The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Duh!Nimeona video kutoka Aljazeera.Hawakumpa first aid kabisa.Hawa walimmalizia!Very sad indeed!Ni unyama kabisa!Duh!
 
How he died might be another question on human rights issues.Kuna implications.Haya majinga sana.Nchi ndo mambo yatakuwa mabaya zaidi hawajui.Yote due to issue like retaliations nk.
 
du....! The great leader Gaddaff is captured!? Tumepoteza kiongozi aliyekuwa jasiri asie babaishwa na mataifa fedhuli ya magharibi na ulaya.
 
'Kafa' huo ndo ukweli, nipo live aljazeera. Kuna mambo najifunza hapa kupitia tukio hili kubwa la kuuwawa kwa dikteta huyu wa libya...kwanza kwa hapa tanzania kuna viongozi madikteta waliojificha chini ya mwamvuli wa chama. Kumbuka Ccm imekaa madarakani tangu uhuru kwa miaka 50. Mi8 zaidi ya gadafi,hivyo tunawahitaji kuwapumzisha. Pili,walioendesha mapinduzi huko libya,95% ni vijana. Tunahitaji vijana kwa ajili ya ushindi 2015. 85% ya vijana wote waliokuwa chini ya chama/kikundi walivalia magwanda na walionyesha ishara ya vidole viwili(alama ya chadema) na walionekana wakichoma bendera ya gadafi ,ambayo inarangi ya kijani(ccm?!) kushehekea ushind4 walioupata leo. Tofauti ni kuwa wao walibeba bunduki cc tutabeba shahada kwa ajili ya kura...ccm hili wanalijua, hatuitaji tena udikteta kwa mgango wa chama. Ona huu kama c udikteta. Riz1,Hussein mwinyi,karumekenge,na upuzi wa aina ya akina Nape,wote wanapanda juu kupitia mgongo wa baba(chama) zao/chao,kama ilivyo kwa watoto wa madikteta kama museveni,gadafi,mubarak hata sadam husein. Vijana tuamke!
 
How he died might be another question on human rights issues.Kuna implications.Haya majinga sana.Nchi ndo mambo yatakuwa mabaya zaidi hawajui.Yote due to issue like retaliations nk.

Bado sijashawishika kama ameuawa.
 
Somo: hakuna aliye salama hata uwe mkuu wa nchi. Usalama hupatikana tu pale wote kwa pamoja mtakapokubaliana kutenda haki. Ghadafi alidhani yeye ni exceptional sana kwamba hata kitokee nini hatadhurika. Lakini leo inathibitika hakuna aliye salama nchi inapotumbukia katika mgogoro. Njia pekee ya wote kubaki salama ni kwa watawala kuheshimu sauti ya umma na kukubali mabadiliko umma unapoyahitaji.
 
AcNF_pqCMAAJA1y.png
 
Somo: hakuna aliye salama hata uwe mkuu wa nchi. Usalama hupatikana tu pale wote kwa pamoja mtakapokubaliana kutenda haki. Ghadafi alidhani yeye ni exceptional sana kwamba hata kitokee nini hatadhurika. Lakini leo inathibitika hakuna aliye salama nchi inapotumbukia katika mgogoro. Njia pekee ya wote kubaki salama ni kwa watawala kuheshimu sauti ya umma na kukubali mabadiliko umma unapoyahitaji.
USA na NATO ndio umma wa Libya?
 
Libyan Dictator Moammar Gadhafi Is Dead, Rebels Claim



REUTERS - Libyans celebrate at Martyrs square in Tripoli October 20, 2011 after hearing the news that Libyan leader Muammar Gaddafi was killed in Sirte. Gaddafi died in an attack by NTC fighters, a senior NTC …more




  • Anti-Gaddafi fighters celebrated the fall of Sirte October 20, 2011. Libyan interim …



Libyan dictator Moammar Gadhafi, the most wanted man in the world, has been killed, the country's rebel government claimed today.
The flamboyant tyrant who terrorized his country and much of the world during his 42 years of despotic rule was cornered by insurgents in the town of Sirte, where Gadhafi had been born and a stronghold of his supporters.

The National Transition Council said that its fighters found and shot Gadhafi in Sirte, which finally fell to the rebels today after weeks of tough fighting.

Word of Gadhafi's death triggered celebrations in the streets of Tripoli with insurgent fighters waving their weapons and dancing jubilantly.
The White House and NATO said they were unable to confirm reports of his death.

Gadhafi had been on the run for weeks after being chased out of the capital Tripoli by NATO bombers and rebel troops.
He had been believed to be hiding in the vast Libyan desert while calling on his supporters to rise up and sweep the rebel "dogs" away, but his once fearsome power was scoffed at by Libyans who had ransacked his palace compound and hounded him into hiding.

Gadhafi, 69, took over the top spot as the world's most wanted man after Osama bin Laden was killed by U.S. troops in Pakistan.
At the height of his ability to threaten terrorism, President Ronald Reagan dubbed Gadhafi the "mad dog of the Middle East."

He was accused of backing the 1986 bombing of a Berlin disco popular with American soldiers, reportedly funding the hijacking of the cruise ship Achille Lauro in 1985, and the 1988 bombing of Pan Am Flight 103, which resulted in the U.N. and United States imposing sanctions on Libya.

For years, Gadhafi refused to take responsibility for the bombing, but that changed in 2003 when he acknowledged his role and tried to make amends.

The eccentric leader, who amassed power and wealth by controlling the nation's oil industry, held the title of being the longest-serving leader in Africa and the Arab world.

Over the years, Gadhafi earned an international reputation for his outlandish apparel and much-ridiculed phobias and proclivities.
In U.S. diplomatic cables recently released by WikiLeaks, Gadhafi was described as a "mercurial and eccentric figure who suffers from severe

phobias, enjoys flamenco dancing and horse racing, acts on whims and irritates friends and enemies alike."
He was "obsessively dependent on a small core of trusted personnel," especially his longtime Ukrainian nurse Galyna, who has been described as a "voluptuous blonde," according to the cables.
Among his other unusual behaviors, the Libyan leader reportedly feared flying over water, didn't like staying on upper floors and traveled with a "pistol packing' posse" of female bodyguards.

Source: Libyan Dictator Moammar Gadhafi Is Dead, Rebels Claim - Yahoo! News
 
and not yet confirmed.................i mean there is no official report ila za mtaani kavuta ati.
 
Ghadafi! Lying in the street, dead, in his home town. In the country he ruled for 42 years. What a tragic end for him. Hayo ni maneno ya mtangazaji wa al jazeera.

Sasa nchi nafiki zilizokua zinaona aibu kuwatambua NTC watajitokeza waziwazi kuwatambua
Wanafiki wa kwanza ni kina Membe walikuwa wanasubiri rafiki yao afe ili wasionyeshe unafiki wao kwake.
 
Jaman nasikia mfalme wa afria raisi wa libya kauwawa je nikweli tujuzeni mwenye habari kamili
 
Back
Top Bottom