The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Obama is a brown useless chocolate coloured moron,leave libya to sort themselves out .he repeating mistake of eghpty by removing mubaraka he allowed muslimbrothehood to control cairo dat is why hilaly clinton was refused by ntantawi when he wanted egpty to allow their military base to be used by west to attack gadaf and also cairo now recognize hamas
 
busara yazidi elimu kama huwezi kuanzisha hoja na kuitetea uache. huwezi kujenga hoja wala kuitetea huwezi kushangilia raia waliokua wanaishi maisha ya raha na starehe kuuwawa eti sababu wakoloni wakachukue mafuta nakuiendeleza dini yao ya kishetani, usishangilie kwa kuwakule libya watu wanaokufa ni waimani fulani. wakoloni wanaichukia sana imani hiyo kwa kuwa haitawaliki. anayoilinda imani hiyo siyo gaddafi ni mungu mwenyewe kwa kifupi mshindi ni yule ambaye yupo upande wa mungu hebu fuatilia kauli waliyoitoa wamasonia kuhusu vita ya libya ndio ujue tunapoelekea.
 
HII HATARI KUBWA KWELI HUYU NI KANALI WA LIBYA ILA NAHURUMIA WANANCHI WAKE NA WAGENI WALIOPO LIBYA:hatari::hatari:
 
nI JUMUIYA YA KIARABU NDIYO ILIYOPELEKA RASIMU YA NO FLY ZONE UN,sasa wafaransa na washirika wake wanasaidia kutekeleza azimio lililopitishwa.

wewe ndio usi-twist ukweli,jumuia ya kiarabu warikubari tu kwa NO FLY ZONE na wamesisitiza hilo jana/leo
 
Like my signature,"mwisho wa ubaya siku zote ni aibu ila kikongwe hafi kitoto"ghadafi kutoka atatoka ila tujiulize mpaka atoke atakuwa ashaua wangapi?maana nijuavyo mimi mbuyu hung'oka na mizizi.
 
I saw in newsweek few weeks ago you can google that,libya spent less on their military than denmark it has only 50000 troops half of them defected to benghaz so if the bombing continour the have no choise but to melt into civilian and launch guerilla war that is what west are afraid off cause they will have to put troops ön the ground then the real game will began by the end usa and company will run away crying..ooh I RAN FROM IRAN like they did in irag
 
...na nichajua mimi Libya wanajeshi kali sana.
Tayari nimesikia ndege kadhaa za maerkani zimeshatunguliwa, hii vita itawawia vigumu sana Marekani tena kuliko ile ya Somalia miaka ile ya tisini.
 
Kwanza unatakiwa uelewe kuwa Gadafi ni mmoja wa viongozi amabao hakubaliani na matakwa ya America na washirika wake, na hilo Gadafi huliweka wazi kabisa.
Utakumbuka ule uvamizi wa Iraq, America walizua visingizio vingi matokeo yake wakatengeneza njia za kusafirisha mafuta kutoka Iraq kwenda Kuweit then America. Hatimaye lengo lao likatimia.
Wanachotaka America sio kununua mafuta ya Libya bali ni kupora mafuta ya Libya, nielewe.
Mkuu hiyo ya kusema mafuta ya iraq yanapitia kuwait ni uongo, kusini mafuta yanapitia kwenye bandari ya basra na kaskazini yanapitia kirkuk through uturuki. Ungesema ufaransa na italy ndio wanataka kupora mafuta ya libya ningekuelewa.
 
...na nichajua mimi Libya wanajeshi kali sana.
Tayari nimesikia ndege kadhaa za maerkani zimeshatunguliwa, hii vita itawawia vigumu sana Marekani tena kuliko ile ya Somalia miaka ile ya tisini.

Mkuu marekani haijapeleka ndege libya, nchi zilizopeleka ndege ni france, italy, denmark, uk qatar na uae.
 
mzima kweli hujanisoma.Kuna watu wanahalalisha uhalifu wa Gadaff just bcs Somalia and Ivory coast,hapo ni sawa na kusema wanainchi wasimseme vibaya Chenge vijisenti kwa sababu kuna mafisadi wengine ccm

baby ungekuwa mwalimu ungekuwa unafaulisha sana. sasa nimekusoma.

hata mi siwaelewi hawa watu. yaani ni halali qaddafi kuuwa mende wa libya, lakini ni haramu kumshikisha adabu ili awache kuuwa mende wa nchi yake?

halafu hawa watu wanaosema libya ni afrika wananiuzi! wangejua walibya, wamisri, wa-aljeria na wamorocco wanavyodharau ngozi nyeusi wasingethubutu kupost crap za kuilaumu AU. wanajifanya hawaoni hata sudani namna ngozi nyeusi inavyoteswa na tuarabu twa khartoum.
 
wewe ndio usi-twist ukweli,jumuia ya kiarabu warikubari tu kwa NO FLY ZONE na wamesisitiza hilo jana/leo

Umesoma provisions za kwenye hiyo resolution au unalalama tu? Hawa jamaa wamekubali kupitisha resolution bila kusoma kilichomo inanikumbusha viongozi wetu wanapitisha mikataba bila kusoma fine prints.
 
Kama wananchi wake waliandamana hawamtaki akaanza kutumia mercenaries kuwasaka nyumba kwa nyumba aliowaita "maadui",akaona haifai, akaleta jeshi baada ya kuona anaendelea kupingwa..,ifike mahala hata kama West wanasaidia pale wanamaslahi lakini manguvu yaliyopitiliza kisa watu hawakupendi siyo ya kufumbia macho..hakukuwa na haja ya kuwalipuia raia wake..,

Kama kweli ni mwanamapinduzi angewaita wakakaa chini wakaona wapi kuna tatizo...Tukubali Tukatae hata ukifanya nini miaka 40 madarakani kuna mahala umevurunda sana sema tu watu walikuwa wanakutafutia timing...na Khaddaffi hapendi kupingwa ni wangapi amewaua na wangapi wako exile ya kisiasa kisa kuwa na maoni tofauti...!
 
hata mi siwaelewi hawa watu. yaani ni halali qaddafi kuuwa mende wa libya, lakini ni haramu kumshikisha adabu ili awache kuuwa mende wa nchi yake?
Hapa ishu sio kumuacha Gadafi uwe raia wake, ishu ni kwamba kwa nini kule Ivory cost raia wanauliwa na majeshi ya Gagbo na hawa UN hawafanyi kama libya?
 
All of a sudden the US is a great humantalian country that care about the citizen of libya .WHAT A JOKE?
Waarabu sasa wamemgeuka obama wanaöna anawageuka ndo maana misri juzi wamekataa kutumiwa na jana waziri wa mambo ya nje wa russia alikua cairo wakalonga na general ntantawi kisha akaenda algeria hapa inatafutwa mbinu ya kuwanasisha marekani libya na silaha za guerila zitaingia kupitia egpty na algeria haijalishi gadaf awe amekufa lakini vita hapa vitapigwana miaka hata kumi na mwisho marekani haibi hata galöni moja na itabidi wakinbie wenyewe kama ilivotokea hapo irag,kisha russia,china wanakamata tenda kiulaini rejea matamshi ya russia jana utajua mchezo ndo unawiva sasa
 
Obama is a brown useless chocolate coloured moron,leave libya to sort themselves out .he repeating mistake of eghpty by removing mubaraka he allowed muslimbrothehood to control cairo dat is why hilaly clinton was refused by ntantawi when he wanted egpty to allow their military base to be used by west to attack gadaf and also cairo now recognize hamas
Hehehe mkuu hii umeitoa kwenye forums za pro gaddafi? Command ya hii operation iko Naples Italy, base nyingine zinazotumika ni Sardinia na Sicily tornadoesbna typhoon za uingereza zinaruka kutoka marham raf base.
 
Umesoma provisions za kwenye hiyo resolution au unalalama tu? Hawa jamaa wamekubali kupitisha resolution bila kusoma kilichomo inanikumbusha viongozi wetu wanapitisha mikataba bila kusoma fine prints.

tuwekee hiyo the said "resolution" tuone
 
Back
Top Bottom