The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Arab League wanaunga mkono no fly zone katika Libya hawaungi mkono military intervention iliyofanywa na France......AU hawana sauti ila roho zao zinaomba Gadafi awashinde hawa mahasidi na wauaji wa magharibi.:smash:
Hapo kwenye nyekundu hapo mmmh hao Arab League walitoa tamko?!!!
 
Target Libya: Video of French fighter jets headed for Benghazi



 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu,
Hakika Dunia hii hakuna anayeweza kutamba milele. Kama ni ubabe mtu anaweza kuwa nao kwa muda tu. Hivi ni nani aliyewahi kufikiri au hata kwa kuota ndoto tu kwamba Gaddafi atakuja kung'oka madarakani kwa nguvu bila ridhaa yake? Kwa jinsi hali ilivyo, Gaddafi atafikishwa katika mahakama ya kimataifa nchini Uholanzi ndani ya muda mfupi ujao.

Mataifa yenye nguvu za kijeshi Duniani yapo kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kuingia Libya. Muda mfupi ujao tutasikia mazito kutoka Libya. Mataifa hayo ni Marekani, Ufaransa, Uingereza, Denmark, Canada, n.k.

Labda hili linaweza kuwa fundisho kwa viongozi wengine wa kiafrika. Tuombe Mungu yasitokee kwetu.
 
Yes... that will teach all Dictators around the world that there is an End to their Nasty Empire...

They are no longer above the LAW!!!
 
hapo kwenye nyekundu hapo mmmh hao arab league walitoa tamko?!!!

walitoa.....walipitisha resolution tuesday Cairo ambako foreign ministers wote wa arab league walikutana.....they agreed on no fly zone and humanitarian support in Libya na wakakataa military intervention......walichofanya France leo baada ya kukutana na nchi nyingine za ulaya na arab league ni kinyume cha makubaliano ya OIC na Arab League....

An Arab League official also said a draft resolution voted on by the Arab League opposes foreign military intervention in Libya. The Arab League's Deputy Secretary-General, Ahmed bin Heli, said that the resolution also calls for the unity of Libya, approve sending aid to the North African nation and back formation of a fact-finding mission.
 
Mbona France wameshapiga Tankers nne za Libya jioni ya leo???? angalia Aljazeera maana kwa kupenda source hamjambo
 
Baada ya kusoma posts kadhaa humu nimegundua siku zote US itachukiwa no matter what they do or don't do. Walikuwa wapi kutoa msaada, kwa nini wanasaidia nchi hii hawasaidii nchi ile, msaada wanaotoa hautoshi, wamechelewa kuingilia kati, wawachie wananchi waamue wenyewe etc etc kwa mfano kwenye hii issue wanao spear head ni France, Canada na Arab League lakini everybody and their mama wako kwenye koo la US funny stuff kwa kweli.
 
www.bbc.co.uk/news/world-africa-12795971
aljazeer nao wanasema
www.english.aljazeera.net/
 
Wafaransa wameanza kumtwanga Gaddafi



French warplanes have reportedly launched an all-out attack on the Libyan territories as violence continues to haunt the North African country. Around 20 French aircraft bombed the positions of forces loyal to embattled Libyan ruler Muammar Gaddafi. The French plane fired the first shot in Libya at 1645 GMT and destroyed its target, according to a military spokesman. A statement by the French Army says that a military vehicle belonging to Gaddafi forces has been targeted, AFP reported.

Meanwhile, witnesses were quoted by Al-Jazeera as saying that four Libyan tanks have also been destroyed by French warplanes. The military spokesman said Paris is sending its Charles De Gaulle aircraft carrier to the Libyan coast. The US and several other western countries' air forces and navies are expected to join the French.

US Secretary of State Hillary Clinton has said the US would use its "unique capabilities" to reinforce its European allies. Canadian Prime Minister Stephen Harper says a naval blockade is also being put in place around Libya's coastal areas.

Canada, Norway and Denmark say they are ready to send their F-16 warplanes, while Italy, Spain and Britain will provide airbases and other military assistance. France is also providing a major air base in the port city of Marseille.

Meanwhile, NATO members have met in Brussels for details of a military action plan.

The attack comes hours after French President Nicolas Sarkozy said Paris would lead an attack on Libyan territories in a bid to protect the civilian population.

Earlier in the day Colonel Gaddafi intensified attacks on the eastern city of Benghazi, killing more than two dozen revolutionaries.

The regime's troops also downed an aircraft operated by revolutionary forces

Source
 

Mbwa koko ameshaufyata mkia. Who's next?
 
Marekani wamelaunch first missile according to The Pentagon,Hivi sasa tunasubiri statement kutoka kwa Obama anytime.
Source:msnbc
 
Nice try but, ili tamko lilitolewa March 1st, wakati wanatoa tamko ilo hali haikuwa mbaya kulinganisha na sasa. Cha kujiuliza ni nini kilichowafanya wakapiga U-turn?
Military intervention in Libya opposed by OIC, Arab League - Arab News
Arab League ministers to reject military intervention in Libya - Haaretz Daily Newspaper | Israel News
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…