John Marwa
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 275
- 28
kuua ndio njia rahisi ya kuwavunja nguvu wanaomtetea maana hawatakua tena na wanayemtetea
Thats the other side of him,the negative side.I can bet you even the leaders you admire have some wierd side of them.Tambua pia wengine hamtumfagilii maisha yake personally.Ni msimamo wake kwenye interests za taifa lake,na Libya was a successfull country in many ways.Don't know but the late Gaddafi had previously hinted at a serious admiration for Condoleeza. In 2007, alisema:
"I support my darling black African woman,' he said at the time. 'I admire and am very proud of the way she leans back and gives orders to the Arab leaders. ... Leezza, Leezza, Leezza. ... I love her very much."
Mwaka 2008 kama sijakosea alimtembelea Libya and once again, Gaddafi repeatedly addressed her - known as 'Condi' to her friends - as 'Leezza'.
Three years later, at Gaddafi's compound, Libyan rebels found the photo book.
But Qaddafi also had a slightly eerie fascination with Condi personally, even asking visitors why his "African princess" wouldn't visit him. It seems that Gaddafi was hot for Condi and other women as well. The Condi fan photo album, the all-virgin female bodyguard corps, the voluptuous Ukrainian nurses, the wife of the former president of Zanzibar.
And in 2010,Gaddafi flied Italian women to Libya for cultural yours and romance. Gaddafi was interested in romances developing between youths from Libya and Italy, according to an Italian agency. Gaddafi reportedly has high hopes that romance will spark between Clio Evans, 25, a half-English actor from Rome who has visited Libya four times, and his nephew, Ghazali: Gaddafi flies Italian women to Libya for 'cultural' tours - and romance | World news | The Guardian
That was your fellow African. Wakati anang'ang'ania kuwa na the United States of Africa alitaka wanaume wa Libya wawe na uhusiano wa kimapenzi na wazungu.
Alimanage vyema rasilimali za nchi,nchi imejaliwa ni tajiri.Hayo unayoyaita maendeleo hakuleta mwenyewe na udakika tano wake mbele.
Iliyobaki sana tuanze kuzungumzia somo zima la Libya kwa mustakabali wa bara la Africa. The Libyan, and for that matter the African crisis, is far from over!
Hilo ni jukumu la yeyote yule. Nimetoa mapendekezo tu. Na nadhani hata kichwa cha hii thread kingebadilishwa na kusomeka The Libyan Crisis and Africa's options, tosha!Mkuu,
Hapa ungeanza basi kuzungumzia hili somo zima la Libya na huu mustakabali wa Afrika...
Watanzania tuna matatizo ya kusahau haraka. Huyu unayemwita shujaa wa afrika ndiye aliyeshirikiana na Dictator Idd Amin Dada kuteka ardhi ya Tanzania na kuendesha vita iliyotugharimu maisha ya wananchi na askari na kubwa zaidi ilitugharimu uchumi ambao tumeshindwa kabisa kuurejesha katika hali yake ya kabla ya vita. Huyo shujaa wako wa afrika alifadhili vita za wenyewe kwa wenyewe kwenye nchi za Liberia na Ivory coast. Naomba usiwachafue mashujaa wa kweli wa africa kwa kuwachanganya na huyu gaidi na muuaji wa waafrika wasio na hatia. $@#...****???
Haaaaahahahaaaaa yaani umeniacha hoi sana, mimi nilizani unataarifa za maana kumbe unatuletea hadithi za kwa Mtogole!. Kazi kweli kweli.Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha
Mkuu Gang Chomba.
Utasubiri sana gaidi Gaddaf habari zake zilishamalizika tangu jana asubuhi.
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha