rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
Dunia nzima imeshuhudia maajabu ya Gaddafi kuuawa kikatili kabisa hapo jana
nimepitia magazeti mbalimbali ya Tanzania na ya kimataifa,yote ni Gaddafi,Gaddafi
sasa Gaddafi keshaondoka,je nini kinafata libya??je amani iliyokuwepo kabla ya vita ndio inarudi tena Libya??
je Rebels ndio wanaweka silaha chini na kurudi makazini kwao walikokuwa kabla ya vita?
je Walibya wamefurahia kitendo cha nato kumwua Gaddafi?
je Walibya wanaonaje kitendo cha kutawaliwa tena kijanja na ulaya na marekani
je Walibya ni wajinga kiasi hicho kukubali kutawaliwa na wazungu?
je serikali mpya itadumu madarakani kwa muda gani?kumbuka hao watawala wapya walikuwa mawaziri kwenye serikali ya gaddafi kwa miaka mingi
Je Walibya wote wamefurahia kitendo cha kuuawawa kikatili kwa Gaddafi?
Je tuliyoyaona Iraq mabomu ya kujitoa muhanga yatahamia LIBYA?