CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kwa nini Walibya wameamua kumzika Gaddafi kwa siri na mahala pasipojulikana? wanahofia nini?
Kuogopa wafuasi wako kufanya mahali npa kuhiji na chanzo cha fujo-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini Walibya wameamua kumzika Gaddafi kwa siri na mahala pasipojulikana? wanahofia nini?
hao mamia umewaona wapi? Ulikuwa Libya?Huu ni uongo wa wazi na alilipendelea sana kabila lake
haiwezekani mamia ya wanainchi wafurahie anguko lake kama aliwatendea haya
he! Akili kazi yake nini?walio mpindua na kumua ni wakristo makafiri.
Unataka ugonvi na magamba yasiyo na dhamani
He deserved to DIE notwithstanding the aforementioned facts
kwa mujibu wa cnn saif ghaddafi yuko tayari kujisalimisha,na haya yamethibishwa na ntc.