The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

[h=3][/h]
....SEHEMU ALIPOJIFICHA,SIRTE....
....WAASI WAKIMNG'ANGANIA....
....MAITI YAKE....
....BASTOLA YA GADDAFI....FULL GOLD....

source: blogs

 
Afrika itatawaliwa na nchi za kimagharibi hadi mwisho wa kiama. Afrika haina umoja hata kidogo, Afrika kilamtu yuko kibinafsi na kwa maslahi yake, laiti kama waafrika wangeungana na kuwa kitu kimoja haya manyanyaso ya nchi za kimagharibi kwetu afrika yasingekuwapo. Sijui ni linitutajifunza na sijui ni lini wafrika wataamka kwani kila kukicha kwa maslahi yao (magharibi) wantunyanyasa. Kama kweli wanapenda haki kwanini hawaendi SOMALIA, SUDANI kwenda kutetea huko, ama kwa sababu ni nchi za kimaskini hakuna madini, mafuta na malighafi nyinginezo zitakazo wanufaisha wao.

Tunatawaliwa bila kujielewa kuwa tunanyonywa wanatufanya watakavyo, wanatulekesha wapendavyo AFRIKA itabaki kuwa shimo la takataka kwa nchi za magharibi. Ukija upande wa Libya kweli Gadafi kama mwanadamu na mazuri na mabaya yake hata mimi yapo mazuri na mabaya yangu pia, kwanini tunaona mabaya tu mazuri hayaonekani. Libya watu wanasoma BURE narudia tena BURE kuanzia chekechea hadi vyuo Vikuu wanatibiwa BURE hakuna malipo, umeme na maji pia garama zake ni kidogo sawa na bure. Hivi vyote Libya walipatiwa ni nchi gani ya Afrika inapewa huduma hizi zote.

Upande wangu nchi za maghalibi zimepandikiza chuki na visasi kwa walibya na kamwe hii nchi ya Libya haitokaa kwa amani kwani tayari wameshawekeana visasi, chuki na ukabila ndani yake. na hii dhambi haitokaa ifutike vizazi na vizazi. Wataendelea kupigana sasa wenyewe kwa wenyewe kwani kila mtu atakakuwa kiongozi na kila atakae ingia madarakani ataonekana mmbaya. Nchi za magharibi zimepiga Gadafi sababu ya Mafuta sasa watachukua mafuta yao yakiisha wanaachia nchi yenu kama picha haina mwelekeo.

Gadafi mwanzoni alitaka nchi za kiarabu waungane wawe waoja na wenye sauti moja kwa maslahi ya nchi zao za kiarabu alijitahidi ikashindikana akageukia upande wa nchi zote za Afrika akataka ziungane wawe wamoja wenye sauti moja wameshindwa kuungana. Daima nitamkumbuka kwa mema yote alioyafanya ameacha historia ingawa najua nchi za kimagharibi watajitahidi kuipotosha na kuanika maovu yake tu yale mazuri watayameza.

Afrika imebaki na kiongozi mmoja tu ambaye nae anawindwa sana na nchi za kimagharibi Mzee Mugabe peke yake ndie namwona kwangu ni Jemedari hawaogopi hawa majitu anawaambia ukweli! Libya iko siku watakaa chini na kumkumbuka Gadafi. Nimtazamo wangu binafsi.
 
afrika itatawaliwa na nchi za kimagharibi hadi mwisho wa kiama. Afrika haina umoja hata kidogo, afrika kilamtu yuko kibinafsi na kwa maslahi yake, laiti kama waafrika wangeungana na kuwa kitu kimoja haya manyanyaso ya nchi za kimagharibi kwetu afrika yasingekuwapo. Sijui ni linitutajifunza na sijui ni lini wafrika wataamka kwani kila kukicha kwa maslahi yao (magharibi) wantunyanyasa. Kama kweli wanapenda haki kwanini hawaendi somalia, sudani kwenda kutetea huko, ama kwa sababu ni nchi za kimaskini hakuna madini, mafuta na malighafi nyinginezo zitakazo wanufaisha wao.

Tunatawaliwa bila kujielewa kuwa tunanyonywa wanatufanya watakavyo, wanatulekesha wapendavyo afrika itabaki kuwa shimo la takataka kwa nchi za magharibi. Ukija upande wa libya kweli gadafi kama mwanadamu na mazuri na mabaya yake hata mimi yapo mazuri na mabaya yangu pia, kwanini tunaona mabaya tu mazuri hayaonekani. Libya watu wanasoma bure narudia tena bure kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wanatibiwa bure hakuna malipo, umeme na maji pia garama zake ni kidogo sawa na bure. Hivi vyote libya walipatiwa ni nchi gani ya afrika inapewa huduma hizi zote.

Upande wangu nchi za maghalibi zimepandikiza chuki na visasi kwa walibya na kamwe hii nchi ya libya haitokaa kwa amani kwani tayari wameshawekeana visasi, chuki na ukabila ndani yake. Na hii dhambi haitokaa ifutike vizazi na vizazi. Wataendelea kupigana sasa wenyewe kwa wenyewe kwani kila mtu atakakuwa kiongozi na kila atakae ingia madarakani ataonekana mmbaya. Nchi za magharibi zimepiga gadafi sababu ya mafuta sasa watachukua mafuta yao yakiisha wanaachia nchi yenu kama picha haina mwelekeo.

Gadafi mwanzoni alitaka nchi za kiarabu waungane wawe waoja na wenye sauti moja kwa maslahi ya nchi zao za kiarabu alijitahidi ikashindikana akageukia upande wa nchi zote za afrika akataka ziungane wawe wamoja wenye sauti moja wameshindwa kuungana. Daima nitamkumbuka kwa mema yote alioyafanya ameacha historia ingawa najua nchi za kimagharibi watajitahidi kuipotosha na kuanika maovu yake tu yale mazuri watayameza.

Afrika imebaki na kiongozi mmoja tu ambaye nae anawindwa sana na nchi za kimagharibi mzee mugabe peke yake ndie namwona kwangu ni jemedari hawaogopi hawa majitu anawaambia ukweli! Libya iko siku watakaa chini na kumkumbuka gadafi. Nimtazamo wangu binafsi.
...haswaa, umenena!
 
Sijafurahishwa na jinsi kifo cha Gaddafi kilivyotokea. Ila hii yote inatokana kuwa na watu wanaopigana walio na hasira baada ya kuona wenzao mmoja mmoja akianguka na kufa kwenye battle, achilia mbali wale waliouwawa katika utawala wa Gaddafi. Ingekuwa jambp jema sana kama wangemuacha hai na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria. Strategically Gaddafi inaonesha ama hakuwa na washauri wazuri ama hakusikiliza ushauri wao. Huwezi kwenda kujificha Sirte, mji unaotambulika kuwa ni asili yako.

Anyway hata hivyo ameepuka kudhalilishwa The Hague. RIP Gaddafi. Kilichobakia kwa sasa ni Walibya kuungana kujenga nchi bila kuangalia nani alikuwa nani huko nyuma. Upitishwe msamaha kwa watiifu wa Gaddafi wote ili kujenga Libya mpya.
 
Inaoneka na Mutassim naye alikuwa hai baada ya kukamatwa!

This series of screegrabs from mobile phone video, provided by the AFP news agency, appears to show Gaddafi son Mutassim after his capture and before his death in Sirte on Thursday. Until now, the only images available of Mutassim showed his lifeless body, bearing a circular wound in his neck. In these images, his shirt appears to be covered in blood coming from a similar area.

The images raise the question of how Mutassim, like his father, died after being captured alive.

680_122.jpg


Source: Al Jazeera
 
Look at these statistics:

1. Under Ghadafi rule an ordinary Libyan lived at $2 per day.
2. 40% of Libyans were unemployed.
3. Ghadafi used state's resources to support military campaigns in Idd Amin's Uganda, to Colombia's FARC etc.
4. He ruled for over 42 years and was not prepared to contemplate the possibility of stepping down
5. Less than 1% of Libyans, mostly his family members and close allies enjoyed the national cake
6. He ruled with an iron fist: Dissidents DISSAPPEARED or were imprisoned as political prisoners

Source: Inside Story on Al jazeera.
Halafu bado you feel sorry kwa mtu kama huyu: anaelewa madaraka hadi anatengeneza furniture na bastola ya dhahabu kwa kutumia pesa ya nchi, kweli?
 
Kila jambo na wakati kumbukeni chenye mwanzo kina mwisho wake,iwe unafanya mema au mabaya.
 
Inasikitisha sana! Wanadamu wamekuwa wabaya! huruma sana, mzee wa watu wanamwacha uchi hivyo!
 
Zoezi la kumzika huyu jamaa litacheleweshwa kutokana na watu wanashauku ya kuuona mwili wake nakuhakikisha kua kweli ni Muamar Gaddaf au feki.
 
Maiti za Mutassim na Muammar Gaddafi zilipofikishwa Misrata. TAHADHARI!

 
Last edited by a moderator:
hao ndo panya sasa.asanteni sana panya.watu waanze kuheshimu nguvu ya uma.na huu ndo mfano kwa wote wenye viburi na dhalau kwa wenzao na wale wote wanaojiona wao ndo wenye haki ya kulindwa na polisi na jeshi.mtaweza kunyamazisha kelele lakini si nguvu ya uma.mia
 
sijafurahishwa na jinsi kifo cha gaddafi kilivyotokea. Ila hii yote inatokana kuwa na watu wanaopigana walio na hasira baada ya kuona wenzao mmoja mmoja akianguka na kufa kwenye battle, achilia mbali wale waliouwawa katika utawala wa gaddafi. ingekuwa jambp jema sana kama wangemuacha hai na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria. strategically gaddafi inaonesha ama hakuwa na washauri wazuri ama hakusikiliza ushauri wao. Huwezi kwenda kujificha sirte, mji unaotambulika kuwa ni asili yako.

Anyway hata hivyo ameepuka kudhalilishwa the hague. Rip gaddafi. Kilichobakia kwa sasa ni walibya kuungana kujenga nchi bila kuangalia nani alikuwa nani huko nyuma. Upitishwe msamaha kwa watiifu wa gaddafi wote ili kujenga libya mpya.
msijifanye kusahau namna mamia ya wafungwa walivyouwawa tripol siku mmoja kabla ya kuanguka mikononi mwa waasi
alistahili alichokipata
 
Back
Top Bottom