The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

1854: The spokesman said all Libyan armed forces units have been told to follow a ceasefire, beginning at 2100 local time

Nimeona ila kwa nini hawakuimplement cease fire juzi walipotangaza?, walitamka kuwa wana Observe cease fire huku wakifanya mipango ya kuichukua Benghazi harakaharaka sasa maji yamefika shingoni wanakuja na tamko jipya. Kwa kuwa mchana walikuwa wanaipiga Misurata ngoja usiku wa leo wale kichapo tena kesho wajifikirie upya.

My heart and prayers goes to those Soldiers who have not been told that they are facing the world's almighty military power. Jamaa wanadanganywa kuwa wanapigana na rebbels wasonge tu. Masikini wanakufa bila sababi kwenye tanks za Gaddafi.
 
Je mkuu sidhani kama hoja yako imeshiba.

Ni kwa vipi watu wamiminikie Ulaya na kwa ruhsa ya nani?

France na Italy wao wamekuwa siku zote wakimhimiza Gaddafi kuchukua hatua madhubuti kuzuia wahamiaji wenye lengo la kwenda Ulaya kw kuvuka bahari ya Mediterranian.

Mimi nadhani ungesema kwamba kwenda Ulaya kupitia Libya kutakuwa kugumu.
 
Ukipita pale tuu gadafi anakunyaka ukasaidie jeshi lake.
 
Poor Gadafi, angelikuwa mjanja asingelifikia hapa...
Pamoja na kwamba huyu Bwana ni Mkorofi lakini naamini Wamarekani na Waingereza wana lao jambo kuhusu mafuta ya Libya..
 
Mbona watu waliuliwa arusha hao un security hawakushika adabu utawala wa tanzania?
 
Aende zake tu bado Mugabe wote hawa hawatufai kabisaaaaa kama Ghadafi alileta wanajeshi waje kuja kupigana alongside na wanajeshi wa NDULI IDD Amin dhidi ya Tanzania wewe leo unamwona mtu mzuri huyooo!!!
 
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.

Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.

Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.

Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.
 
Nikweli tupu ktk makala iliyoandikwa hapojuu,hata canal gaddafi jana alionya nchiyake ikivamiwa kijeshi basi ukanda wote wa mediterenian na nchi za ulaya watajutia,huwezi jua nayeye anaweza kuamua kujibu mapigo kutwanga kwa makombora miji ya marseile france na huko italy,hapo ndio kina sarkozy watakapoondoshwa madarakani na raiawao kwahasira baadayakushambuliwa namajesh yalibya yaliyochokozwa,walishazoea kuuwa wenzao wao wako mbali ila kwahili la libya watakoma,makombora ya gadafi yanatua mpk ulaya.
 
Nikweli tupu ktk makala iliyoandikwa hapojuu,hata canal gaddafi jana alionya nchiyake ikivamiwa kijeshi basi ukanda wote wa mediterenian na nchi za ulaya watajutia,huwezi jua nayeye anaweza kuamua kujibu mapigo kutwanga kwa makombora miji ya marseile france na huko italy,hapo ndio kina sarkozy watakapoondoshwa madarakani na raiawao kwahasira baadayakushambuliwa namajesh yalibya yaliyochokozwa,walishazoea kuuwa wenzao wao wako mbali ila kwahili la libya watakoma,makombora ya gadafi yanatua mpk ulaya.
Acha porojo wewe watu wanayajua hayo hata kabla ya kuanza kupiga, hakuna kombora litakalovuta mediterenian kutoka Libya
http://web.stratfor.com/images/europe/map/Med_Sea_800_110318.jpg

http://www.guardian.co.uk/world/interactive/2011/mar/08/libya-nato-no-fly-zone-interactive-map
 
UAE Fighter jets expected in Sardinia soon.

1905: The ceasefire is the second to be called since the UN approved the implementation of a no-fly zone, but the first was apparently breached within hours.
1901: The ceasefire was being ordered after taking into account the civilian deaths, and the destruction of civilian and military buildings, the Libyan government spokesman told reporters. He said all citizens were urged to participate in a peaceful march from Tripoli to Benghazi

Hapo kwenye nyekundu anataka kusafirishia wanajeshi wake kwenye hayo makundi ya civilians kuelekea Benghaz?
 
Kumpiga Gadafi sio bure, strategy za New World Order hizo. Google "extrme Jesuits oath" uone tunavyopigwa changa la macho. Soma pia Ufunuo 13.

"It is curious to note too that most of that most of the bodies which work these, such as the Ancient and Accepted Scottish Rite, the Rite of Avigon, the Order of the Temple, Fresslor's Rite, the 'Grand Council of the Emperors of the East and West Sovereign Prince Masons', etc., etc., ae nearly all the offsprings of the sons of Ignatius Loyola. The Baron Hundit, Chevalier Ramseyn Tschoudy, Zinnendorf, and numerous otherd, who founded the grades in these rites, worked under instructions from the Geneal of the Jesuits..."

Source: Isis Unveiled, H.P. Blavatsky, (Los Angels, Califonia: The Theosophy Company, 1968; originally published in 1877). P. 390

"The Pope's confessor, an ordinary priest, must be a Jesuit: he must visit the Vatican once a week at a fixed time, and he alone may absolve the Pope of his sins."
Source: The Vatican Empire, Nino Lo Bello, (New York: Trident Presss, 1968) p. 78.

"The Jesuit Order, therefore, stands beforee us as the embodiment of a system which aima at temporal political domination through temporal political means, ambelished by religion, which assigns to the head of the Catholic religion- the Roman Pope- the role of a temporal overlord and under shelter of the Pope- King, and using him as an instrument, desires itself to attain the dominion over the whole world."

Source: Foueteen Years a Jesuit, Count von Hoensbroech, translated by Alice Zimmern, (New York: Cassel and Company, LTD., 1911) Vol. II, p. 4300.

"The truth is, the Jesuits of Rime have perfected Freemasonry to be their most magnificent and effective tool, accomplishing their purpose among Protestant'..."

Source: The Grand Design Exposed, John Daniel, (Middleton, Idaho: CHJ Publishing, 1999), p. 302.

During the Order's Suppression from 1773 to 1814 by Pope Clement XIVn General Ricci created the Illuminati wit his soldier, Asam Weishaupt, the Father of modern Communism, who, with his Jaccobins, conducted the French Revolution. Years later Jesuit General Ledochowski, with his Bolshevisks, conducted the Russian Revolution in 1917, it being identical to the upheval of 1789.

Source: History of the Jesuits: Their Originn Progress, (London: Henry G. Bohn, 1854), p. 356, 357.
 
Back
Top Bottom