The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hakuna watu wenye dharau dhidi ya weusi kama waarabu
Ndio maana wahenga walisema: "Tembea uone." Au John Bokelo (mkongomani) alivyoimba: "Tombola na mokili, yomona makambo. Moto akosala yo mabe, se moninga bomelaka naye..."
 
Kwa waliokuwa direct involved ktk mapigano kwa kumpigania Gaddafi! i am sorry to say i have NO SYMPATHY FOR THEM!mambo yasiowahusu wanayaingilia kwa nini?au njaa zao? ila kwa wale black Africans ambao hawakuwa direct involved hapo nitapinga na hiyo collective ideas za anti Gaddafi hapo wanafanya makosa makosa makubwa sana na lazima wakemewe.
 

Moroccan Arab


Yemeni Arab


Sudanese arab


There are plenty of black Arabs, are they your enemies too?

Wewe unaongea nini, nenda Oman uone. Pale kuna waafrika kutoka zanzibar. Nimeenda na wazungu ktk status moja , na aliyetutuma ni mmoja lakini wale waarabu wakanibagau .wewe usiongee kabisa. Nimekaa na vijidada ofsini pale vinaniuliza unatoka wapi nasema nateka mimi ni mbongo, vikaniuliza unaongea kiswahili nikasema ndiyo, vikasema we hate you. na mimi kwa nini eti waswahili pale oman wote ni wachawi.

siku ya pili yake, nimekaa ofsini pale kaja dereva wa kampuni ile kasema laivu kelebuuuuuuu na maneno mengine sikuyaelewa. wale wasichana walishika mdomo na kusema lahaulaaaa.
Waarabu wabaguzi kuliko jamii yoyote duniani.
 
Kumbuka uArabu si Rangi wala si kontinenti, Uarabu ni lugha. Wengi wa wasiojuwa uarabu ni nini huwa wanafikiri uarabu ni Taifa au mataifa fulani, la hasha, si hivyo kabisa.

Tusidanganyane, uarabu ni uarabu wala si lugha, mswahili aliyezaliwa uarabuni anasota vibaya.Wewe endelea na hadhithi za hekaya. Mswahili hana haki kule, tena mwanamme mweusi achilia mbali msichana anawezwa kubakwa kwa nguvu na mwarabu na mbakaji hafanyiwi lolote.

Ukiona binadamu mweusi anatamba ktk dunia ya uarabuni, asilimia karibu 99 yani 99.9% kampuni anayofanya kazi ni ya mzungu iliyowekeza uarabuni.
 

Waarabu walihasi watumwa wote wa kiafrika.
 
Ni kweli Waafrica weusi walikuwa wakimsaidia Gadafi kama-snipers kuuwa waandamanaji waliokuwa wakimpinga Gadafi. Kwa wenye macho walijua kabisa kuwa once hao rebel wakishinda watawauwa weusi kulipiza kisasi. Kwa hayo weusi wamejitakia wenyewe.


Great Thinkers!!!!!
 
Waarabu walihasi watumwa wote wa kiafrika.
Nafikiri ungekuwa sahihi kama ungesema kuwa asiekuwa Mwarabu hathaminiwi na atabakwa kuliko hayo madai yako. Kwa Waarabu mtu yeyote asiwekuwa wa Kabila lake si sawa nae. Na kwa hilo la kubakwa basi watu wa mataifa mengine wanabakwa zaidi kuliko Waafrika weusi. Mweusi ni mweusi na mataifa mengine kama Philipino, Wahindi, Walaysia na Waarabu wengine kama Wa misri hao ndio wanaobakwa zaidi. Pengine kwa vile Weusi rangi yao ni tofauti mtu huona aibu kuambiwa amembaka Mweusi.
 
Jamani mie naona mmehama kabisa mada, mmehamia kwenye ubaguzi, suala hapa ni hao rebbel wanaompinga gaddafi, kwanza walianza kwa kujionesha ni wana mapinduzi wa amani kama wa misri na tunisia, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo inavyozidi kudhihiri kuwa hawa rebbel ndo wanyama kabisa! Mashambulizi yao karibu 90% yanadhuru raia wa kawaida.
Gadaffi atashinda vita hii, sababu anaungwa mkono karibu 70% ya wananchi wake, hawa waasi wachache hata kama wanasaidiwa na us bado hawatashinda, labda us aingie mzima mzima, na akijaribu basi atapata majuto ya zaidi ya iraq na afghanstan, let us watch, yetu macho wakuu.
 
Sarkozy has gone mad, says Gaddafi


Libyan leader Moamar Gaddafi said his "good friend" French president Nicolas Sarkozy has "gone mad", in a defiant interview with German television.

"He is my friend but I think he has gone mad. He is suffering from a psychological illness,"
Mr Gaddafi told RTL, according to excerpts from the interview due to be broadcast later Tuesday and published in German.

"That is what people say who are close to him. His aides say he is suffering from a psychological illness."
France recently called for air strikes against Mr Gaddafi's forces and moved to recognise the opposition as the sole legitimate representative of the Libyan people.

Mr Gaddafi described the recent upheavals in his country as a "minor event" that would soon end, putting the number of those killed at "only 150 or 200... and half of them were from the security forces".

"They were killed when police stations were stormed. Show us the thousands of people who are supposed to have died," RTL quoted him as saying.

"There have been no demonstrations in Libya. Al Qaeda don't do protests, they never do them. Osama bin Laden's armed bands and mercenaries in the east will be destroyed and everything will go back to normal.

"In most of the country everything is normal. Everything is calm." He also said he no longer trusts the West - except Germany.

"We don't trust their ambassadors any more. They have conspired against us. We don't trust their firms," he said.

"We are going to invest in Russia, India and China now. That's where our money is going to be invested. Oil contracts will now go to Russian, Chinese and Indian firms. You can forget about the West."

-ABC News
 
Niliitwa kelebu

Pole ndugu yangu.
Mimi nilishaitwa "abit" na vitoto vidogo kabisha vya kiarabu. Nilikuwa na rafiki zangu fulani. Nilipouliza maana, ndio nikaambiwa watoto wameniita "slave". Ina maana mpaka leo kwenye familia zao wanawafundisha watoto kuwa mtu mweusi ni mtumwa.
 
Hii saga sijui mwisho wake utakuwa nini maana kila siku naona mambo mapya tu,mara Marais wa Ulaya wanakutana na waasi,mara wanapeleka misaada,nashindwa kuelewa namna ambayo mambo yanakwenda Libya maana kitendo cha nchi za magharibi kuwakubali waasi ni cha hatari sana.
 
Mtoto wa Gaddafi amkandya Sarkozy!

"Sarkozy rudisha mihela yote tuliyolipia kampeni zako za uchaguzi"


16/03 03:34 CET
With troops loyal to Gaddafi advancing on the rebels in the east of the country, the Libyan leader’s son Saif al-Islam has given a defiant exclusive interview to euronews.

Reporter Riad Muasses asked him what he will do with those those who have fought against the regime?”

Saif al-Islam said:” Firstly, they’ve left, you know that at the borders there are crowds who want to return to Egypt. And we with our army and the people we say leave a safe passage for these traitors and the militias. And those who contacted America, Britain and France and those who have asked for the British forces and U.S. army to come back then those and their families are leaving for Egypt.

We don’t want to kill, we don’t want revenge, but you, traitors, mercenaries, you have committed crimes against the Libyan people: leave, go in peace to Egypt.”

With the United Nations considering a resolution to impose a no-fly zone, euronews asked what will the Gaddafi regime do if it’s adopted?

Saif al-Islam said:“Military operations are over. Within 48 hours everything will be finished. Our forces are almost in Benghazi. Whatever the decision, it will be too late.”

Gaddafi’s son was then asked that as France was the first country to recognize the national council of the revolution what was his opinion of President Sarkozy?

Saif al-Islam:“Sarkozy must first give back the money he took from Libya to finance his electoral campaign. We funded it and we have all the details and are ready to reveal everything. The first thing we want this clown to do is to give the money back to the Libyan people. He was given assistance so that he could help them. But he’s disappointed us: Give us back our money. We have all the bank details and documents for the transfer operations and we will make everything public soon.”

-Euronews
 
kama hali inavyoendelea huko libya na ufaransa kuwa nchi ya kwanza kuwatambua waasi wa libya kwamba ndio wawakilishi halali wa libya kimataifa, hali inaonekana kuwa sio hali leo baada ya serikali ya libya kuanika hadharani ya kwamba ilidhamini shughuli zote za kampeni ya bwana sarkozy mwaka 2007 zilizomwingiza madarakani bwana huyu kwa lengo la kuwasaidia watu wa libya lakini yeye amewageuka na kuwasaliti watu wa libya! Source:www.gurdian.co.uk/world. Kama huo ndo ukweli wenyewe sarkozy pia hafai kuwepo kwenye nafasi aliyopo sasa na anatakiwa aachie ngazi kwa sababu kama alidhaminiwa serikali batili inayokandamiza wananchi wake kama ambavyo amekuwa akihubiri basi na yeye pia amechangia kuwakandamiza wananchi wa libya kwa sababu huenda asingechukua fedha hizo zingebaki kuwasaidia watu wa libya. Pili sheria za ufaransa haziruhusu chama kudhaminiwa na wadhamini kutoka nje ya nchi, hivyo basi kuingia kwake madarakani kumevunja sheria hivyo kuwa si halali na kwa mujibu huu basi na yeye inampasa ang'oke na apishe watu wengine watakaoingia kihalali. Nawasilisha mada wadau karibuni sana!
 
"We funded Sarkozy election and now he dissappointed us so we want our money back. We have all details and money bank transfer , soon we will make all these public" alisema mtoto wa Gaddafi alipokuwa anahojiwa na euro news.
So guys Sarkozy alikurupuka au kuna mgongano wa maslahi hapa.
 

Teh teh, hii akili au matope? pesa za mafuta ya Libya ukampelekea mjanja Sarkozy! maumivu ya kichwa huanza pole pole.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…