The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi


Aisee? That's why Afrika will always remain in the backyard. Nimnukuu NN "Miafrika ndiyo tulivyo".
 
kifo haki epukiki Allah kasema kullu nafsi dhaikatul maut, yaani kila nafsi lazima itaonja kifo, hiyo ndo safari yake takatifu ambayo Mungu kampangia. Baba ghaddafi ni shujaa wa afrika kamwe sinto msahau maishani mazuri aliyo fanya yana zidi mabaya, Mungu amlaze pema peponi
 
Kama kweli Gadafi umekufa, NINAKULILIA. Nimeumia sana jinsi ulivyouawa kinyama. Hujatendewa haki hata kama una makosa makubwa. Mungu Ibariki Afrika na watu wake.
Afrika inarudi kwa wennyewe "wazungu" na sisi wengine tunafurahia. Sasa tusubiri hilo "DOMOkrasia" waliloahidiwa wenzetu wa Libya.
 
Are you guys serious?...
Kifo ni kifo tu, regardless of who dies!
By the way, matendo yetu tuwapo hai yanabadilisha sana namna ambayo jamii itatuchukulia pindi tuondokapo duniani.
 
May God rest him in peace, Amen.
 
Historia imeandikwa Libya! Ghadafi aliingia kwa upanga na ameondoka kwa upanga. Kauawa kwa mtutu wa bunduki, kaionja chungu ya AK47 hakika haki sasa imetendeka. Wa Libya wamezaliwa upya sasa, ni jukumu lao kujenga Libya mpya. Wakisaidiwa kwenye ujenzi wa nchi yao ni fursa na haki yao kama nchi nyingine zinavyosaidiwa.

Pia, kama wa Libya wamesaidiwa kumg'oa Ghadafi ni fursa na haki na hakika wameitumia vema turufu ya kusaidiwa katika kumg'oa dhalimu Ghadafi. Kuna kundi hapa linajenga hoja dhahifu kuwa wazungu wanaitaka Libya.

Hata kama lakini Ghadafi kaondoka kwani ni aina ya viongozi wanaogeuza nchi mali ya familia hili halivumiliki kwa ulimwengu wa sasa. Wenye macho wameona, wenye masikio wamesikia na waliolala usingizi shauri yao. Ulimwengu sasa umeamka, watu hawataki kulishwa maneno na kuimbishwa "He's alway right". Watu wanataka maendeleo, haki, uhuru na demokrasi.

Muhimu viongozi na jamii ijifunze. Watanzania tunapoadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa TANGANYIKA tuache porojo tunene ya kweli na tukumbuke kweli daima. Ikibidi tukumbushane Miiko ya uongozi, Ahadi za wanachama wa CCM ya "Nyerere" nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, cheo ni dhamana....". Tuache misifa
 

Mkuu,

I wish African Union was dominated by young leaders with fresh minds on how we can use this organisation to unite us economically against the West interests in Afrika. Hawa viongozi wa sasa wanaifanya hii AU ya kisiasa kutetea their own interests where possible. Labda ndio maana Morocco ilikataa kujiunga na AU kwa sababu hakuna deal. Heri hata OAU was much better because of what they did in the past. AU is the worst organisation I have ever seen on this planet. Its pioneer has been killed, now I wish AU should die as well. Hakuna kitu hapa.
 
Najua kuna thread nyingi zinazozungumzia tukio hili lakini naomba video hii iwe kwa wale wasioamini kuwa Gaddafi amekufa

 
Last edited by a moderator:
Saif al-Islam, is trying to flee the fallen city of Sirte but is being surrounded, a senior NTC military official said on Thursday - Reuters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…