Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Dah! imenisikitisha sana! Speechless. RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Libyan crisis is far from over though!
Fuatilia history ya US vyema mkuu.Na reference yangu haikuwa kipindi cha uhuru.Historia ya kupigania uhuru ya wamarekani ni tofauti na historia ya serikali dhidi ya native indian.Apples to apples mkuu.Kwa hiyo wakati wanapiginia uhuru wao walikuwa wanapigania dhidi ya nani? You're wrong to say nobody meddled with their internal affairs. Waingereza, Wafaransa, nk walikuwa wana meddle nini kule?
Screen grab from CBS news shows Clinton's reaction to Gaddafi's death. Picture: Courtesy of CBS News duh! Watu hawana utani kabisa, yaani wameamua kumvunja na miguu.. Hilo ni funzo kwa viongozi wengine wa Africa.
huu ndio ukweli,wale panya aliosema gadafi hawakuweza kumkamata wala kumuua gadafi,bali amepigwa kombora na ndege yakivita ya france na hata serikali ya france imekubali kua ndegezao ndio zilizoshambulia msafara wa gadafi,amekufa sasa tusubiri libya iwe somalia ya 2 ktk africa,na walibya watamkumbuka gadafi milele namilele kwa tabu yavita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilianza hata gadaf hajafa,juzi tripoli walitwangana wao kwa wao hilo ndio itakua maishayao ya vita kila uchao.
17Hawajui hilo bado.Ni kwasababu ya propaganda.Ngoja uone wananchi watakapoona wamebasilishiwa jamuhuri yao kwa demokrasia ya vita na umasikini.Mkuu unaelewa kuwa Gaddafi alikuwa nembo tu?
Interview PM al-Mahmoudi 19_07_2011, NATO War On Libya - YouTube
Mwe! Majibu gani hayo?Tomato
Wale bodyguards wa kike walikuwa wapi?