Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Hawa wanamgambo wa kikosi cha ukombozi Libya hata zile buti za askari wa nchi kavu hawana, cheki miguuni wamevaa zile sandos za nylone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka sina cha kukuambia ili uamini maneno yangu,nimeumia sana kupita kiasi kuwapa huduma bora ndio wamemuuwa mwanamapinduzi watalia,na watamkumbuka cku moja,nimeumia sana na nitaendelea kuumia mpaka ukweli hupatikane,nimeumia sana kaka let him sleep in peaceMay his soul rest in peace ..
Kuna watu hawana roho yaani ni wabaya kyasi kwamba hauwezi ukawapa jina litakalo fit description yao ..
Mungu atawaaonesha all those who were involved kumuua na pia you americans and wanaomhate ..
R.i.p
Imeniuma sana ..
Ndugu yangu usijechukulia mambo vibaya hivyo, hakuna anayefurahia mauaji ya kinyama, lakini pia alikuwa na nafasi muda mrefu kuepuka janga hili, tatizo viongozi wengi ving'ang'anizi mno wasiokubali kuachia madaraka na wengine watawale ili wao wabaki washauri.
Je, ulishawahi kuumia kiasi hicho kwa mauaji ya kinyama yaliyotokea Arusha mwanzoni mwa mwaka huu nchini Tanzania?
..sawa mkuu, lakini CCM walichofanikiwa ni:Ingawa Gaddafi ameondoka lakini ameiacha Libya katika hali mbya sana ya mgawanyiko wa kikabila ambao utawaletea taabu sana hawa waliompindua, hivyo nchi hiyo kutotengemaa kwa muda mrefu ujao kwani makabila mbali mbali yatagombana kupata sehemu ya rasilimali za nchi hiyo na hasa wale waliokuwa wapiganaji watataka malipo ya jasho lao na hapo ndio vurugu zitakapoanza. Kikwete kwa kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini yao anapandikiza mbegu za vurugu hapa nchini. Hajateua wenyeviti wa bodi nyingi zilizo kwisha muda wake simply because hawajapatikana waislam wenzie wa kujaza nafasi hizo, anangoja pengine mpaka wazaliwe; hii ni hatari kwake na kwa nchi pia!!
mkuu mbona unajiuliza maswali mwenyewe?
Kuna video nyingine nimeiona cnn ina view angle ya tofauti ya uso wa Gaddafi,lakini naona inaongeza contradictions.Ile ya kwanza upande wa kushoto haukuwa na damu,hii ya pili upande wa kushoto umejaa damu.Na zote zilikuwa shot at the same time.Inawezekana in between those videos they shot him on his head.
Kuna video nyingine nimeiona cnn ina view angle ya tofauti ya uso wa Gaddafi,lakini naona inaongeza contradictions.Ile ya kwanza upande wa kushoto haukuwa na damu,hii ya pili upande wa kushoto umejaa damu.Na zote zilikuwa shot at the same time.Inawezekana in between those videos they shot him on his head.
Mkuu nimekupata,however fuatilia vizuri historia ya kuungana kwa wamarekani.Hawakuungana kwasababu eti walikuwa masikini tu.
Waliungana kwasababu maendeleo yaliongezeka and so therefore a need to unite arose...Na willingness pia ilkuwepo.
Marekani iliunganishwa na bishara na si mapenzi kati ya watu wa state to state.
Ndo ukweli mkuu,fuatilia issues,ie Supremacy clause utajuwa nachomaanisha.