engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya Askari Kanzu nenda kanunue viungo vya
Pilau upike, ule, ushibe kwa rrraha zako.
Manake uliyoyataka yametimia.
Jambazi akiingia akakuzidi lazima upige yowe ili majirani wakusaidie, walibya walipiga yowe jirani wa karibu AU akajifanya hasikii ndipo wakatokea majirani wa mbali NATO wakawasaidia ubaya uende kwa nani...think.USA na NATO ndio umma wa Libya?
Una maana gani kusema kuwa Waafrika walibenefit zaidi ya Walibya? Walibya sii Waafrika? Poor him he died following the invasion of NATO and US to Libya.
Wewe ndio uko kimya wengine tunashangilia.Africa iko kimya.
And you honestly believe warfront propaganda....!!!!Gaddafi's death is an end of a era.
Aliwasapot Wasouth Africa (Mandela na chama chake) kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (wazungu ambao ndio hao waliomuua leo). Alifund project kubwa sana ya satellite launch in Africa connecting the entire continent by telephone, television, radio broadcasting and several other technological applications such as telemedicine and distance teaching.Well, turudi kwenye post yako ambapo umesema "Gaddafi alifanya mengi mazuri ndani ya Libya na Afrika kwa ujumla." Ulikuwa una maana gani kati ya Libya na Afrika? Yes, he may have died following the invasion of NATO and US to Libya, but Gaddafi could have done better to stay in power. Hakusoma alama za nyakati. Instead aliwapa the West kisingizio cha kuja kumwondoa madarakani. Hugo Chavez amesoma alama za nyakati na amezawazisha mambo chap chap.
Where is the value of Sovereignty in Africa kama wewe unashangilia yaliyofanywa na Western countries in Libya?Wewe ndio uko kimya wengine tunashangilia.
Haya maswali yako mazuri.Niliwahi changia hapa jamvini juu ya siasa za mapinduzi zinazoendelea hap barani Afrika.,kuna watu wameleta hoja juu ya uzalendo wetu na dhana ya ukibaraka hasa huko nchini Libya,narudia kuchanganua mambo haya ni kijua wapo watakao unga na wengine wataendelea kupinga.
Suala la Gadafi ni suala linalojikita katika Usultan chini ya misingi mizima ya dhana ya uongoz bora.kwanza tujiuliza nani alimwingiza Gadafi Madarakani, pia tujiulize nani alimwandikia ujumbe Gadafi kwamba alizaliwa kuwa mfalme????
Kuna watu wanapongeza uchumi wa Libya na maisha ya walibya wakati wa UTAWALA wa Gadafi, tujiulize mali zinazoshikiliwa huko Ulaya katika mabenki mbalimbali ya huko zilikwenda kufanya nini wakati yeye anasadikika kuwa ni mzalendo kwa wananchi wake? Vipi kuna uwiano wowote wa utajiri wa mafuta na utajiri wa Walibya au ni uhusiano wa utajiri wa Libya na Utajiri wa Gadafi?
Ninapata shida kwa mtu aliyekuwa anashambuliya mabepari kwa unyonyaji awe yeye mwenyewe aende huko ulaya kutunza fedhaaaa?