MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
KUmbuka gaddafi hajaondolewa na walibya, ameondolewa na wamarekani na allies, angekua gaddafi pekee angeshawamaliza wapinzani
mifano haifanani, wangemwacha gaddafi kama walivyomwacha mugabe, nothing would have happened!!!
Takie it from me, you will never see mzungu anakuja kumuondoa kikwete wala CCM coz wageni wananeemeka na hali ya sasa
we umesikia wapi serikali inapeleka waziri mkuu wake kuuza shamba nje ya nchi??? hata ofisa wa TIC hakutakiwa kwenda bali wao ndio waje hapa
Mkuu inawezekana kitengo cha uwekezaji hakina ari na spidi zaidi kama ilani ya uchaguzi inavyosema!
