Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.
Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.
Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.
Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.
Huwezi kulinganisha hali ya maisha ya Walibya na ya waafrika wengine hata wale wenye rasilimali nyingi kama Nigeria. Impact ya utajiri wa mafuta inaonekana kwenye huduma za jamii kwa mipango ya huyo mnaemwita dicteta. Tanzania pamoja na kuwa na madini mengi, mbuga za wanyama, bahari maziwa, hatujaweza kutumia pato hilo kuboresha huduma za kijamii, kutokana na mikataba mibovu inayowanufaisha wazungu na viongozi wachache.
Ni kweli miaka 40 is too much, lakini walibya wenyewe walitakiwa waandamane bila silaha kumlazimisha kuanza mchakato wa kuchagua viongozi wao.
Mkuu libya sio uarabuni na Gadafi siku zote huwa anajitambulisha kama Mwafrika zaidi kuliko mwarabu na ndio maana waarabu hawana uchungu nao. Nashangaa mnaoshabikia democrasia za magharibi ambazo hazijaonyesha mafganikio yoyote kwenye nchi za kiafrika. Bora hata Gadafi aliyeoverstay na akaleta maendeleo Libya. Hakuna kosa kubwa kiasi hicho alilofanya kuhalalisha kumpiga mabomu.
All ina all Libya sio Taifa lelemama kama wengi wanavyodhani na Gadafi ameshatamka wazi kuwa ni lazma atalipa kisasi kwa mashambulizi ambayo tayari ameshafanyiwa.
America na washirika wake watapata upinzani mkubwa kuliko wanavyotegemea.
Kama ametulia ni strategy tu - hashindwi kiurahisi Gadafi.
Asante Chimunguru, watu hawamjui Ghadafi, inaonekana hata hawasomi kinachoendelea Libya, hata Arab League, achilia mbali kina UK, US na France wamemchoka, Qatar nao wamo katika coalition force. . .we nani unaejifanya unathamini huo unaouita UAFRICA, watu kama nyie msiofikiri huwa mnakwenda tu kwa kudra za Mungu, huwa mnapelekewa pelekwa na udini, ukabila, u-mkoa, utaifa, uafrika nk, mtu anachinja watu kama kuku nyie mnasema uAFRIKA?
.
anyways, Nashukuru kuna watu wanaona beyond hapo, wamemchapa na usiku wa leo wamesongea hadi compound yake wakamnyuka! Yes lazima apate akili, bado Mugabe, Museveni, Gagbo nk
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right
Inaonekana humjui gaddafi wewe.

hata kama rais anageuka chizi jaman aachiwe kuuwa?nani kiongozi wa israel anayewachinja waisrael kama afanyavyo Gadaff kwa raia wake?