mataifa ya kiarabu yaliomba UN ipitishe hilo azimio hapo unasema je ?
well and good ila hapa ni kuzuia au kupunguza sana mauaji ya civillians ndilo tunaloliombea.All ina all Libya sio Taifa lelemama kama wengi wanavyodhani na Gadafi ameshatamka wazi kuwa ni lazma atalipa kisasi kwa mashambulizi ambayo tayari ameshafanyiwa.
America na washirika wake watapata upinzani mkubwa kuliko wanavyotegemea.
Kabisa mkuu. Nashangaa watu wanalalamika ovyo tuu. Kwani AU imeomba security Council i-authorise military action Ivory Coast, ikakataliwa?
kasome btn tha lines Libya upraising uone nani aliyekuwa akilaumiwa na Gadaff mwanzoni kama sio Al-Qaeda.alitaka kucheza na akili za wamarekani wakamshtukia mapema.Si kweli, Shujaa Ghadafi hata siku moja hawezi jishusha namna hii. Hii letter imepikwa kumdhalilisha Ghadafi.
Najua westerners watamshinda Gadafi, lakini Libya itamkumbuka sana. Wakati walibya wanajenga nchi yao upya...westerers wanachota mafuta ya bure Libya kama vile hayana mwenyewe.
Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?Kitendo walichofanya US France na UK kimedhihirisha jinsi mataifa ya magharibi walivyo na uchu na rasilimali za africa. Kama usipowapa watatumia ujanja wowote kukuondoa madarakani. Wamemfanyia Ghadafi fitna siku nyingi sasa wamepata sababu na wataiharibu Libya ili wapate kisingizio cha kuingia pale.
Kwa wale mnaoshabikia Gadafi kupigwa sio sahihi kabisa. HYakuna nchi yoyote inaweza kuruhusu raia wabebe silaha kwa lengo la kupindua seikali hata kama ameoverstay kuna njia mbadala.
Mkuu libya sio uarabuni na Gadafi siku zote huwa anajitambulisha kama Mwafrika zaidi kuliko mwarabu na ndio maana waarabu hawana uchungu nao. Nashangaa mnaoshabikia democrasia za magharibi ambazo hazijaonyesha mafganikio yoyote kwenye nchi za kiafrika. Bora hata Gadafi aliyeoverstay na akaleta maendeleo Libya. Hakuna kosa kubwa kiasi hicho alilofanya kuhalalisha kumpiga mabomu.
AU walikaa kimya ila South Africa,Nigeria and Gabon walitoa picha ya AU otherwise wangekataa au wawe wanafiki kwa kutoka njee kama akina Russia.
"Comoros' top military official said last month Tanzania,Sudan and Senegal were expected to provide a total of 750 troops, while Libya has offered logistical support for the operation"inaelekea umesahau hii namna tulivyoingilia mambo ya ndani ya nchi ingine
Kama unajua africa kanyaboya ya nini kupata mtizamo wao?Wajumbe wa kiafrika wanaotumwa kwenye majadiliano hawako makini wanasinzia ikifika wakati wa kupiga kura wanakurupuka bila kutafakari madhara ya kura yake ya ndio au hapana.
South Africa, Nigeria na Gabon walisupot kama wawakilishi wa AU ama kama wao wenyewe?
Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?
two wrongs will never make one right,Chenge fisadi tusimshughulikie kwa kuwa naye Rostam ni fisadi??????????????Ninachosema ni kwamba njia wanayotumia sio sahihi, ni hila yao ya kupata nafasi ya kuingiza makampuni yao ya mafuta kwa mikataba wanayoitaka wao. Kama wana uchungu mbona wasiingie Somalia ambako serikali halali ya raia inasumbuliwa na alshabaab na wanaua watu kishenzi?HTML:Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?
Gaddafi is an Arab by race but a truely African na sio kibaraka, mataifa ya magharibi yanalipiza kisasi cha mwaka 1988, lets go back to history kabla ya ku comment kishabiki zaidi
mie nnauliza kwa nn jambo la libya waulizwe zaidi waarabu kuliko waafrika kwenye ridhaa ya kufanya mashambulizi wakati libya iko afrika ?
Kaleta maendeleo yapi Libya? Ulishafika Libya ukajionea hayo maendeleo? Kwa vile democrasia za magharibi hazijaonyesha mafanikio yoyote kwenye nchi za kiafrika, basi tudekeze udikteta Africa? Gaddafi ni mwarabu hata kama anasema yeye ni Mwafrika. Ndio maana hata Libya ni member wa Arab League. Mtu miaka 40 madarakani lakini hatosheki?
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.
Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.
Libya iko africa lakini ni nchi ya kiarabu. Pia ni mwanachama wa Arab league. Arab league ilikuwa active kuaddress hii issue. Waafrika kama kawaida tulikuwa tumelala au tunalindana. Tumemekuja kukurupuka baada ya maamuzi kufanyika. Tunajifanya tunaweza kutatua migogoro yetu wenyewe lakini in reality hatuwezi. Angalia huko Ivory Coast.