The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Dunia nzima imeshuhudia maajabu ya Gaddafi kuuawa kikatili kabisa hapo jana
nimepitia magazeti mbalimbali ya Tanzania na ya kimataifa,yote ni Gaddafi,Gaddafi
sasa Gaddafi keshaondoka,je nini kinafata libya??je amani iliyokuwepo kabla ya vita ndio inarudi tena Libya??
je Rebels ndio wanaweka silaha chini na kurudi makazini kwao walikokuwa kabla ya vita?
je Walibya wamefurahia kitendo cha nato kumwua Gaddafi?
je Walibya wanaonaje kitendo cha kutawaliwa tena kijanja na ulaya na marekani
je Walibya ni wajinga kiasi hicho kukubali kutawaliwa na wazungu?
je serikali mpya itadumu madarakani kwa muda gani?kumbuka hao watawala wapya walikuwa mawaziri kwenye serikali ya gaddafi kwa miaka mingi
Je Walibya wote wamefurahia kitendo cha kuuawawa kikatili kwa Gaddafi?
Je tuliyoyaona Iraq mabomu ya kujitoa muhanga yatahamia LIBYA?
 
Rais wewe ulisikika ukiwaomba waliokukamata wasikuue. ''wanangu, wanangu msiniue''; Swali; imekuwaje mende, panya waue mtu tena rais? Wewe ulipokuwa unaua wenzako (panya) ulitegemea ulipwe nini? Mungu akulaze mahali pabaya peponi.
 
Sasa hapo umemuuliza Gaddafi au umewauliza wanaJF? Mambo mengine yanachekesha sana.
 
Walibya wamemuua wenyewe rais wao na ndo maana toka jana wanashangilia sasa nyie mnao lialia hapa jamvin mlikuwa wapi kwenda kumsaidia kama mlikuwa mnampenda kuliko walibya?acheni unafiki wenu hapa, yeye alivyokuwa anaua alidhani alikua mende wale?dawa ya viongozi ving,ang,anizi madarakani ni hii ya gadaf.
 
Hakuna mwenye uwezo kutabiri next step,mimi naona kama mwanzo wa matatizo makubwa libya
 
acha afe ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga haya yote ni kuhitimisha historia za viongozi wadhalimu kama hitler, sam doe na wenzao walioua watu na wao wakauwa kwa aibu, alale pabaya
 
Rais wewe ulisikika ukiwaomba waliokukamata wasikuue. ''wanangu, wanangu msiniue''; Swali; imekuwaje mende, panya waue mtu tena rais? Wewe ulipokuwa unaua wenzako (panya) ulitegemea ulipwe nini? Mungu akulaze mahali pabaya peponi.
Uzi wako umekaa (kulia- kushoto, kushoto -kulia) 'Peponi' hakuna mahali pabaya.
 
Ulevi wa madaraka umemponza. Aliona libya ni mali yake binafsi alikua anatetea haki miliki yake. Sijti anamwambia nini Mungu
 
Nguvu ya umma!
Kama kawaida ya CCM kulaghai chaguzi kwa kuiba kura na kusingizia eti wananchi wanakipenda chama kumbe wananchi wamechoka na wanahitaji mabadiliko, je kifo cha Gaddafi ujumbe umefika??

wewe nae akili zako kama mbayuwayu!!wewe unaona walichofanya wazungu ni sahihi kabisa,acha kuwa mtumwa wa fikra,pendelea kufikiri kwa kutumia kichwa chako sio masaburi yako wewe.
Tena ufunge bakuri lako kwa kufananisha serikali dhalimu ya ccj na serikali ya gaddaf!!
 
Rais wewe ulisikika ukiwaomba waliokukamata wasikuue. ''wanangu, wanangu msiniue''; Swali; imekuwaje mende, panya waue mtu tena rais? Wewe ulipokuwa unaua wenzako (panya) ulitegemea ulipwe nini? Mungu akulaze mahali pabaya peponi.

I am in doubt of if you are a real Great Thinker!
 
kila zama zina mtawala wake kulikuwa na warumi, wagiriki, hitler pia alitawala dunia na mataifa mengi yaliyotajwa katika maandiko. sasa ni zamu ya wamarekani
 
kila zama zina mtawala wake kulikuwa na warumi, wagiriki, hitler pia alitawala dunia na mataifa mengi yaliyotajwa katika maandiko. sasa ni zamu ya wamarekani

wanaweza kutawala dunia?nafikiri wangeweza kwa sasa hivi is too late for them,wachina wanaitwa sleeping giant,akiamka hakuna atakayeweza kuamini nini kinatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…