mamkhande
Member
- Apr 12, 2011
- 45
- 19
Waarabu wamelaaniwa hata kwenye vitabu wameandika,wametiwa vidole vya macho na wamarekani na washirika wao wamekubali hawataakaa wapate raha tena katika maisha yao itakuwa kama Iraq maisha dumu.Leo kumelipuka Tripol kesho benghanzi maisha dumu,na uone vyombo vya habari vya magharibi walivyo washenzi wanatuonyesha wanaoshangalia tu mbona wengine hawawatoi?wametaka mafuta wamepata kwisha kazi.
pamoja na vikwazo vyote lakini mpaka wanampindua hana deni la nje,watu wanasoma bure matibabu, na mishahara wanapewa japo hawafanyi kazi wanataka nini tena?
Tuone hao watakao waweka watawapa maisha haya wakati mmarekani tayari ameshaweka makucha yake pale.itabaki historia tulikuwa tunapewa chakula,matibabu nyumba ,elimu bure.WATAVUNA WALICHOPANDA
RIP Gaddaf