Kwa hiyo wakati wanapiginia uhuru wao walikuwa wanapigania dhidi ya nani? You're wrong to say nobody meddled with their internal affairs. Waingereza, Wafaransa, nk walikuwa wana meddle nini kule?
Fuatilia history ya US vyema mkuu.Na reference yangu haikuwa kipindi cha uhuru.Historia ya kupigania uhuru ya wamarekani ni tofauti na historia ya serikali dhidi ya native indian.Apples to apples mkuu.
Mfano wangu ulijikita zaidi kwenye ukweli kuwa uhuru tunadaiwa kuwa nao lakini hatuna maamuzi.Wahuni wakajiita watanzania wakasaidiwa wanaweza kuwaondoa hata viongozi wenu.(Sina maana napenda serikali yetu inavyofanya kazi)
Nina amini pia bila ya msaada mkubwa wa kuiharibu nchi hiyo ya Libya kwa kiasi walichofanya,wasingeweza kuiangusha serikali ya Libya,pi kwa upande mwingine,hata hayo yangekuwa yanatokea kwao wasingeungana.
Ustake kuniambia hujui kuwa mataifa hayo hayataki kabisa idea ya eti Afrika kuungana.
Sasa mfano mwingine ni hao wa wallstreet.Wakitokea wahuni wakawalima askari wa marekani risasi,askari hao waka retaliate na raia wakafa,je serikali nyingine ie uchina wanaweza kwenda kuwatetea wananchi hao kwa kuiondoa serikali iliyopo madarakani?
Kama kuna mtu angekuwa na malengo dhabiti kabisa dhidi yao kama ilivyo kwetu,basi narudia tena,US isingekuwa US hii unayoifahamu.
Ndo ukweli huo.