The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

mataifa ya kiarabu yaliomba UN ipitishe hilo azimio hapo unasema je ?

Kabisa mkuu. Nashangaa watu wanalalamika ovyo tuu. Kwani AU imeomba security Council i-authorise military action Ivory Coast, ikakataliwa?
 
Kitendo walichofanya US France na UK kimedhihirisha jinsi mataifa ya magharibi walivyo na uchu na rasilimali za africa. Kama usipowapa watatumia ujanja wowote kukuondoa madarakani. Wamemfanyia Ghadafi fitna siku nyingi sasa wamepata sababu na wataiharibu Libya ili wapate kisingizio cha kuingia pale.

Kwa wale mnaoshabikia Gadafi kupigwa sio sahihi kabisa. HYakuna nchi yoyote inaweza kuruhusu raia wabebe silaha kwa lengo la kupindua seikali hata kama ameoverstay kuna njia mbadala.
 
All ina all Libya sio Taifa lelemama kama wengi wanavyodhani na Gadafi ameshatamka wazi kuwa ni lazma atalipa kisasi kwa mashambulizi ambayo tayari ameshafanyiwa.
America na washirika wake watapata upinzani mkubwa kuliko wanavyotegemea.
 
well and good ila hapa ni kuzuia au kupunguza sana mauaji ya civillians ndilo tunaloliombea.
 
Kabisa mkuu. Nashangaa watu wanalalamika ovyo tuu. Kwani AU imeomba security Council i-authorise military action Ivory Coast, ikakataliwa?

Mkuu libya sio uarabuni na Gadafi siku zote huwa anajitambulisha kama Mwafrika zaidi kuliko mwarabu na ndio maana waarabu hawana uchungu nao. Nashangaa mnaoshabikia democrasia za magharibi ambazo hazijaonyesha mafganikio yoyote kwenye nchi za kiafrika. Bora hata Gadafi aliyeoverstay na akaleta maendeleo Libya. Hakuna kosa kubwa kiasi hicho alilofanya kuhalalisha kumpiga mabomu.
 
Si kweli, Shujaa Ghadafi hata siku moja hawezi jishusha namna hii. Hii letter imepikwa kumdhalilisha Ghadafi.

Najua westerners watamshinda Gadafi, lakini Libya itamkumbuka sana. Wakati walibya wanajenga nchi yao upya...westerers wanachota mafuta ya bure Libya kama vile hayana mwenyewe.
kasome btn tha lines Libya upraising uone nani aliyekuwa akilaumiwa na Gadaff mwanzoni kama sio Al-Qaeda.alitaka kucheza na akili za wamarekani wakamshtukia mapema.
 
Mchina na mrusi haawezi kutumia veto na wangepinga kwa veto kusingetokea haya,wao wanataka marekani azidi kujichomeka kwenye mkenge,they want him to SPEND BLOOD AND MONEY so the situation milk him dry kumbka kwa mwarabu vita ni kama hobby ,hata kama gadaf watamuua haijalishi watasweat usipime.libya haina jeshi la kuhimili msukosuko wa sasa ila mataifa mengine kama russia,china na iran yakianza kupull string ndo utajua nilichokunikiongea obama analijua hilo ndo maana anajaribu kujikosha ooh we are not about regime change,bullshit ukweli hawamtaki gadaf juu ya lockebie pia wanataka oil
 
Kitendo walichofanya US France na UK kimedhihirisha jinsi mataifa ya magharibi walivyo na uchu na rasilimali za africa. Kama usipowapa watatumia ujanja wowote kukuondoa madarakani. Wamemfanyia Ghadafi fitna siku nyingi sasa wamepata sababu na wataiharibu Libya ili wapate kisingizio cha kuingia pale.

Kwa wale mnaoshabikia Gadafi kupigwa sio sahihi kabisa. HYakuna nchi yoyote inaweza kuruhusu raia wabebe silaha kwa lengo la kupindua seikali hata kama ameoverstay kuna njia mbadala.
Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?

Mkuu libya sio uarabuni na Gadafi siku zote huwa anajitambulisha kama Mwafrika zaidi kuliko mwarabu na ndio maana waarabu hawana uchungu nao. Nashangaa mnaoshabikia democrasia za magharibi ambazo hazijaonyesha mafganikio yoyote kwenye nchi za kiafrika. Bora hata Gadafi aliyeoverstay na akaleta maendeleo Libya. Hakuna kosa kubwa kiasi hicho alilofanya kuhalalisha kumpiga mabomu.

Kaleta maendeleo yapi Libya? Ulishafika Libya ukajionea hayo maendeleo? Kwa vile democrasia za magharibi hazijaonyesha mafanikio yoyote kwenye nchi za kiafrika, basi tudekeze udikteta Africa? Gaddafi ni mwarabu hata kama anasema yeye ni Mwafrika. Ndio maana hata Libya ni member wa Arab League. Mtu miaka 40 madarakani lakini hatosheki?
 
AU walikaa kimya ila South Africa,Nigeria and Gabon walitoa picha ya AU otherwise wangekataa au wawe wanafiki kwa kutoka njee kama akina Russia.

"Comoros' top military official said last month Tanzania,Sudan and Senegal were expected to provide a total of 750 troops, while Libya has offered logistical support for the operation"inaelekea umesahau hii namna tulivyoingilia mambo ya ndani ya nchi ingine

Wajumbe wa kiafrika wanaotumwa kwenye majadiliano hawako makini wanasinzia ikifika wakati wa kupiga kura wanakurupuka bila kutafakari madhara ya kura yake ya ndio au hapana.

South Africa, Nigeria na Gabon walisupot kama wawakilishi wa AU ama kama wao wenyewe?
 
Kama unajua africa kanyaboya ya nini kupata mtizamo wao?
South Africa,Nigeria,Gabaon no member wanaoiwakilisha africa na sii nchi zao.
Libya naye alitoa logistic support jeshi letu lilipoingia commoro kwa hiyo naye anaingilia mambo ya ndani ya nchi zingine so far confirmed
 
HTML:
Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?
Ninachosema ni kwamba njia wanayotumia sio sahihi, ni hila yao ya kupata nafasi ya kuingiza makampuni yao ya mafuta kwa mikataba wanayoitaka wao. Kama wana uchungu mbona wasiingie Somalia ambako serikali halali ya raia inasumbuliwa na alshabaab na wanaua watu kishenzi?
 
Wote tunajua kuna Watanzania wengi tuu wamefaidika na misaada ya Gaddafi na watafanya lolote kumtetea dikiteta Gadaffi hata kama ataua walibya wote. Wabongo tunajijua kwa unafiki hasa linapokuja suala la maslahi.
 
HTML:
Tanzania tulienda kunywa maji ya madafu huko Commoro?umesahau tuliingiza jeshi nchi za watu huko sio kuingilia mambo ya nchi ingine?
Ninachosema ni kwamba njia wanayotumia sio sahihi, ni hila yao ya kupata nafasi ya kuingiza makampuni yao ya mafuta kwa mikataba wanayoitaka wao. Kama wana uchungu mbona wasiingie Somalia ambako serikali halali ya raia inasumbuliwa na alshabaab na wanaua watu kishenzi?
two wrongs will never make one right,Chenge fisadi tusimshughulikie kwa kuwa naye Rostam ni fisadi??????????????
 
mie nnauliza kwa nn jambo la libya waulizwe zaidi waarabu kuliko waafrika kwenye ridhaa ya kufanya mashambulizi wakati libya iko afrika ?
 
Gaddafi is an Arab by race but a truely African na sio kibaraka, mataifa ya magharibi yanalipiza kisasi cha mwaka 1988, lets go back to history kabla ya ku comment kishabiki zaidi

Whether or not is true african or sio kibaraka wa mataifa ya mangharibi, does not entitle him to kill his own people. Au labda that is how true africans are. killing their own people in order to stay in power.
 
mie nnauliza kwa nn jambo la libya waulizwe zaidi waarabu kuliko waafrika kwenye ridhaa ya kufanya mashambulizi wakati libya iko afrika ?

Libya iko africa lakini ni nchi ya kiarabu. Pia ni mwanachama wa Arab league. Arab league ilikuwa active kuaddress hii issue. Waafrika kama kawaida tulikuwa tumelala au tunalindana. Tumemekuja kukurupuka baada ya maamuzi kufanyika. Tunajifanya tunaweza kutatua migogoro yetu wenyewe lakini in reality hatuwezi. Angalia huko Ivory Coast.
 
Kaleta maendeleo yapi Libya? Ulishafika Libya ukajionea hayo maendeleo? Kwa vile democrasia za magharibi hazijaonyesha mafanikio yoyote kwenye nchi za kiafrika, basi tudekeze udikteta Africa? Gaddafi ni mwarabu hata kama anasema yeye ni Mwafrika. Ndio maana hata Libya ni member wa Arab League. Mtu miaka 40 madarakani lakini hatosheki?

Huwezi kulinganisha hali ya maisha ya Walibya na ya waafrika wengine hata wale wenye rasilimali nyingi kama Nigeria. Impact ya utajiri wa mafuta inaonekana kwenye huduma za jamii kwa mipango ya huyo mnaemwita dicteta. Tanzania pamoja na kuwa na madini mengi, mbuga za wanyama, bahari maziwa, hatujaweza kutumia pato hilo kuboresha huduma za kijamii, kutokana na mikataba mibovu inayowanufaisha wazungu na viongozi wachache.

Ni kweli miaka 40 is too much, lakini walibya wenyewe walitakiwa waandamane bila silaha kumlazimisha kuanza mchakato wa kuchagua viongozi wao.
 
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.

Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.

Kama watu wanadanganywa na media je? wewe unasadikishwa na nini?? Na labda tuambie hivi kweli kwa akili yako yaliyotokea huko Tunisia Misri na sasa hivi baadhi ya nchi za kiarabu nayo ni mipango ya Crusaders? AU na wewe ni wale wale ambao waliposikia kuwa Alli Bashir anatafutwa kwa uhalifu wa makosa ya kivita kama akina Charles Taylor wakaandamana kuwa eti hiyo ni vita dhidi ya uislamu?
 
Libya iko africa lakini ni nchi ya kiarabu. Pia ni mwanachama wa Arab league. Arab league ilikuwa active kuaddress hii issue. Waafrika kama kawaida tulikuwa tumelala au tunalindana. Tumemekuja kukurupuka baada ya maamuzi kufanyika. Tunajifanya tunaweza kutatua migogoro yetu wenyewe lakini in reality hatuwezi. Angalia huko Ivory Coast.

Kinachotuponza Africa ni nidhamu yetu ya uoga na hii inatokana kuwa na viongozi wengi vibaraka wa mataifa ya magharibi.
hatuna sauti hata kwa mambo yetu ya ndani ya msingi.
 
Back
Top Bottom