The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi



Hawa wanamgambo wa kikosi cha ukombozi Libya hata zile buti za askari wa nchi kavu hawana, cheki miguuni wamevaa zile sandos za nylone
 
Kaka sina cha kukuambia ili uamini maneno yangu,nimeumia sana kupita kiasi kuwapa huduma bora ndio wamemuuwa mwanamapinduzi watalia,na watamkumbuka cku moja,nimeumia sana na nitaendelea kuumia mpaka ukweli hupatikane,nimeumia sana kaka let him sleep in peace
 
Ndugu yangu usijechukulia mambo vibaya hivyo, hakuna anayefurahia mauaji ya kinyama, lakini pia alikuwa na nafasi muda mrefu kuepuka janga hili, tatizo viongozi wengi ving'ang'anizi mno wasiokubali kuachia madaraka na wengine watawale ili wao wabaki washauri.
 

Je, ulishawahi kuumia kiasi hicho kwa mauaji ya kinyama yaliyotokea Arusha mwanzoni mwa mwaka huu nchini Tanzania?
 
..sawa mkuu, lakini CCM walichofanikiwa ni:
  1. Kudanganya wananchi na mataifa ya magharibi kuwa wanapendeka na wananchi
  2. Kikwete anawashauri wabovu au ubishi wake, kwani huwa hawamuambii hali halisi, wanachofanya
  3. Ni kuhakikisha wanaiba kura (kama walivyofanya igunga na kwenye halmshauri nyingene kwenye udiwani), halafu
  4. Wanamdanganya mzee tumefanya kazi mpaka tumeshinda,
Na hii ndiyo hatari tuliyo nayo kama taifa, "Watanzania ni waongo sana"
 
Ni Walibya wenyewe ndiyo wanafahamu kiundani mabaya na mazuri ya Gaddhafi. At any rate, Gaddhafi alipewa nafasi a-surrender wakati NTC walipochukua Tripoli, but he turned the chance down. He said he wanted to go out as a martyr and went as far as saying "We won't surrender. We are not women". Kwa hiyo basically he got what he asked for.
 
Kuna video nyingine nimeiona cnn ina view angle ya tofauti ya uso wa Gaddafi,lakini naona inaongeza contradictions.Ile ya kwanza upande wa kushoto haukuwa na damu,hii ya pili upande wa kushoto umejaa damu.Na zote zilikuwa shot at the same time.Inawezekana in between those videos they shot him on his head.
 

Ile video inayonyeshwa BBC waliyosema imechukuliwa kwa simu alikuwa yuhai mzima na wala hajajaa madamu, ghafla yupo chini na damu all over!

Mmoja wa watu alisema "we shot him after we got him. Somebody shot him"
 

Kanjanja ile...
Subiri Moussa Ibrahi, Saad, Saify au Hamisi ndio watakaokuja kutupa huzuni na majonzi au kutufanya turukeruke kwa furaha.

Hao mbwa koko si walishawahi kututangazia mara kadhaa kuwa wamewakamata watoto au mtoto wa Gaddafi?

Kisha mwisho wa siku wanawasingizia eti NTC ndio waliotoa habari hizo...
 
nasubiri kauli toka kwa watu wanne kisha niamini kama True African Veteran is dead or alive...
1. Moussa Ibrahim
2. Saif al islam
3. Saad
4. Hamisi
 

Mkuu it apppear hujui kabisa muungano wa Marekani. Kwa kuanzia states 13 za mwanzo ziliungana to fight against colonialism.
 
A young Gaddafi, right, is seen in an undated photo with notorious Ugandan leader Idi Amin



With Fidel Castro




Eccentric style: Gaddafi was known for his love of over-the-top military-style uniforms and a cadre of young female bodyguards who were supposedly trained to kill















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…