Kuwapiga vita kutawarudisha nyuma kimaendeleo wananchi wa Libya na Taifa lao kwa ujumla in all aspects,yani faida za vita ni ndogo sana kulinganisha na hasara zake za kiuchumi,socially na upotevu wa maisha.However on the other hand,mataifa hayo yanayodondosha mabomu, wananchi wake wako poa tu na makampuni yao ndo yananufaika..Go figure.mtaishia kukoment kiushabiki bila kuangalia kiundani hili suala la libya, kila mtu anasema gaddafi ni dikteta lakini tunasahau kuwa tunatumia tafsiri na criteria za ulaya kujua yupi ni dikteta na yupi ni mwana demokrasia, katika hili tumeridhia fikra zetu kutekwa na wazungu na kuona kwamba wao ni exceptional kila watakachosema kinakuwa sahihi, mimi bado siamini kama ni kweli wananchi wengi wa libya wanamchukia gaddafi kama ambavyo vyombo vya habari vya kimagharibi vimekuwa vikiripoti na bila kusahau wamagharibi wana chuki na gaddafi, gaddafi ataondoka madarakani coz hakuumbwa kutawala milele ila kuna mambo mengi ya msingi ya kimaendeleo aliyowafanyia mwanachi mmoja mmoja ndani ya libya ambayo hata huyo ufaransa mwenye kimbele mbele kwenda kushambulia libya hajawahi kuwafanyia wananchi wake.
NATO is not holding back kwa kweli 110 TOMAHAWK missiles in a short period of time.
By the way ili uweze kuenforce No Fly inabidi ulipue SA-5 na Anti Aircraft kabla ya kuanza kutuma jets za kupatrol anga ya nchi husika.
BBC: Quoting Libyan state TV saying 'Zionist forces have attacked a hospital'. Kama kawaida yao.
yap-bila hivyo wanaweza tumia SAM wakaleta uharibifu kwa allied forcesNATO is not holding back kwa kweli 110 TOMAHAWK missiles in a short period of time.
By the way ili uweze kuenforce No Fly inabidi ulipue SA-5 na Anti Aircraft kabla ya kuanza kutuma jets za kupatrol anga ya nchi husika.
Wakimaliza hapo watatuma (US) Global Hawk for surveillance wakati France watakuwa wanarusha Mirage na Rafale, Waingereza wameshaanza kusogeza ndege zao kutoka Cyprus kwenda Sicily vile vile kuna possibility ya France kuruhusi base ya Marseille kutumika kama ya Sicily na Malta itakuwa imejaa.Kwa maana hiyo tutaziona tena Tornadoes, Jaguars, F-15, F-16, F-22, Stealth fighter, B-22, Apache Choppers, na nyinginezo?
Hawa West na US ni wao pia wanaowalinda Madikteta ulimwenguni kote na kuwatumia kama "kondom". Kazi inapokwisha ndio kama haya ya Gaddaffi.Ndugu zangu,
Hakika Dunia hii hakuna anayeweza kutamba milele. Kama ni ubabe mtu anaweza kuwa nao kwa muda tu. Hivi ni nani aliyewahi kufikiri au hata kwa kuota ndoto tu kwamba Gaddafi atakuja kung'oka madarakani kwa nguvu bila ridhaa yake? Kwa jinsi hali ilivyo, Gaddafi atafikishwa katika mahakama ya kimataifa nchini Uholanzi ndani ya muda mfupi ujao.
Mataifa yenye nguvu za kijeshi Duniani yapo kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kuingia Libya. Muda mfupi ujao tutasikia mazito kutoka Libya. Mataifa hayo ni Marekani, Ufaransa, Uingereza, Denmark, Canada, n.k.
Labda hili linaweza kuwa fundisho kwa viongozi wengine wa kiafrika. Tuombe Mungu yasitokee kwetu.
kweli wewe ni VUVUZELA......kelele nyingi nyuma ya keyboard huna hata guts alizonazo Gadaffi.....ni mwanaume wa ukweli na dunia inatambua hivyo ndo maana wamejipanga ipasavyo kumtoa......wewe una lipi la maana zaidi ya kutoa matusi kwa wanaume kupitia keyboard yako?not even face to face?????:washing:
Let's wait and see. What is conspiquous today is the total absence from the public of both Gaddafi and his outspoken son, Saif. Kwa lugha ya kikwetu, inaoneka kama wameingia mitini!Libya tv claims have shot down one french plane
Vyovyote iwavyo,muhimu ni kuwa hao watu tayari wameanza uharibifu kwenye nchi za watu.hapo kwenye red mkuu-U.S.A hawajatuma ndege hata moja-wame-launch missiles zao kutoka kwenye warship
I certainly agree...Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hawa West na US ni wao pia wanaowalinda Madikteta ulimwenguni kote na kuwatumia kama "kondom". Kazi inapokwisha ndio kama haya ya Gaddaffi.
Wakuu tunasahau unafiki wa hawa watu kwa haraka.
Ngoja waichakachue Libya tuone baada ya miaka 10 ijayo Libya ikoje kama maradhi na umasikini wa hapa kwetu utatuonea huruma na kutuacha hai ili tuone demokrasia Mpya ya Libya.
Naheshimu maoni yako lakini all in all Libya belongs to all Libyans, and not only to Gadhafi and his sons. Wananchi wametaka mabadiliko, alichotakiwa ni kuwasikiliza na kukaa nao chini, lakini aliamua kuwauwa na hayo ndio matokeo yake.I certainly agree...Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hapo utagundua wameshagawana huku wakija kwenye microphone wanadai ni kuwaprotect wananchi wa Libya.....Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawwathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then hata kama wasingepigwa vita.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns na wakati wanaifanya kuwa mbaya zaidi.