Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Yule bwana alokua akijifanya chizi kwa kuua watu wake kila kukicha, amepata akili baada ya kuchezea kichapo kutoka France, US na UK. BBC wameonyesha live viongozi wa jeshi wakitoa amri kwa vikosi vyote kusitisha mashambulizi ya aina zote kwa hao waliokua wanawaita 'rebels' wametoa amri kwamba badala ya kushambulia watu wahakikishe watu wote wako salama, hakuna ruhusa kushambulia mtu yeyote...Hongera Obama and the co, kumbe huyu bwana akili anayo ule uchizi ulikua wa kujifanyisha
atakuwa amepokea simu kutoka kwa Saddam Hussein. Aendelee kuuwa 'mende' atakiona chamtemakuni.
Watu wana silaha zao mpyaa wanatafuta pa kuzi-testia.
