The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

00052095-440.jpg
 
haya Askari Kanzu nenda kanunue viungo vya
Pilau upike, ule, ushibe kwa rrraha zako.
Manake uliyoyataka yametimia.

Poleni wakuu. Gaddafi was fighting for a loosing battle. Baada ya NATO kuingilia ilikuwa wazi kuwa Gaddafi ataondoka regardless of the causality caused. Kama walifanya hivyo kwa Slobodan Milosevic, Saddam Hussein, Osama Bi Laden kwa nini washindwe kwa Gaddafi? Yaani pamoja na kuwa best friend was Chavez, Gaddafi alishindwa kabisa kudesa kwake?
 
Marekani wamesha maliza unafiki wao wamemuuwa Gadaff ambaye ana ata atia eti wanadai anauongoz wa kibabe wakati kitu icho akipo ila ni unafik na ulasimu wa mmalekani tu imeniboa sana wanajamii hii taalifa ya leo
 
USA na NATO ndio umma wa Libya?
Jambazi akiingia akakuzidi lazima upige yowe ili majirani wakusaidie, walibya walipiga yowe jirani wa karibu AU akajifanya hasikii ndipo wakatokea majirani wa mbali NATO wakawasaidia ubaya uende kwa nani...think.
 
Una maana gani kusema kuwa Waafrika walibenefit zaidi ya Walibya? Walibya sii Waafrika? Poor him he died following the invasion of NATO and US to Libya.

Well, turudi kwenye post yako ambapo umesema "Gaddafi alifanya mengi mazuri ndani ya Libya na Afrika kwa ujumla." Ulikuwa una maana gani kati ya Libya na Afrika? Yes, he may have died following the invasion of NATO and US to Libya, but Gaddafi could have done better to stay in power. Hakusoma alama za nyakati. Instead aliwapa the West kisingizio cha kuja kumwondoa madarakani. Hugo Chavez amesoma alama za nyakati na amezawazisha mambo chap chap.
 
Yani toka sijazaliwa hadi nimemaliza Chuo, nifanya kazi miaka 10 na mvi nimeota bado alikuwa madarakani kama Kiongozi wa nchi.
 
Kama kweli Gadafi umekufa, NINAKULILIA. Nimeumia sana jinsi ulivyouawa kinyama. Hujatendewa haki hata kama una makosa makubwa. Mungu Ibariki Afrika na watu wake.
 
If he was captured - alive, then why did someone had to shot-kill hime?

Better if he was spared to face the Hague, then at least some justice would've been administered for the attrocities of murdering, looting and genocide the ppl of Libya; all were committed under him and by him.
 
Well, turudi kwenye post yako ambapo umesema "Gaddafi alifanya mengi mazuri ndani ya Libya na Afrika kwa ujumla." Ulikuwa una maana gani kati ya Libya na Afrika? Yes, he may have died following the invasion of NATO and US to Libya, but Gaddafi could have done better to stay in power. Hakusoma alama za nyakati. Instead aliwapa the West kisingizio cha kuja kumwondoa madarakani. Hugo Chavez amesoma alama za nyakati na amezawazisha mambo chap chap.
Aliwasapot Wasouth Africa (Mandela na chama chake) kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (wazungu ambao ndio hao waliomuua leo). Alifund project kubwa sana ya satellite launch in Africa connecting the entire continent by telephone, television, radio broadcasting and several other technological applications such as telemedicine and distance teaching.
Mwafrica gani leo mwenye uwezo wa kuwaambia hao western waondoke madarakani? Inamaana wao hawasomi alama za nyakati? Refer to Wall Street protest and the like in the entire Europe.
 
Naona mwisho wa madikteta unafanana; kwa nini watawala madikteta hawajifunzi?Saddam aliokotwa kwenye pango, Gadafi amechomolewa kwenye pango, Bag Bo naye alichomolewa pangoni (?handaki!!!!) n.k n.k n. k
 
I have just seen from cnn that moammar ghadafi is dead.
Inna Lillah wainna Ilaihi rajiun
 
Inaelekea jamaa hawakujari tena chain of command wakamsulubisha bila ya kumuonea huruma. AU baba yao ndio hivyo sasa future yake nakuwaje?Zuma mcheza ngoma, na jamaa yangu ni msomi aliyetukuka. Kila siku anachukua phd mpya. Mugabe anauguza meno yake yanayodondoka yenyewe kwasababu ya umri.mhhh,AU mtihani
 
Niliwahi changia hapa jamvini juu ya siasa za mapinduzi zinazoendelea hap barani Afrika.,kuna watu wameleta hoja juu ya uzalendo wetu na dhana ya ukibaraka hasa huko nchini Libya,narudia kuchanganua mambo haya ni kijua wapo watakao unga na wengine wataendelea kupinga.
Suala la Gadafi ni suala linalojikita katika Usultan chini ya misingi mizima ya dhana ya uongoz bora.kwanza tujiuliza nani alimwingiza Gadafi Madarakani, pia tujiulize nani alimwandikia ujumbe Gadafi kwamba alizaliwa kuwa mfalme????
Kuna watu wanapongeza uchumi wa Libya na maisha ya walibya wakati wa UTAWALA wa Gadafi, tujiulize mali zinazoshikiliwa huko Ulaya katika mabenki mbalimbali ya huko zilikwenda kufanya nini wakati yeye anasadikika kuwa ni mzalendo kwa wananchi wake? Vipi kuna uwiano wowote wa utajiri wa mafuta na utajiri wa Walibya au ni uhusiano wa utajiri wa Libya na Utajiri wa Gadafi?
Ninapata shida kwa mtu aliyekuwa anashambuliya mabepari kwa unyonyaji awe yeye mwenyewe aende huko ulaya kutunza fedhaaaa?
Haya maswali yako mazuri.
Lakini haya masuali yaulize kwa kila nchi. Hata US. Wale Occupy wall street wanasema wao ni 99%.
Waulize wagiriki, waitaliano, waspaniola, watanzania, wasouth afrika. nk

Majibu unaweza kuyapata hapa EndGame HQ full length version - YouTube
 
Back
Top Bottom