Nani alikuwambia kuwa alitawala kimabavu?
| |
| http://blogs.aljazeera.net/liveblog/libya |
Hiyo ya kanzu ni ya zamani!Hizi picha za kukamatwa kwake zinachanganya, mara kavaa kanzu nyeupe, mara tena kombati ya kijani, inakuwaje hapo!!?
Hongera Qaddafi. Umekufa kama Mkwawa wa 1896... Chn ya makaburu na wazungu lakn kamwe ucsubutu kwenda ICC, ahera yake mola utarithi..
Baada ya kutawala miaka 42 unafikiri alistahili kuongezewa miaka mingapi kwa uchache.Hakustahili hata kupinduliwa licha ya kifo. Tatizo kubwa la Africa ni kutegemea nchi za Magharibi. Sijui tutaondokana lini na kasumba hii
Gaddafi alifanya mengi mazuri ndani ya Libya na Afrika kwa ujumla. Hao waliomuua wanataka rasilimali za walibya na sio demokrasia kama wanavyosema.Nyerere wakati anaachia madaraka alisema hivi: Nimekaa ikulu miaka 23 haitokaa itokee rais yeyote wa Africa kufikia record yake na ikitokea akafikia basi hataondoka salama.
Hapa ndipo sinema inaelekea kunoga.Eti for security reasons!. Kwani nani munamuhofia wakati Ghadafi mumemuua na mji kuuteka.The body of the former Libyan leader was taken to a location which is being kept secret for security reasons, an NTC official said.
"Gaddafi's body is with our unit in a car and we are taking the body to a secret place for security reasons," Mohamed Abdel Kafi, an NTC official in the city of Misrata, told Reuters