rebels walishakubali ceasefire-ndo maana walikua wanaomba support ya no fly zoneNimekaa najiuliza, what if rebels wakigoma kukubaliana na Ceasefire Call wanajeshi wa Gaddafi watasimama tu na kuuliwa ama watajibu mapigo?
Ila Gaddafi kawaweka wanajeshi wake kwenye hali ngumu sana especially wale walioko karibia na Benghaz, maana soon watarun out of supply na hapo ndio kimbembe kitaanza wakiadvance kwenda mbele wanakuwa pounded wakirud nyuma nao si salama.rebels walishakubali ceasefire-ndo maana walikua wanaomba support ya no fly zone
Wewe inaonekana akili yako haipimi inachokiona na ukweli wa mambo.Kila kiongozi ana maadui,lakini Ghadhafi ana maadui kidogo zaidi kwani hayo ya kuuwa wananchi wake hajafanya kupelekea kujijengea maadui.Wale waasi waliotoka na mizinga kumtishia ni watu wachache ukiwemo wewe na nchi za ulaya wanaowasikitikia.Unaweza kuwapeleka punda kwenye mto ila huwezi kuwalazimisha kunywa maji. Gaddafi kama anataka kuondoka madarakani haraka awapatie silaha raia ndiyo atajua kuwa wanamuunga mkono au wananmpinga. Hizi ni propaganda za mtu anayetapatapa. Gaddafi amejenga maadui wengi zaidi miongoni mwa wananchi wa Libya kuliko foreign countries. Alianza na kuua raia wake ambao wengi mpaka leo bado wanahasira nae, ukitaka kujua kuwa Gaddafi anatishia nyau ungeangalia siku UN inapitisha resolution walivyokuwa wanashangilia. Kwa ujumla ukiona askari unaowalipa vizuri na ambao wameapa kulinda nchi yao kwa amri yako wanakugeuka jua raia hawapo upande wako kabisa. Raia wote wanaomuunga mkono si kwa matakwa yao bali wanajua kuwa wasipofanya hivyo watauwawa.
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.
Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.
Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.
Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.
Ni kweli wako katika hali ngumu lakini wacha wafe kishujaa.Ila Gaddafi kawaweka wanajeshi wake kwenye hali ngumu sana especially wale walioko karibia na Benghaz, maana soon watarun out of supply na hapo ndio kimbembe kitaanza wakiadvance kwenda mbele wanakuwa pounded wakirud nyuma nao si salama.
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.
Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.
Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.
Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.
Mkuu kurudi nyuma si salama kwa sababu katika vita yoyote sidhani kama mtu unayepigana naye atakuruhsu urudi ukajiunge na wenzako ili muwe na nguvu zaidi, option waliyonayo ni kusurrender na kuwa POW.Ni kweli wako katika hali ngumu lakini wacha wafe kishujaa.
Umesema wakiadvance kulekea Benghazi wanakuwa pounded. Sasa wakirudi nyuma kwanini wapigwe?.
Unavyozungumza ndivyo itakavyokuwa na ndio utajuwa kuwa nia sio no fly zone bali kumuondoa Ghadhafi madarakani na kuiba rasilimali za Libya.Mfano huo ndivyo ilivyokuwa katika vita vya Iraq na Kuwait.Idadi kubwa ya jeshi la Saddam liliuliwa likiwa limefunga virago kurudi nyumbani huku mitutu ya vifaru ikiwa haina risasi na askari hawako tena na hamasa za kivita baada ya kuamriwa kurudi nyumbani kufuatia azimio la kusitisha vita lililotiwa saini kati ya Iraq na Kuwait lililosimamiwa na UN.
Hawa watu kuvunja sheria na mikataba na kusema uongo ni jambo la kawaida kwao.Mimi huwa nashangaa akili za watu wanaowaunga mkono wanapofanya unyama huu!.
hawa wana fire ant-air craft hovyo hewan maana hawana tena rada na hawajui ni saa ngapi jets zitakuwa znapitaJeshi la Libya likifire anti aircraft missiles usiku huu
ni bora waache hizo silaha na kukimbia kutafuta sehem salama wasubir hali itulie-la sivyo watakufaIla Gaddafi kawaweka wanajeshi wake kwenye hali ngumu sana especially wale walioko karibia na Benghaz, maana soon watarun out of supply na hapo ndio kimbembe kitaanza wakiadvance kwenda mbele wanakuwa pounded wakirud nyuma nao si salama.
Duh hizo kitu ni za 1960s seriously can they keep up with the modern technology? By the way hiyo ya kusema kazificha mbali ni the dumbest idea ever unless hana mpango wa kutungua ndege za coalition forces.British report that libya integrated air defence system were knockedout was overstated.in the third week of february gadaf removed his more sophisticated weaponry from those installation and hidden away at secret facilities on sahara desert southern of libya out of range of british and france warplane,gadaf therefore retain intact his store of russian made SA-5 missile which can hit medium to high flying aircraft
Yeah waweke silaha chini watulizane tu, wakisema warudi nyuma na silaha zao bila kujisalimisha watakuwa considered kiwa bado wako vitani.ni bora waache hizo silaha na kukimbia kutafuta sehem salama wasubir hali itulie-la sivyo watakufa
Gaddafi may become target of air strikes, Liam Fox admits
Coalition forces accused of mission creep and disproportionate action against Tripoli
Gaddafi may become target of air strikes, Liam Fox admits | World news | The Guardian
Arab League says it wanted no-fly zone, not bombs
Daily Times - Leading News Resource of Pakistan