'
information minister wao anadai wanataka Gaddafi ashitakiwe ndani ya Libya.Hii shughuli naona ndo kwanza inaanza.Lets wait and c what they gonna do with him,naamini bado ana karata zake valid in the game.