Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
walibya WA-TA-JI-JU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio.............Kwa hiyo tufanyaje sasa? Tumfufue?
he will always remain to be da best eva...THE LION OF AFRICA....I CANT CALL HIM A DICTATOR BUT A LOST SHEEP
Gaddafi mkombozi wetu africa, na rais ajaae wa United States of Africa! Huyu mtu alikuwa ni mwarabu, mwarabu asiye na rafiki wa kiarabu achilia mbali waarabu wa mashariki ya mbali bali hata wa wale majirani zake kama Morocco, Algeria na wengine walikuwa hawampendi; Why?..............Gaddafi rafiki yake akina Membe wa Tz masikini na Museven na Robert Mubabe wa Zimbabwe zote masikini, nani alikuwa anachimba mafuta ya libya? Ni hao hao magharibi: germany, italy ,russia and very lately china.......................... Swali, kwanini Gaddafi hakupata support ya waarabu isipokuwa ccm ya kina Membe na zanupf ya kina Mugabe na wababe wengine wa madaraka..........
Ilikuwa ni vigumu kwa Gaddaffi kuwa na marafiki wa kiarabu kwa sababu ya tofauti ya mitazamo. Kwanza kumbuka hata mfalme Idriss alipopinduliwa na Gaddaffi alikimbilia Marekani na sio Uarabuni au Africa. (kwa sababu Marakani ndio iliokuwa ikifaidi mafuta ya Libya sio waarabu au waafrika) Kubwa zaidi miaka ya 1980 Gaddaffi alijaribu kuishwawishi Opec kwa kuwa vifaa vingi vinavyonunuliwa nchi za magharibi ikiwamo dawa, magari, silaha nk. bei yake hupangwa hukohuko akapendekeza na watoa mafuta waweke utaratibu ambao bei itapangwa na Opec na sio na mataifa ya Magharibi. Moja ya nchi zilizokataa wazo hilo ilikuwa ni Saudia na sababu kubwa ni kuwa Marekani wana urafiki mkubwa na viongozi wa Saudia (sio na wasaudia walalahoi), na hata kuna military bases vya USA Saudia (Ndio sababu Iran hawapatani na Saudia) Na mafuta ya saudia wanayafaidi wamerekani na ndio maana wasaudi wa kawaida ni maskini licha ya mafuta mengi yanayozalishwa Saudia. (wanachi wa Libya waliishi vizuri sana kuliko Saudia)Lakini pia utashangaa Emir wa Kuwaita Jaber al Ahmad alipopinduliwa na Saddam 1990 alikimbilia Marekani na sio nchi za Kiarabu, tofauti na Obete alipopinduliwa na alikimbilia nchi ya Kiafrica Tanzania.
Kwa ufupi ni kuwa nchi nyingi za kiarabu tukiacha chache sana (nadhani kwa sasa imebaki Iran peke yake na Lazima itapigwa!!) zimetiwa mfukoni na nchi za Kimagharibi hivyo si rahisi kupatana na mtu kama Gaddaffi.
Lakini tukumbuke Libya ilipowekewa vikwazo hakuna mwarabu hata moja aliyevipinga waziwazi cha ajabu alikuwa Nelson Mendela baada ya kutoka jela ndie aliefanya kazi ya ziada:
Despite U.N. Ban, Mandela Meets Qaddafi in Libya
Published: October 23, 1997
In Tripoli Mr. Mandela, 79, greeted Colonel Qaddafi with a hug and a kiss on each cheek, saying, ''My brother leader, my brother leader, how nice to see you.''
Mandela said that he had spent 27 years in jail rather than abandon his principles and that he felt the same way about his debt to Colonel Qaddafi for his support in the struggle against apartheid. ''This man helped us at a time when we were all alone,'' Mr. Mandela said...( The NewYork Times)
[h=1]Mandela says UK must drop Libya sanctions[/h] By Anthony Sampson in Cape Town
Friday, 9 February 2001
Tony Blair and Nelson Mandela are locked in a diplomatic stand-off after the former South African president complained yesterday that Britain had reneged on its undertaking to press for the final lifting of sanctions against Libya......... (The independent)
Suala mataifa ya magharibi kama germany, italy ,russia kuchimba mafuta Libya, sio tatizo, tatizo ni kudhulimiwa. Hata hapa Tz watu hawakatai mataifa mengine kuchimba Madini tatizo letu ni pale tunapopata Tsh. 3 kwa kila Tsh. 100 inayopatikana kwenye madini kama dhahabu. Ukitofautisha na nchi nyingi za Kiafrika na hata za kiarabu Gaddaffi alikataa kuiibiwa!!!!! na huo ndio msingi wa chuki:
From 1911 - 1943, Italy's occupation was brutal. Libyans never forgot. After WW II, America, Britain and France dominated the region. In 1951, they combined three distinct regions into Libya - Cyrenaica in the east, Tripolitania in the west, and Fezzan in the south.
Britain enthroned King Idriss. He let America, Britain and France retain military bases and pursue corporate interests. America's Wheelus Air Base near Tripoli dominated the Mediterranean Basin. Washington wants one or more super-bases built on Libyan land as launching pads against the region.
In 1955, Libyan oil was discovered. Three colonial powers controlled it until Gaddafi's bloodless September 1, 1969 coup, ousting King Idris. It was an anti-imperial socialist revolution. Foreign domination ended.
Hata hivyo maelezo haya hayaondoi lawama zetu kwa kumsaidia Idd Amini wakati ule wa vita, Japokuwa ajabu ingine baada ya kuangushwa kwa Nduli Amini alikimbilia Saudia badala ya Libya!!!!!!!!!
Gaddafi alimpiga tafu Iddi.NATO wamewapiga tafu waasi kumng'oa.kitu gani kilichomsukuma ampige tafu Iddi Amin? Kama unakijua ebu niambie maana mimi sifahamu hasaa kinagaubagaa. Mwaka 1978 Gaddafi alimpa Iddi Amini askari(wapiganaji wa kijeshi) 3000, wanajeshi na wanamgambo wa vita vya msituni wenye uzoefu wa vita kutoka jangwa la sahara. Alitoa zana kama vifaru aina ya T-55 , T-54, BTR,APCs,BM-21, katyusha MRLs,pia alimpatia Amin mizinga na ndege za kijeshi aina ya MIG-21s na TU-Bomber. Wakati huo akifanya hayo nchi yetu ilikuwa haina uwezo mkubwa wa kifedha hivyo tukaingia katika madeni makubwa ambayo mpaka leo inasemekana mengine hayajalipwa. Kwa wakati huo miaka hiyo serikali ilitumia USD 5 mil mpaka mwisho wa vita.Huyu ndiyo Gaddafi ambao leo kuna watu wanamlilia kwa sababu walimpelekea bakuri akawapatia mchango kujenga nyumba ya Ibada ambnayo wao wenyewe wangeweza kuijenga bila kupigwa tafu.
Ninachozungumzia hapa ni ile kanuni ya maumbile inayosema kawaida kila mtu anavuna anachopanda yeye alimpiga tafu Idd Amini na NATO na wamewaapiga tafu waasi dhidi yake. Baada ya hiyo vita kumalizika Mwalimu Nuyerere akasema kutakua na dhiki ya miezi kumi na minane (18) baada ya miezi 18 kupita dhiki ikawa pale pale akarudia kusema tena nimekosea nilikuwa nataka kusema ni miaka 18. Baada hiyo 1978 mshahara wa baba yetu ukawa unaisha katika ya mwezi baadaye miaka ya 80 mwanzoni mshahaara ukawa unakaa robo mwezi mzee wetu anatuambia vita hii imeleta great depression katika nchi hii.
Gaddafi angekuwa mzuri kwetu kama angeweza kulipa fidia ya pengo imagine ameodoka ameacha usd 120 tilion katika account yake. Nimesikiwa kuna viongozi tena wa juu wanalalama juu ya alivuyokua mistreated nadhani wao kuna namna yao binafsi walivyofaidika...
hujaeleweka, unang'atang'ata maneno, wabongo mmezoea kulalamikalalaka tuuu kila kukichando shida ya baadhi ya mods kutokuwa waelewa.sasa issue hii niliazisha thread,na watu ni wazi walikuwa wanataka kuijadili.mnajiongezea kazi ninyi wenyewe sometimes for not acting in a s.m.a.r.t way!
We ni mwingine tu "juu ya muti!"hujaeleweka, unang'atang'ata maneno, wabongo mmezoea kulalamikalalaka tuuu kila kukicha
kwamba mimi ni binadamu ninazungumza ila sina mdomo? wewe gavana umechelewa kweli kwa hiyo university of zanzibar na morogoro wanaposema wanafundisha Shariah law wanauhadaa umma?!!
Kwa nini Walibya wameamua kumzika Gaddafi kwa siri na mahala pasipojulikana? wanahofia nini?
DUuuuuh!!!!!!! haha rev we ni kibokoKuzuia asifufuke!
The Libyan Uprising Did Not Take Place
How does coverage of conflict in Libya portray the real actors and their changing identities?
Information dissemination
By the same token, it could be argued that the Libyan Uprising did not take place.................
Si kweli kwamba NTC wanataka kuanzisha SHARIA LAW ambazo hazikuwepo hata wakati wa utawala huo wanaouita wa kidikteta wa Qaddaffi, na tena ikiwa hivyo ina maana Marekani haikujua ilichokuwa inakifanya?NTC katika mambo ya mwanzo waliyofanya,ni kuADOPT SHARIA LAW!