Nchi ambayo Africa ina maendeleo makubwa na haitegemei Wazungu hata kidogo ni Libya! Ni nchi pekee katika Afrika inayosemesha mtoto toka chekechea hadi chuo kikuu bure, ni nchi pekee ya Afrika ambayo wanafunzi wanasema shida yao kubwa ni parking za kutosha za magari na maktaba ya amazon, ni nchi pekee ya Afrika ambayo imeajiri mamilioni ya wafanyakazi katika Afrika na wazungu pia, ni nchi pekee ya Afrika ambayo hata ilipowekewa vikwazo bado ilipiga hatua, ilitoa gawiwo la mafuta toka $7 kwa pipa mpaka zaidi ya $40 kwa pipa. Pesa nyingi zipo katika kuendeleza nchi.
Tanzania tuna Demokrasia? Demokrasia ambayo mpaka leo bado tupo kwenye nyumba za nyasi na tembe, bado wanawake zaidi ya 60% wanajifungulia kwa wakunga wa jadi au hata bila mkunga maana huduma za afya bado ni duni na hazijawafikia wengi, ambayo chini ya 10% ya Watanzania ndiyo wenye umeme na umeme wenyewe ni wa mgao na watu wanatumia muda wao mwingi na resources kulalamikia hili la 10% tu? Ndugu yangu tunahitaji angalau tuwe na visionary leaders wenye uchungu na nchi yao kama akina Gaddafi na Aliyekuwa Rais wa Ghana Jerry Rawlings, etc. We need visionary and committed leaders to take us to next level. When you have strong economy you can improve on anything. Libya will never be as it was but at least it is now ahead and anyone who takes it from there must spear to a better Libya, a better Africa. Gaddafi will not be there forever and even if not now but his days in office are numbers and I do think that if this ends without ending his power, he will prepare a smooth handover of power and constitution will be redone as was for Tanzania.
Nyerere did a constitution to address term in office after the failed coupe detat in early 80s. Those wanted to overthrow they clearly said we didn't have anyone in particular to become the president but we wanted at least someone elseo be it bad let see how bad he is but we can't continue as a Monarch.
Gaddafi will learn a lesson from this and foster the good and smooth power transition but I DONT AGREE WITH REBELLIONS BEING SUPPORTED BY THE WESTERNERS!!!