Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EMT
Hiyo picha ya pili ni Gaddafi kweli? Hayo madevu vipi?
Au huyo ndo Muttassim?
Kwa waliosikitishwa ni muda muwafaka wa kuweka matanga
Wanafurahia kazi yao
wale mabaeberu hatimaye wameweza kufanya waliyokusudia nacho ni kufurahia kutoa uhahi wa shujaa wa africa, haitoshi wanaudhihirishia ulimwengu kwamba unyama ndiyo jadi yao, muhamar gadafi daima utakumbukwa kwenye historia ya maendeleo na mageuzi ya kisiasa na kiuchumi barani africa, kapumzike salama mbele ya haki wasalimie nkuruma, nyerere, abdul nasser,chachage na samola machel, waambie bara la africa limetawaliwa na makuwadi wa ubeberu mamboleo. Amen
And who are your "brothers" here?
Sasa ndio tujiepushe na bangi za CDM pia ipo siku watamuua mtu
Wewe ndio nadhani ufanyi utafiti unadhani wazungu wapo kwa ajili ya kutetea watu? Huko ni kujidanganya kama wamepewa kuchimba migodi na CCM kwa miaka 99..
Jiulize kwa nini Nato na US hawajaenda kumtoa madarakani Mugabe? Hawana maslahi yoyote Zimbwabe..hivi unadhani Wazungu wapo tayari kufa kwa ajili ya kusaidia Waafrika?
Wazungu hawana chama sio CCM wala CHADEMA wenyewe wanataka mambo yao yaendee tu
Story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha
baster rymes knowz!!what is the meaning of the world alahu akibar
Wale Mabaeberu hatimaye wameweza kufanya waliyokusudia nacho ni kufurahia kutoa uhahi wa Shujaa wa Africa, Haitoshi wanaudhihirishia ulimwengu kwamba Unyama ndiyo jadi Yao, Muhamar Gadafi Daima utakumbukwa kwenye Historia ya Maendeleo na Mageuzi ya kisiasa na kiuchumi Barani Africa, Kapumzike salama Mbele ya haki wasalimie Nkuruma, Nyerere, Abdul Nasser,Chachage na Samola Machel, waambie Bara la Africa limetawaliwa na makuwadi wa Ubeberu Mamboleo. AMEN