The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

NATO is not holding back kwa kweli 110 TOMAHAWK missiles in a short period of time.

By the way ili uweze kuenforce No Fly inabidi ulipue SA-5 na Anti Aircraft kabla ya kuanza kutuma jets za kupatrol anga ya nchi husika.
 
mtaishia kukoment kiushabiki bila kuangalia kiundani hili suala la libya, kila mtu anasema gaddafi ni dikteta lakini tunasahau kuwa tunatumia tafsiri na criteria za ulaya kujua yupi ni dikteta na yupi ni mwana demokrasia, katika hili tumeridhia fikra zetu kutekwa na wazungu na kuona kwamba wao ni exceptional kila watakachosema kinakuwa sahihi, mimi bado siamini kama ni kweli wananchi wengi wa libya wanamchukia gaddafi kama ambavyo vyombo vya habari vya kimagharibi vimekuwa vikiripoti na bila kusahau wamagharibi wana chuki na gaddafi, gaddafi ataondoka madarakani coz hakuumbwa kutawala milele ila kuna mambo mengi ya msingi ya kimaendeleo aliyowafanyia mwanachi mmoja mmoja ndani ya libya ambayo hata huyo ufaransa mwenye kimbele mbele kwenda kushambulia libya hajawahi kuwafanyia wananchi wake.
Kuwapiga vita kutawarudisha nyuma kimaendeleo wananchi wa Libya na Taifa lao kwa ujumla in all aspects,yani faida za vita ni ndogo sana kulinganisha na hasara zake za kiuchumi,socially na upotevu wa maisha.However on the other hand,mataifa hayo yanayodondosha mabomu, wananchi wake wako poa tu na makampuni yao ndo yananufaika..Go figure.
 
BBC: Quoting Libyan state TV saying 'Zionist forces have attacked a hospital'. Kama kawaida yao.

t1panoflagwomangi.gif
 
NATO is not holding back kwa kweli 110 TOMAHAWK missiles in a short period of time.

By the way ili uweze kuenforce No Fly inabidi ulipue SA-5 na Anti Aircraft kabla ya kuanza kutuma jets za kupatrol anga ya nchi husika.

Kwa maana hiyo tutaziona tena Tornadoes, Jaguars, F-15, F-16, F-22, Stealth fighter, B-22, Apache Choppers, na nyinginezo?
 
NATO is not holding back kwa kweli 110 TOMAHAWK missiles in a short period of time.

By the way ili uweze kuenforce No Fly inabidi ulipue SA-5 na Anti Aircraft kabla ya kuanza kutuma jets za kupatrol anga ya nchi husika.
yap-bila hivyo wanaweza tumia SAM wakaleta uharibifu kwa allied forces
 
Watu wenye kiburi kama Gaddaffi this is what they deserve. USA, Canada, France, UK etc. wanajaribu kutuma ujumbe kwa dikteta wote dunia huu ndio mshahara wao baada ya kufanya kiburi na kuzidi kuwatesa na kuwauwa watu wao.
 
Katibu Mkuu wa Bunge la Libya Mohammed Al Zawi hivi sasa anaongea na waandishi wa habari. Anaonekana ana huzuni na uoga kwa wakati mmoja.
 
Kwa maana hiyo tutaziona tena Tornadoes, Jaguars, F-15, F-16, F-22, Stealth fighter, B-22, Apache Choppers, na nyinginezo?
Wakimaliza hapo watatuma (US) Global Hawk for surveillance wakati France watakuwa wanarusha Mirage na Rafale, Waingereza wameshaanza kusogeza ndege zao kutoka Cyprus kwenda Sicily vile vile kuna possibility ya France kuruhusi base ya Marseille kutumika kama ya Sicily na Malta itakuwa imejaa.
 
Tatizo ni mindsets...Ebu cheki hii katuni enzi zile...
kscn265l.jpg

Source: CartoonStock.com
 
Ndugu zangu,
Hakika Dunia hii hakuna anayeweza kutamba milele. Kama ni ubabe mtu anaweza kuwa nao kwa muda tu. Hivi ni nani aliyewahi kufikiri au hata kwa kuota ndoto tu kwamba Gaddafi atakuja kung'oka madarakani kwa nguvu bila ridhaa yake? Kwa jinsi hali ilivyo, Gaddafi atafikishwa katika mahakama ya kimataifa nchini Uholanzi ndani ya muda mfupi ujao.

Mataifa yenye nguvu za kijeshi Duniani yapo kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kuingia Libya. Muda mfupi ujao tutasikia mazito kutoka Libya. Mataifa hayo ni Marekani, Ufaransa, Uingereza, Denmark, Canada, n.k.

Labda hili linaweza kuwa fundisho kwa viongozi wengine wa kiafrika. Tuombe Mungu yasitokee kwetu.
Hawa West na US ni wao pia wanaowalinda Madikteta ulimwenguni kote na kuwatumia kama "kondom". Kazi inapokwisha ndio kama haya ya Gaddaffi.

Wakuu tunasahau unafiki wa hawa watu kwa haraka.
Ngoja waichakachue Libya tuone baada ya miaka 10 ijayo Libya ikoje kama maradhi na umasikini wa hapa kwetu utatuonea huruma na kutuacha hai ili tuone demokrasia Mpya ya Libya.
 
627.jpg

A pilot boards his French Dassault Rafale combat aircraft, seen in this photo released by ECPAD (French Defence communication and audiovisual production agency), at the Saint-Dizier military base, eastern France, March 19, 2011, before taking off on a mission to overfly Libya.

p44854-canadian-f18-hornet-fighters.html
1221.jpg

Canadian CF18 Hornet fighters arrive at the air base of Trapani Birgi in the southern island of Sicily on March 18, 2011. Italian air bases could play a key role in any military action against Libya but the prospect of Rome's first operation against its former colony since World War II carries high risks, experts said.

4101.jpg

Crew members perform pre-flight preparations on Italian Tornado ECR fighters at the Trapani Birgi air base in the southern island of Sicily on March 18, 2011. Italy on March 18 offered the use of its air bases to impose a no-fly zone on Libya and said it could help take out Libyan radars and defence systems after the UN cleared the way for air strikes. Italy has 'granted the use of military bases on its national territory', the government's press office said after an emergency cabinet meeting in Rome.

2175.jpg

A Danish F-16 Fighting Falcon jet fighter flies over the Sigonella NATO Airbase in the southern Italian island of Sicily March 19, 2011.
 

Attachments

  • 627.jpg
    627.jpg
    26.5 KB · Views: 15
kweli wewe ni VUVUZELA......kelele nyingi nyuma ya keyboard huna hata guts alizonazo Gadaffi.....ni mwanaume wa ukweli na dunia inatambua hivyo ndo maana wamejipanga ipasavyo kumtoa......wewe una lipi la maana zaidi ya kutoa matusi kwa wanaume kupitia keyboard yako?not even face to face?????:washing:

Mwambie colonel aombe msaada wa kijeshi toka kwa Chavez, China, Mugabe na Ahemedinajad, ni maswahiba na washkaji zake kinoma lakini mbona wote wameuchuna na kuufyata nao? Nilitegemea wange-stand up and kum-defend him militarily. Si wamsaidie wakati wa shida kama huu, ama nao ni wale marafiki wakati wa furaha tuu kama JK, Arab League na AU?
Like Saadam, Gadhafi's days are numbered. He'll go down the toilet
 
Libya tv claims have shot down one french plane
Let's wait and see. What is conspiquous today is the total absence from the public of both Gaddafi and his outspoken son, Saif. Kwa lugha ya kikwetu, inaoneka kama wameingia mitini!
 
hapo kwenye red mkuu-U.S.A hawajatuma ndege hata moja-wame-launch missiles zao kutoka kwenye warship
Vyovyote iwavyo,muhimu ni kuwa hao watu tayari wameanza uharibifu kwenye nchi za watu.
Hii kupiga Tripoli,Misrata jee hii ndio ku-impose no fly zone?.
Nazipkongeza nchi za kiafrika kukaa kimya na nawalaumu waarabu kwa uzezeta wao juu ya hili na lile.


 
Libya state TV wanasema wameiangusha ndege moja ya ufaransa.Waingereza nao wameanza strikes
Source:msnbc
My Take:Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hapo utagundua wameshagawana especially hiyo miji yenye mafuta na huku wakija kwenye microphone wanadai ni kuwaprotect wananchi.Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawwathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then hata kama wasingepigwa vita.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns na wakati wanaifanya kuwa mbaya zaidi.
 
Hawa West na US ni wao pia wanaowalinda Madikteta ulimwenguni kote na kuwatumia kama "kondom". Kazi inapokwisha ndio kama haya ya Gaddaffi.

Wakuu tunasahau unafiki wa hawa watu kwa haraka.
Ngoja waichakachue Libya tuone baada ya miaka 10 ijayo Libya ikoje kama maradhi na umasikini wa hapa kwetu utatuonea huruma na kutuacha hai ili tuone demokrasia Mpya ya Libya.
I certainly agree...Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?

Hapo utagundua wameshagawana nchi na percentage mpya za biashara ya mafuta,eti masharti wawarudishie hao rebels sehemu zote walizokomboa kutoka mikononi mwao,huku wakija kwenye microphone wanadai nia ya mashambulizi ni kuwaprotect wananchi wa Libya.....

Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawaathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then(40 years to come) hata kama wasingepigwa vita na haya mataifa makubwa.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns ndiyo inawafanya wawapige mabomu na wakati wanaifanya hali ya maisha ya mwananchi wa Libya kuwa mbaya zaidi...Nani amesahau picha za wairaki kujipanga foleni kwenye pampu za mafuta?Yani nchi ya pili duniani kwa wingi wa mafuta lakini wako kwenye line na pengine wengine waishie kutoyapata.

Maisha ya Mlibya yatakuwa in a worst condition after the war,tena maybe in many decades to come,sasa hapo sioni ni kivipi maslahi yao yatakuwa yametetewa.
 
I certainly agree...Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hapo utagundua wameshagawana huku wakija kwenye microphone wanadai ni kuwaprotect wananchi wa Libya.....Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawwathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then hata kama wasingepigwa vita.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns na wakati wanaifanya kuwa mbaya zaidi.
Naheshimu maoni yako lakini all in all Libya belongs to all Libyans, and not only to Gadhafi and his sons. Wananchi wametaka mabadiliko, alichotakiwa ni kuwasikiliza na kukaa nao chini, lakini aliamua kuwauwa na hayo ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom