Miafrika ya namna hii inatakiwa kuuliwa hadharani.
Hapo penye red naomba umtafsirie kwa kiswahili au kwa kilugha chao aelewe vizuri kwamba jamaa wana baraka zote za UN kwa mashambulizi yote waliyomfanyia Gadafi to date.
mkuu najua nachokisema,marekani anavunga hapigani libya kwa kuogopa fallout itakayofuata.
Ndege za marekani B 52 BOMBER zilishiriki kulipua viwanja vya ndege libya,nuclear assault submarine USS PROVIDENCE,Marine helcopter carrier USS kearsage iko hapo uss ponce and Barry zote ziko hapo zikurusha guided missile tomahawk kupiga target inside libya baadae wanasema we are not envolved now,they are coward punk who enjoy dropping bombs on human instead of fighting like MEN.
China na Russia wana kura ya veto sasa kwa nini hawakuitumia? Na kulikuwa na mataifa mawili au matatu ya kiafrika yaliyopiga kura vile vile.Hivi unajua kama UN ni almost Marekani!!
Marekani ndio anashikilia usukani wa UN.
Hata UN ingekataa huu uvamizi na Marekani wangeendelea kuvamia unafikiri UN ingeipa adhabu Marekani au ingepeleka majeshi kwenda kupambana na Marekani?
Itakumbukwa kuwa hata ule uvamizi wa Iraq, UN haikubariki ule uvamizi na wakaguzi wa UN walikuja na report kuwa Iraq haikuwa na siraha za maangamizi kama Marekani ilivyotumia kama kigezo cha uvamizi.
Lakini UN ilichukua hatua gani?
Nasikitika hata sisi wana wa Afrika hatujijui sisi ni akina nani na Gadafi ni nani. Kweli Gadafi kakaa madarakani kipindi kirefu. Je, ni kweli wananchi wake hawampendi? Hawa waasi kwanini watokee mji mmoja tu Bengazi na sio nchi yote? Gadafi ndio mwana- wa Afrika pekee anayewasumbua "Wamagharibi". Ni Gadafi pekee mwenye kuutetea Umoja wa Waafrika (Watu Weusi) - kumbuka yeye ni Mwaarabu! Bahati mbaya kabisa Gadafi anautetea Uislamu kumbuka sio Al-Kaida - na hili hasa ndio kinamponza ukiachilia mbali utajiri wa mafuta wa Libya. Kwanini - Wamagharibi wasiende Ivory Coast, Yemen, Baharaini, na kwingineko Arabuni - wanakufa wananchi huko. Inamaana Marekani inauchungu sana na waLibya kuliko wa weusi wa Ivory Coast? Je, wanaouwawa na majeshi ya Ushirika wa NATO sio raia wa Libya? Je, Califonia au Texas wangeasi na kutaka kujitenga Obama asingeingia kijeshi huko? Kumbuka: Tunisia, Misri na kwingineko Arabuni ni Uasi wa Umma na ndio maana Wamagharibi hawataki kupeleka jeshi. Uasi wa Libya ni wa kupandikizwa. Gadafi ni chambo tu! Mwana JF - naomba ufungue masikio na macho yote. Usiangaliea masuala haya kwa kengeza au kwa uziwi tafadhali.'it will be a long war against the crusader'
Hapana hapasi kuuwawa bali anaonesha ni jinsi gani asivyopendezwa na viongozi wabovu wanaong'ang'ania madaraka na kudiriki kuuwa raia ili wabaki madarakani. Inaonekana ndugu una mtazamo mfu sana.Miafrika ya namna hii inatakiwa kuuliwa hadharani.
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.
Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.
Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.
Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.
Kura ya Veto ya Mataifa hayo mawili ineweza kuzuia uvamizi?China na Russia wana kura ya veto sasa kwa nini hawakuitumia? Na kulikuwa na mataifa mawili au matatu ya kiafrika yaliyopiga kura vile vile.
China na Russia wana kura ya veto sasa kwa nini hawakuitumia? Na kulikuwa na mataifa mawili au matatu ya kiafrika yaliyopiga kura vile vile.
hivi nani kawaloga WAISLAM? kila kitu udini udini, mbona hatujawasikia mkisema udini pale ndugu zetu WAAFRIKA KULE DARFUR WAKILIUWA NA WAARABU? GADAFFI anaua raia wake hakuna udini, wenye pesa wanasema umeua inatosha sasa tunakustopisha, mnakuja na hoja za udini. hakuna udini hapa, lazima mbadilike ktk kuangalia mambo, muwe na macho. Ni lazima kuona bila kutanguliza dini.
kitu gani cha kwanza ktk familia yako jiulize kabla.
Kwa nini iwe Libya kuna Baharain,Yemen kinachotokea kilekile ww ndo mdini, mtoa mada hajauliza waislam wanakoment vipi kuhusu ishu ya Libya na hakuna aliyekuuliza wewe kuhusu dini katika mada hii, usikurupuke ndugu yangu fikiri kabla ya kunena
China na Russia wana kura ya veto sasa kwa nini hawakuitumia? Na kulikuwa na mataifa mawili au matatu ya kiafrika yaliyopiga kura vile vile.
Huu ni uchunguzi ambao umejitahidi kuufanya kwa kina chako pia. Je unasemaje kuhusu mataifa ya kiarabu kuunga mkono kutolewa kwa gadafi ? Ametetea vipi suala la mtu mwafrika? Hivi punde tuu alitoa wito wa Nigeria kutengana kti ya kusini na kaskazini. Wakati TZ ina vita na UGanda alikuwa msaidizi wa Uganda kwa kutoa ndege na mbinu nyingine za kivita, je Tanzania tulikuwa wazungu kwa kipindi kile na akaamua kuwasaidia waafrika Uganda? Acha mtazamo wa Ki- Benno malisa ndugu yangu.Nasikitika hata sisi wana wa Afrika hatujijui sisi ni akina nani na Gadafi ni nani. Kweli Gadafi kakaa madarakani kipindi kirefu. Je, ni kweli wananchi wake hawampendi? Hawa waasi kwanini watokee mji mmoja tu Bengazi na sio nchi yote? Gadafi ndio mwana- wa Afrika pekee anayewasumbua "Wamagharibi". Ni Gadafi pekee mwenye kuutetea Umoja wa Waafrika (Watu Weusi) - kumbuka yeye ni Mwaarabu! Bahati mbaya kabisa Gadafi anautetea Uislamu kumbuka sio Al-Kaida - na hili hasa ndio kinamponza ukiachilia mbali utajiri wa mafuta wa Libya. Kwanini - Wamagharibi wasiende Ivory Coast, Yemen, Baharaini, na kwingineko Arabuni - wanakufa wananchi huko. Inamaana Marekani inauchungu sana na waLibya kuliko wa weusi wa Ivory Coast? Je, wanaouwawa na majeshi ya Ushirika wa NATO sio raia wa Libya? Je, Califonia au Texas wangeasi na kutaka kujitenga Obama asingeingia kijeshi huko? Kumbuka: Tunisia, Misri na kwingineko Arabuni ni Uasi wa Umma na ndio maana Wamagharibi hawataki kupeleka jeshi. Uasi wa Libya ni wa kupandikizwa. Gadafi ni chambo tu! Mwana JF - naomba ufungue masikio na macho yote. Usiangaliea masuala haya kwa kengeza au kwa uziwi tafadhali.
RA
Kura ya Veto ya Mataifa hayo mawili ineweza kuzuia uvamizi?
China tayari imeshatoa tamko juu ya uvamizi huu na imesema wazi haikubaliani na uvamizi huu laiti kama kura ya Veto ingekuwa na uwezo wa kuzuia uvamizi huu basi ingefanya kazi hapo.
Nimeshasema tangu awali kuwa UN ni America na America ni UN.
kumbuka kabla ya UN kupitisha NO FLY ZONE ilizingatia mambo matatu na mawili yalitimizwa ikiwemoHivi unajua kama UN ni almost Marekani!!
Marekani ndio anashikilia usukani wa UN.
Hata UN ingekataa huu uvamizi na Marekani wangeendelea kuvamia unafikiri UN ingeipa adhabu Marekani au ingepeleka majeshi kwenda kupambana na Marekani?
Itakumbukwa kuwa hata ule uvamizi wa Iraq, UN haikubariki ule uvamizi na wakaguzi wa UN walikuja na report kuwa Iraq haikuwa na siraha za maangamizi kama Marekani ilivyotumia kama kigezo cha uvamizi.
Lakini UN ilichukua hatua gani?