jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Askari umeleta kitu kama si wewe vile.Najuwa pilau uliyokula jana imekulevya.Wapambe wengi wa Kanali Gaddafi humu jamvini ni wakali na hawaambiliki
(Sijajua ni kwa nini)
*Wengi wao hawapendi kusikia upande wa pili wa shillingi.
*Hawana tofauti na Kanali Gaddafi.
*Yaani wana chembechembe za udikteta.
*Ni bora hawana madaraka (kwani wengi wetu tungewakoma!).
Nimewasilisha!
Malkia hana nguvu ya utekelezaji wa kisheria kama kuteua mawaziri kufanya kazi za serikali etc. Yupo pale kama alama ya Taifa tu. Hii ni tofauti na utaratibu wa uongozi wa Libya ambapo Rais ndiye mwenye mamlaka ya mwisho.
Libya wamepandikizwa chuki na mataifa ya magharibi. Hata waliompindua Gadaf ni kwa maslahi ya nchi za magharibi.
sasa vyombo vya habari vya huku na vyenyewe si vinategemea habari za kimataifa kutoka kwenye vyombo vya habari ulivyovitaja!