The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi



Umenena Mkuu. Wanadai haki za binadamu wanafiki wakubwa. Kiongozi yeyote anayependa kutokusema ukweli kwa nchi za Magharibi ni mnafiki. Hata kama alikuwa dikteta na hao wauwaji wamarekani mtawaitaje?
Akifa huyu sawa tena wanatoa pongezi. Akifa mwingine hapana wanataka haki itendeke.
Shame on you na wote ambao hamlaani mauaji haya.
Kwangu Ghadafi atabaki kuwa Mwanamapinduzi na Shujaa. Period!
 
watajutia kumuua Gaddafi, zimwi likujualo halikuli likakuisha. Waulize Iraq wanamkumbuka saddam no matter what, his legacy will always be remembered. Gaddafi hakuwa kibaraka wa EAST, WEST Au WAARABU! He was the man of his own kind, hakika he was a leader. RIP G!
 
Ni kweli kabisa maana hata wale waliouwawa Kule Igunga waliuliwa na CDM ukiachilia mbali mamia ya wanaopotea tu bila taarifa, haya asante

Waliuwawa na wauaji siyo CDM.
 
Hivi kumbe ndio maana CCM Inawafanya itakavyo nimeshagundua kuwa watanzania hasa waliomo humu jamvini ni wajinga kupindukia yaani hovyo kabisa! Na ni heri msingepewa mbongo maana ni vilaza wakutupa! Mnaongozwa na ushabiki usio kuwa na maana! Kumbukeni huyu mshenzi gadafi ana damu nyingi sana za watanzania achilia mbali za walibya kwa yale aliyoyafanya kagera.Pili mbona mnakimbilia ku tabiri ya libya wakati wenzenu wameshashinda? Ahh! hivi Tanzania tu salama ee! Katika hali ambayo magamba wanachakachua kila Uchaguzi na kutuendesha katika umaskini wa kutupa.Hamjui kuwa siku si nyingi itakuwa ni afadhali ya libya?Acheni unafki mamluki wakubwa nyie.Libya na iraq ni vi2 viwili tofauti kabisa.Libya ina watu milioni 5.Inaakiba kubwa ya mafuta na fedha za kigeni kwa hiyo kujijenga si kazi ngumu sana.Tatu matatizo ya libya mengi ya likuzwa na Mshenzi Gaddafi kama Ukabila aliutumia ili aweze kudumu na kabila alilolipendelea ni la tripoli ambalo ni kubwa lakini oga kupindukia.Ki2 kilicho kera makabila mengine hasa la bengazi.Ila akitokea kiongozi shupavu ni wazi ataweza kuuondoa kabisa ukabila kwani gaddaf mwanzoni mwa utawala wake alifanikiwa sana kuutokomeza kabla ya kuamua kuutumia tena baada ya umaarufu wake kupungua.Nne tatizo la waislam wenye siasa kali ambao wanapatikana kaskazin ambao kiukweli ni magaidi ila kwakua Kubwa lao Osama kwisha habari yake nao watafyekwa na dröne za wamarekani kwani sio wengi kama Taleban.Ukweli ni kuwa libya itajijenga na kuwa taifa la kuigwa ktk ulimwengu wa kiarabu.It's a matter of time wait and you will see.
 
Hongereni western maana AU NI washenzi kabisa bila nyie kujitowa huyu Kichaa Gaddaf asinge kufa.wakati umefika waafrika tuamke tuwakatae hawa viongozi wetu wanafki kutwa wanatuhubiria amani na kutupumbaza usiku wanahamisha kodi zetu ulaya.Tusingoje ulaya na Amerika waje tuingie msituni yah! Coz second freedom iz coming 2mor bt if will take up step and say enough iz enough.!!
 
Yani nchi 40,na tena nadhani hao wapiganaji wametokea hizo nchi ie Oman nk.Nchi za waarabu.Kilichiofanyika Libya ni uhuni tu.Simple!
 
Last edited by a moderator:
If the Pentagon annual budget is more than 500 Billion USD, then what's just 1 billion?????
 




Madaraka hulewesha, hubadili hulka ya mtu, huonja na kujisikia ana haki miliki kwa maisha. Nilipokuwa shule ya msingi madarasa ya awali tulifundishwa vipindi kupitia radio na sauti ile naikumbuka hadi leo ilisema:
"Zaidi mtu apatavyo ndivyo atamanivyo." Haiingii akilini mtu mwenye heshima na taadhima, aliyekuwa na mamlaka, heshima na enzi kuu kwa miaka 42 ahitimishe maisha yake kujificha chini ya mifereji ya maji machafu akiwa na trigger ya dhahabu, kuwakimbia wanamgambo wasiovaa mavazi ya kivita na miguuni wamevaa sandos za nylone badala ya mabuti ya kijeshi.

Viongozi wetu na waliozoea kuona wana haki za kushika dola kwa miaka nenda rudi hawajifunzi na haya mtu kupoteza heshima na haki ya kuishi kwa raha na kufa kifo cha amani na heshima ya kijamii?

Maisha ya Gadafi na mwisho wake ni funzo kubwa kwa watawala na watawaliwa Afirka.
 

Thanks. Na vipi kuhusiana na sofa na bastola ya dhahabu vinaashiria nini, kulewa madaraka ama kuboresha maisha ya walibya?
 
The media has successfully painted Gaddafi as a hard-core dictator, tyrant whatever you want to call him.

However, the media as usual has also failed to show the kind, giving Gaddafi we never heard of. Gaddafi unlike most dictators I will refrain from naming them has managed to show his humane side, the very side we dream of seeing in other dictators who just talk and talk.

I consider Libyans lucky to a certain extent and one wonders with the new democratic rule they cry for will it improve or worsen life for them. Yes, Gaddafi has spent millions of Libya�s money on personal ventures but is the average Libyan poor?

We know others who take a country and destroy it until you feel like there is no hope of restoring this country and looting some prefer to call it. Did Gaddafi loot Libya in any way?

Now let us get to the unknown facts about the Libyan dictator Muammar Gaddafi. There is no electricity bill in Libya; electricity is free for all its citizens.

There is no interest on loans, banks in Libya are stateowned and loans given to all its citizens at 0% interest by law. Home considered a human right in Libya Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi�s father has died while he, his wife and his mother are still living in a tent.

All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family. Traditional wedding in Tripoli, Libya Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.

Should Libyans want to take up farming career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms all for free.

If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to go abroad for it not only free but they get US$2,300 per month accommodation and car allowance.

In Libyan, if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price. The price of petrol in Libya is $0.14 per liter.

Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion now frozen globally.

Great Man-Made River project in
Libya and $27 billion If a Libyan is unable to get employment after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.

A portion of Libyan oil sale is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens. A mother who gave birth to a child receive US$5,000 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15 25% of Libyans have a university degree.

Gaddafi carried out the worlds largest irrigation project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.

Which other dictator has done much good to his people besides him ?????
SWAPO - The side of Gaddafi they are not telling us about

 
Reactions: Ame
Hivi ni lini Ghadafi alianza kuwa rafiki wa Wa-Tanzania na kwa nini?
 
Hivi hao wanamgambo ninaowaona hapo pichani hawajavaa mabuti ya kijeshi?
Simwoni hata mmoja aliyevaa sendos za nylon.
 
Mkuu hayo yote alifanya kwa pesa za walibya na ni si kutoka mfukoni mwake hata Adolf hitler nae alifanya tena mazuri zaidi yake! Lakini je! Hatakama ni wewe ukapewa kilakitu lakini ukakosa uhuru itakuwaje? Ukapewa vitu ukanyimwa utu itakuwaje? Just try to think before write this pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…