The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Nakubali kuwa huezi kuwa na non flying zone before eliminating the target airdefence this means bombing .amri musa aliingia kichwakicha on behalf of arab league sasa jana wakamsimanga iweje amewasemea ndo kisa cha yeye kupiga about turn na kurudi kulaani non flying zone huyu jamaa hakujua jamaa wanamaana gani .ukiangalia bodylaunguage wakati sakoz akimkaribisha amri musa ndani ya kikao ,too much handshaking while he look directly at the camera it was for camera no frindness envolved
 
Muafrika na muanzilishi wa AU anashambuliwa na raia zake wanauliwa na waAfrika wengine wanachekelea na kuona raha.

Wanadanganywa na "media" kabla ya mashambulizi kuwa Ghaddafi anaua raia zake, na mijuha mingi inakubali.

Wamesahau "crusade" aliyoitangaza Bush! Na wamesahau wamerekani walivyozuwa na kudanganya kuwa Iraq kuna silaha za maangamizi.

Waliosahau na wanaofurahia wanajulikana ni kwa nini wamesahau na ni kwanini wanfurahia haya yanayojiri.
Wakumbuke nguvu ya "crusade" haikushinda miaka na vikaka, itashinda sasa. Kumuuwa Saddam au Ghaddafi si ushindi ni ushindwa. Kwa mwenye kuelewa ataelewa na punguwani atabaki kuwa punguwani.

We dini gani? Bila Shaka ni muislamu, waislam wana matatizo sana... kila saa wanadhani wanaonewa!
 
Martyna na wengine, nafurahia sana point zenu.

Kuna kundi la Waislaam wanakuwa kama vipofu vile na kusahau kuwa hata hao Waasi ni wa-Libya, Waafrica na Waislaam kama wao.

Ghadafi alikuwa ni HERO wangu kwa miaka mingi sana. Pamoja na kumsaidia Idd Amin kwenye vita yetu na Uganda, bado nilikuwa mfuasi wake mkubwa na kum-admire huyu jamaa. Baadaye walikuja kumaliza tofauti zake na Nyerere na akatuletea hadi mafuta mengi tu na misaada mingine baada ya vita maana tulikuwa nyanga nyanga ki-uchumi.

Tatizo la hivi vibwana mdogo vilivyobarehe juzi na havifahamu hiyo historia na vimelishwa udini, vinamshabikia Ghaddaf bila kuangalia kushoto au kulia. Wao wakisikia tu USA kashambulia, basi hata kama anayeshambulia ni Israel, wataanza kulaani. Ovyo kabisa mijitu ya hivi.

Angalia kesi kama ya Yemen. Huko jeshi halijaanza kuuwa raia bali POLISI. Inakuwa ngumu sana kuvamia wakati ni POLISI wako kazini kama ilivyokuwa Arusha. Karibu nchi zote za Kiarabu kwa sasa ni kuwa wanapelekwa POLISI. Kama wangelipelekwa Jeshi kuanza kuuwa raia, nina imani keshi ingelibadilika kabisa.

Juzi nimesikia Mwaarabu mmoja wa Bahrain akijitetea kuwa wao hawajapeleka jeshi hata siku moja ila ni Polisi tu. Hata wao wanafahamu kuwa likienda Jeshi, watakuwa wamekaribisha kibano cha akina F-16 na Tomahawk.

Wakati Ghaddaf kashambuliwa na binti yake kuuawa, nilikuwa ni mmoja ya watu waliolaani kwa sababu nilikuwa nafahamu mpango wake wa kilimo cha kumwagilia maji na kuwa amejenga bwawa la maji na si jengo la kuficha silaha zake. Ni sawa na US waliposema Iraq kuna silaha za WMD, nilijua ni uongo mwingine. Yaani USA utajua tu lini wanadanganya.

Hili swala, Obama analiogopa sana hasa ukichukulia kuna uchaguzi soon. Sidhani kama wataenda ardhini kumtoa Ghaddaf maana wakishuka chini ina maana tayari wameanzisha vita nyingine. Wataendelea kumfunza adabu wakiwa mbali ili jamaa amkumbuke Mungu tena.

Swala la Somalia ni gumu sana maana huko hata Serikali huna sasa utaenda kumpiga nani?

Ivory-Coast ndiyo hao akina Kikwete wameenda na kuboronga. Wao kila kitu ni NO na huwezi ukashangaa maana wao wenyewe siyo wasafi. Mizee iliyokalia madaraka miaka kibao hadi imefanya Urais ni kama WAJBU wao hadi wanakufa.

Siyo mpenzi wa kutumia NGUVU ila Ghaddaf alizidi mtu wangu. Wewe unasema umesimamisha vita na asubihi asubuhi unavamia mji wa Bengazi kwa kipigo cha mbwa? Hakukuwa na haja kabisa kushambulia Raia wake wasio na silaha pale Green Square kwa madege ya kijeshi.

Alilikoroga, sasa ngoja alinywe. Hii kweli itamfanya/imemfanya awe Binadamu hatimaye. Haya mabavu kila sehemu wakati mwingine hayasaidii. Na watu wanaoona Ghaddaf anaonewa, inabidi wawe wanafikiria zaidi ya umbali wa pua zao. Wadini wanaoona kuwa Ghaddaf anaonewa, kwa kweli NO COMMENT na inabidi hao kuwahurumia tu.
 
Hawa ndio wanaoitwa wananchi waandamanaji.
_51751161_011568446-1.jpg
 
Huwezi kulinganisha hali ya maisha ya Walibya na ya waafrika wengine hata wale wenye rasilimali nyingi kama Nigeria. Impact ya utajiri wa mafuta inaonekana kwenye huduma za jamii kwa mipango ya huyo mnaemwita dicteta. Tanzania pamoja na kuwa na madini mengi, mbuga za wanyama, bahari maziwa, hatujaweza kutumia pato hilo kuboresha huduma za kijamii, kutokana na mikataba mibovu inayowanufaisha wazungu na viongozi wachache.

Ni kweli miaka 40 is too much, lakini walibya wenyewe walitakiwa waandamane bila silaha kumlazimisha kuanza mchakato wa kuchagua viongozi wao.

Mkuu inaonekana dunia imekuacha nyuma kidogo. Huduma zipi za maendeleo? Kwa nini then waliandamana in the first place kama huduma ziko fresh? Hata kama huduma ziko fresh, still walikuwa na haki ya kuandamana. Basically, walibya wanatak freedom. That is what they were asking for. Huwezi ukanipa maendelea halafu univyime uhuru wangu. hapo hatutaelewana. Kama ulikuwa unafuatilia, mwanzoni kabisa walibya waliandamana kwa amani kama walivyofanya watunisia na wamisri. Ila baada ya gaddafi kuona marais wa tunisia na misri wameachia ngazi kwa kuruhusu maandamano, then akaanza kutrack them down kwa risasi. Kama gaddafi angeruhusu maandamo huru kama misri yasingetokea haya tunayoyaona. Walibya waliandamana bila silaha kumlazimisha kuanza mchakato wa kuchagua viongozi wao lakini gaddafi alisema mwanzoni kabisa kuwa yaliyotokea tunisia na misri hayatakaa yatokee libya. Mkuu google kidogo upate ufahamu jinsi hayo mambo yalivyoanza. Wengine mnasahau kabisa kuwa huyu ndie aliyemsadia Idd amin kutupiga ambapo imetuaffect mpaka sasa. Halafu leo mnamfagilia.
 
Mkuu libya sio uarabuni na Gadafi siku zote huwa anajitambulisha kama Mwafrika zaidi kuliko mwarabu na ndio maana waarabu hawana uchungu nao. Nashangaa mnaoshabikia democrasia za magharibi ambazo hazijaonyesha mafganikio yoyote kwenye nchi za kiafrika. Bora hata Gadafi aliyeoverstay na akaleta maendeleo Libya. Hakuna kosa kubwa kiasi hicho alilofanya kuhalalisha kumpiga mabomu.

Hapo kwenye bluu, labda kama umemjua Gadafi juzi.
Kwa taarifa yako nchi zote za waarabu zilizo Afrika, huwa wanajitambua zaidi kama waarabu na si waafrica (japo wapo barani africa). Mambo yakiwaharibikia na wanapotafuta support ya other Africans ndio wanaanza kujiita Africans. Soma historia ya huko nyuma jinsi alivyo jaribu ku-champion arab nationalism ndio utamjua vizuri. Siku zote alikuwa anataka waarabu waungane. Alipopigwa chini ndio akaja na kimbelembele cha kujifanya mwafrika na kubadilisha OAU kuwa AU huku akitoa misaada kibao kwa nchi zetu zilizochoka kiuchumi ili aungwe mkono.

Mimi sikatai kuwa si kiongozi mzuri kwa wananchi wake. Ni kiongozi imara kwa watu wake na amewafanyia mambo mengi mazuri. Lakini pia ana ubaya wake. Kuua ameisha ua sana and he has overstayed.

Watu wanashabikia hii vita na upofu fulani. Wengine ni kwa sababu hawapendi alivyokaa muda mrefu na kuua raia. Wengine wanamtetea kwa kwa sababu wanajiona ni kama "ndugu" yao mwarabu wako (watanzania wanaona ujiko kujihusisha na uarabu) na wengine hata wanamtetea kwa sababu wanafikiri ni muislam na yale mataifa ya magharibi ni "crusaders".

Nafikiri ni vizuri kuiangalia vita hii objectively
Kwa mtazamo wangu hii vita sio vita ya kimaslahi- maana kama mafuta, makampuni ya magharibi yalisharuhusiwa kuchimba na biashara ilikuwa inaendelea. Mimi nafikiri ni vita ya visasi (kwa kutumia mgongo wa kulinda raia). Wazungu huwa hawasamehi, wanapenda kusamehewa wao tu. Nafikiri Gadafi kachemsha kwa kuua raia na jamaa wamepata sababu ya kulipiza alivyowahi kuwashughulikia huko nyuma.

Utakumbuka Gadafi alipo mpindua King Idris alifukuza makampuni ya mafuta ya nchi za magharibi. Baadaye alileta chokochoko miaka ya 80 kutaka wasijipitishe pitishe mediteranian. Wakati huo alikuwa hata anawa-support akina Carlos the Jackal na magaidi wengine. Akatuma majasusi wake walipue club moja kule ujerumani ambayo ilikuwa inatembelewa sana na american marines, wamarekani walipokufa pale, Regan akamtwanga mwaka 1986 na kuweka vikwazo. Yeye akalipiza kisasi kwa kutungua ndege (Lockebie bombing) na wao wakaendelea na vikwazo mpaka alipoamua kum-surrender yule jasusi aliyehusika).

Kwa mataifa ya Magharibi, Gadafi si mtu wa kumwamini ukizangatia historia yake, kwa hiyo kuna kila justification (on their part) ya kumwondoa madarakani (huku kichini chini wakilipiza kisasi) kwa kisingizio halali cha kulinda raia wa Libya na kuleta demokrasia.
 
All ina all Libya sio Taifa lelemama kama wengi wanavyodhani na Gadafi ameshatamka wazi kuwa ni lazma atalipa kisasi kwa mashambulizi ambayo tayari ameshafanyiwa.
America na washirika wake watapata upinzani mkubwa kuliko wanavyotegemea.

Kazi itakuwa kuyathibitisha maneno yako kwa vitendo..vinginevyo nabaki kuamini Gadafi ni muoga wa kifo kuliko Sadam
 
Kama ametulia ni strategy tu - hashindwi kiurahisi Gadafi.

Una uhakika? Ghadafi aliagusha ndege ya PANAM huko Lockerbei, Scotland wazungu wakambana akamwachia kackero wake aliyehusika na kufungwa huko Scotland pamoja na kulipa mamilioni ya fidia kwa wamarekani. Mwaka 1986 Rais Reagan alimpiga mabomu na kumuua binti yake, Ghdafi alifanya nini? Hakuna. Mwaka 2004 Ghadafi alisalimu amri katika harakati zake za kutengeneza silaha za maagamizi baada ya kubanwa vilivyo na wazungu. Huyu ndio mtu hashindwi kirahisi?
 
Gaddafi has a bright idea: "Islam should become the religion of all of Europe"

This is a political statement as much as a religious one, since Islam has and always has had a political character. Another take on this story. "Europe should convert to Islam: Gaddafi," from AFP, August 31:

ROME: Libyan leader Moamer Gaddafi's visit to Rome to mark the second anniversary of a friendship treaty with former coloniser Italy stumbled into controversy on Monday after he said Europe should convert to Islam.
Gaddafi made the comments on Sunday during a lecture to a group of 500 young women hired and paid by an agency to attend his lecture.

"Islam should become the religion of all of Europe," one of the women quoted Gaddafi as saying in the Italian press.

The agency paid the women, mainly students who hire themselves out for advertising of publicity events, 70 or 80 euros (90 or 100 dollars) to attend and said it would not pay girls who gave their names to the press.

It also told them to dress conservatively for the lectures.

About 200 women on Monday gathered at the Libyan cultural centre in Rome to attend a second lecture.

One of the women present said that Gaddafi had said at the gathering that "women are more respected in Libya than in the West" and offered assistance in finding Libyan husbands.

"Islam is the last religion and if we are to have a single faith then it has to be in Mohammed," he said, according to the participant....

Gaddafi has a bright idea: "Islam should become the religion of all of Europe" - Jihad Watch
 
Libyan leader Colonel Muammar Gaddafi is demanding £4.1billion a year from the EU to stop illegal immigration which 'threatens to turn Europe black'.
 
Col Gaddafi made the demand as he ended his controversial two-day visit to Italy where he caused outrage in the Catholic church by hosting two 'convert to Islam parties'.
 
Today furious Italian MPs slammed his demands - made in his farewell speech - for cash to stop immigration and compared them to a 'Mafia extortion racket'.

In the speech Gaddafi, 67, told his audience in Rome: 'Italy needs to convince her European allies to accept this Libyan proposal - five billion euro to Libya to stop illegal immigration.
 
'Europe runs the risk of turning black from illegal immigration, it could turn into Africa.
 
'We need support from the European Union to stop this army trying to get across from Libya, which is their entry point.
 
'At the moment there is a dangerous level of immigration from Africa into Europe and we don't know what will happen.
 
'What will be the reaction of the white Christian Europeans to this mass of hungry, uneducated Africans?
 
'We don't know if Europe will remain an advanced and cohesive continent or if it will be destroyed by this barbarian invasion. We have to imagine that this could happen but before it does we need to work together.'


BarkGrowlBite: PAY ME OR YOU'LL SUFFER A BLACK PLAGUE
 
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right
 
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right
 
wanaompinga Gadafi ni wahasi kwani nguvu ya umma toka lini wakatumia silaha?
Waafrika haswa wa Tanzania wasomi na wanazuoni kama mmeweza kutambua propaganda za ccm dhidi ya cdm iweje tuwatukuze hawa ngozi nyeupe?
 
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right
 
Asante Chimunguru, watu hawamjui Ghadafi, inaonekana hata hawasomi kinachoendelea Libya, hata Arab League, achilia mbali kina UK, US na France wamemchoka, Qatar nao wamo katika coalition force. . .we nani unaejifanya unathamini huo unaouita UAFRICA, watu kama nyie msiofikiri huwa mnakwenda tu kwa kudra za Mungu, huwa mnapelekewa pelekwa na udini, ukabila, u-mkoa, utaifa, uafrika nk, mtu anachinja watu kama kuku nyie mnasema uAFRIKA?
.
anyways, Nashukuru kuna watu wanaona beyond hapo, wamemchapa na usiku wa leo wamesongea hadi compound yake wakamnyuka! Yes lazima apate akili, bado Mugabe, Museveni, Gagbo nk



While I truly despise Gaddafi for being such a lethal dictator, am sure you will live all your life without seeing any Western military involvement to the like of Mugabe, Museveni and Gagbo simply because they have got nothing in their countries that attracts any sort of invasion. How are they going to pay for the costs of invading Zimbabwe? Sioni hii kama vita ya kidini au against Arabs, ni vita ya mafuta na pesa. Wataibomoa Libya na baada ya hapo wataleta Western companies to re-build the country, the money paid by the Libyans oil money; watafyonza mafuta kwa kadili wanavyotaka, watauza silaha pia....it's all bloody money! Libyans and the Western taxpayers are the losers at the end of it, while the politicians and business corrupts will walk to the bank laughing.
 
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right

You dont what what the people of libya are fighting for. They are not fighting in order to become rich. All they want is freedom. But Gaddafi dont want to give them that freedom. B'se of this that is why they want him out. People want want freedom and democracy sir, not about life expectancy, etc. Of course with the population of only 6 million, equivalent to the population of Dar Es salaam, libya will have the highest life expectancy and lowest infant mortality.
 
Inaonekana humjui gaddafi wewe.

SISI tumemjua Gadafi tangu enzi hizo za ujamaa na siasa za vita baridi. Hapa alipo amefika mwisho maana amekuwa ameicheza sana ile nchi, watu wamevumilia sana mpaka wamechoka sasa wameamua. Huyo jamaa huwa ni bingwa tu wa propaganda lakini hana chochote cha kijeshi. Of course ukilinganisha na Waafrica tunamuona kama bonge la soja lakini kwa Wazungu ni cha mtoto hana lolote. Tunamjua sana na hapa alipo ndiyo mwisho wake. Amekwisha.
 
Before the chaos errupted libya had the highest life expectancy in africa,lowest infant mortality,in response to rising food price arround the world libya abolished ALL food taxes.people of libya were rich,libya had a highest gross domestic product(GDP) and purchasing power everyone shared the oil wealth.highest Human development index than any africa country,libya had few poverty than nertheland.
They use us security resolution to justify invansion.
Ok,even hitler made it all seem legal too.remmember poland? At least hitler faked the reason.you think gadaf is bad,haa.think obama has the right to ASK A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN?
This is not right

Mind your finger when typing. Obama has never asked A SOVERIGN OF ANOTHER STATE TO STEP DOWN. In deed, the US law does not allow that.
 
hata kama rais anageuka chizi jaman aachiwe kuuwa?nani kiongozi wa israel anayewachinja waisrael kama afanyavyo Gadaff kwa raia wake?

Mimi simmpendi Gaddafi kwa yale yote anayofanya kwa kuwanyima demokrasia na baadae kuuwa watu wake, lakini ningependa kujua maoni yako kuhusu Sudan na Somalia ambako raia wengi sana wameuawa na serikali zao au vikundi vya kigaidi lakini hatujaona effort yoyote ya kijeshi kutoka Western powers, unafikiri ni kwanini?
 
Back
Top Bottom