Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
France has become the first country to recognise the Libyan rebel leadership, the National Libyan Council (NLC), as the country's legitimate government.
Source: BBC
uranium!Bora wao wanataka mafuta,vipi bongo tunataka nini, misikiti?
Mbegu ya ubaguzi huu imepandikizwa na Gaddafi kwa sababu anawatumia waafrica kwenye jeshi lake kwa hiyo lazima wachukiwe. Otherwise, Arabs in general are racist towards "black" Africans.Nawasupport protesters .. ila wananichukiza wanaposhambulia Waafrika weusi.. inaeleka wapinzani ni wabuguzi rangi kweli..?
Kama African Union (AU) na sisi waafrica wote tumefyata mkia wacha NATO wafanye watakavyo. We have to learn to take matters into our own hands. Inauma lakini habari ndiyo hiyo!hao wanafik walikuwa wanaomba usiku na mchana Mubarak asiondoke...sasa wameshapeleka meli za kivita karibu na Libya na wanataka kuweka no fly zone Libya!
Ebo! Hiyo fly zone ya kwenu?
..the dictator has superior military resources "over the long term . . . the regime will prevail."
visima milioni 200 vinachimbwa kwa siku au? Maana sijaelewa.Mafuta, mafuta, mafuta in Libya, visima milion 200 kwa siku unadhani mchezo?
Westerners helps only in strategic areas.
Wakapoteze nguvu na muda Ivory coast for nothing?