Gaddafi mkombozi wetu africa, na rais ajaae wa United States of Africa! Huyu mtu alikuwa ni mwarabu, mwarabu asiye na rafiki wa kiarabu achilia mbali waarabu wa mashariki ya mbali bali hata wa wale majirani zake kama Morocco, Algeria na wengine walikuwa hawampendi; Why?..............Gaddafi rafiki yake akina Membe wa Tz masikini na Museven na Robert Mubabe wa Zimbabwe zote masikini, nani alikuwa anachimba mafuta ya libya? Ni hao hao magharibi: germany, italy ,russia and very lately china.......................... Swali, kwanini Gaddafi hakupata support ya waarabu isipokuwa ccm ya kina Membe na zanupf ya kina Mugabe na wababe wengine wa madaraka..........
Ilikuwa ni vigumu kwa Gaddaffi kuwa na marafiki wa kiarabu kwa sababu ya tofauti ya mitazamo. Kwanza kumbuka hata mfalme Idriss alipopinduliwa na Gaddaffi alikimbilia Marekani na sio Uarabuni au Africa. (kwa sababu Marakani ndio iliokuwa ikifaidi mafuta ya Libya sio waarabu au waafrika) Kubwa zaidi miaka ya 1980 Gaddaffi alijaribu kuishwawishi Opec kwa kuwa vifaa vingi vinavyonunuliwa nchi za magharibi ikiwamo dawa, magari, silaha nk. bei yake hupangwa hukohuko akapendekeza na watoa mafuta waweke utaratibu ambao bei itapangwa na Opec na sio na mataifa ya Magharibi. Moja ya nchi zilizokataa wazo hilo ilikuwa ni Saudia na sababu kubwa ni kuwa Marekani wana urafiki mkubwa na viongozi wa Saudia (sio na wasaudia walalahoi), na hata kuna military bases vya USA Saudia (Ndio sababu Iran hawapatani na Saudia) Na mafuta ya saudia wanayafaidi wamerekani na ndio maana wasaudi wa kawaida ni maskini licha ya mafuta mengi yanayozalishwa Saudia. (wanachi wa Libya waliishi vizuri sana kuliko Saudia)Lakini pia utashangaa Emir wa Kuwaita Jaber al Ahmad alipopinduliwa na Saddam 1990 alikimbilia Marekani na sio nchi za Kiarabu, tofauti na Obete alipopinduliwa na alikimbilia nchi ya Kiafrica Tanzania.
Kwa ufupi ni kuwa nchi nyingi za kiarabu tukiacha chache sana (nadhani kwa sasa imebaki Iran peke yake na Lazima itapigwa!!) zimetiwa mfukoni na nchi za Kimagharibi hivyo si rahisi kupatana na mtu kama Gaddaffi.
Lakini tukumbuke Libya ilipowekewa vikwazo hakuna mwarabu hata moja aliyevipinga waziwazi cha ajabu alikuwa Nelson Mendela baada ya kutoka jela ndie aliefanya kazi ya ziada:
Despite U.N. Ban, Mandela Meets Qaddafi in Libya
Published: October 23, 1997
In Tripoli Mr. Mandela, 79, greeted Colonel Qaddafi with a hug and a kiss on each cheek, saying, ''My brother leader, my brother leader, how nice to see you.''
Mandela said that he had spent 27 years in jail rather than abandon his principles and that he felt the same way about his debt to Colonel Qaddafi for his support in the struggle against apartheid. ''This man helped us at a time when we were all alone,'' Mr. Mandela said...( The NewYork Times)
[h=1]Mandela says UK must drop Libya sanctions[/h] By Anthony Sampson in Cape Town
Friday, 9 February 2001
Tony Blair and Nelson Mandela are locked in a diplomatic stand-off after the former South African president complained yesterday that Britain had reneged on its undertaking to press for the final lifting of sanctions against Libya......... (The independent)
Suala mataifa ya magharibi kama germany, italy ,russia kuchimba mafuta Libya, sio tatizo, tatizo ni kudhulimiwa. Hata hapa Tz watu hawakatai mataifa mengine kuchimba Madini tatizo letu ni pale tunapopata Tsh. 3 kwa kila Tsh. 100 inayopatikana kwenye madini kama dhahabu. Ukitofautisha na nchi nyingi za Kiafrika na hata za kiarabu Gaddaffi alikataa kuiibiwa!!!!! na huo ndio msingi wa chuki:
From 1911 - 1943, Italy's occupation was brutal. Libyans never forgot. After WW II, America, Britain and France dominated the region. In 1951, they combined three distinct regions into Libya - Cyrenaica in the east, Tripolitania in the west, and Fezzan in the south.
Britain enthroned King Idriss. He let America, Britain and France retain military bases and pursue corporate interests. America's Wheelus Air Base near Tripoli dominated the Mediterranean Basin. Washington wants one or more super-bases built on Libyan land as launching pads against the region.
In 1955, Libyan oil was discovered. Three colonial powers controlled it until Gaddafi's bloodless September 1, 1969 coup, ousting King Idris. It was an anti-imperial socialist revolution. Foreign domination ended.
Hata hivyo maelezo haya hayaondoi lawama zetu kwa kumsaidia Idd Amini wakati ule wa vita, Japokuwa ajabu ingine baada ya kuangushwa kwa Nduli Amini alikimbilia Saudia badala ya Libya!!!!!!!!!