KUmbuka gaddafi hajaondolewa na walibya, ameondolewa na wamarekani na allies, angekua gaddafi pekee angeshawamaliza wapinzani
mifano haifanani, wangemwacha gaddafi kama walivyomwacha mugabe, nothing would have happened!!!
Takie it from me, you will never see mzungu anakuja kumuondoa kikwete wala CCM coz wageni wananeemeka na hali ya sasa
we umesikia wapi serikali inapeleka waziri mkuu wake kuuza shamba nje ya nchi??? hata ofisa wa TIC hakutakiwa kwenda bali wao ndio waje hapa
Mungu Mkuu.what is the meaning of the world alahu akibar
Na kwa sasa jiandae kupata malaria baada ya mbu kukufyonza!...na asubuhi hii nimechoma moto vyandarua vyao vyote wanavyojidai kutusaidia eti kwa msaada wa watu wa marekani! Kupunguza machungu nilionayo...
kuua ndio njia rahisi ya kuwavunja nguvu wanaomtetea maana hawatakua tena na wanayemteteakama wa libya wanaakili na wanataka sheria iwe na kipaombele,wangempeleka mahakamani ili kuonesha nchi inafuata sheria.lkn kuuwa tu bila kumkalisha mahakamani ni kuleta vita baina yao na wanao mtetea gadafi.
Tanzania,tanzaniaaa...nakupenda kwa moyo woteeeeeee.Ingawa Gaddafi ameondoka lakini ameiacha Libya katika hali mbya sana ya mgawanyiko wa kikabila ambao utawaletea taabu sana hawa waliompindua, hivyo nchi hiyo kutotengemaa kwa muda mrefu ujao kwani makabila mbali mbali yatagombana kupata sehemu ya rasilimali za nchi hiyo na hasa wale waliokuwa wapiganaji watataka malipo ya jasho lao na hapo ndio vurugu zitakapoanza. Kikwete kwa kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini yao anapandikiza mbegu za vurugu hapa nchini. Hajateua wenyeviti wa bodi nyingi zilizo kwisha muda wake simply because hawajapatikana waislam wenzie wa kujaza nafasi hizo, anangoja pengine mpaka wazaliwe; hii ni hatari kwake na kwa nchi pia!!
nasubiri kauli toka kwa watu wanne kisha niamini kama True African Veteran is dead or alive...
Moussa Ibrahim
nasubiri kauli toka kwa watu wanne kisha niamini kama True African Veteran is dead or alive...
1. Moussa Ibrahim
2. Saif al islam
3. Saad
4. Hamisi
Wale Mabaeberu hatimaye wameweza kufanya waliyokusudia nacho ni kufurahia kutoa uhahi wa Shujaa wa Africa, Haitoshi wanaudhihirishia ulimwengu kwamba Unyama ndiyo jadi Yao, Muhamar Gadafi Daima utakumbukwa kwenye Historia ya Maendeleo na Mageuzi ya kisiasa na kiuchumi Barani Africa, Kapumzike salama Mbele ya haki wasalimie Nkuruma, Nyerere, Abdul Nasser,Chachage na Samola Machel, waambie Bara la Africa limetawaliwa na makuwadi wa Ubeberu Mamboleo. AMEN