The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Given all the reckless violence and total chaos we hear from Libya these days, seems like those darn Libyan demonstrators done sure forced Ghadafi's hand..



Cormega - They Forced My Hand (Feat. Tragedy Khadafi)


 
Last edited by a moderator:
It is uprising and nobody to stop peoples power.
 
Wazee,
Kama kuna kiongozi mwenye kiburi katika bara la Afrika basi, Gaddaffi ni kinara. Mara kadhaa amekwaruzana na nchi za Switzaland na Ufaransa eti kwa sababu watoto wake wa kiume walikuwa mis-treated na tawala za nchi hizo wakati watoto wake wakiwa kwenye ziara za matanuzi.

Lakini pia ni Gaddaffi mwenye mbwembwe kubwa za misafara mirefu ya magari ya kifahari anapokuwa ziara nchi za nje. Kumbe mbwembwe zote hizo, wananchi wake wanateseka kwa ukata!!! Sasa mwisho wake umetimia. Nawafagilia wananchi wa Libya kwa kuamua kumuondoa madarakani kwa nguvu. Mungu atawawezesha.
 
KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA, NDG BA KI-MOON AITISHA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA KUJADILI HALI YA RAIA NCHINI LIBYA


Size of this preview: 800 × 533 pixels

Learn more
about the Security Council of the United Nations.


UJUMBE HUMU:
Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanyika kwa dharura hivi leo siku ya Jumanne kujadili hatua za kuchukua kuokoa maisha ya waandamanaji kibao ambao wanaendelea kuuaua nchini Libya.

Hatua hii inafuatia simu ya moja kwa moja ambayo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ba Ki-Moon, alimpigia Dikteta Muammar Gaddafi kusitisha mara moja mashambulizi ya kijeshi dhidi ya waandamanaji wasiokua na silaha lakini bila kusikilizwa kitu hadi hapo.
 
Safi sana Parcell nimeipenda hiyo video!!

Tafadhali tuendelee kuwahabarisha wenzetu kwani kazi ya kujitolea tuu na kuhakikisha kwamba JF siku zote tuko mbeele zaidi kuhabarisha umma IN REAL TIME kabla ya chombo chochote cha hapa nyumbani.
 
Wazee,
Kama kuna kiongozi mwenye kiburi katika bara la Afrika basi, Gaddaffi ni kinara. Mara kadhaa amekwaruzana na nchi za Switzaland na Ufaransa eti kwa sababu watoto wake wa kiume walikuwa mis-treated na tawala za nchi hizo wakati watoto wake wakiwa kwenye ziara za matanuzi. Lakini pia ni Gaddaffi mwenye mbwembwe kubwa za misafara mirefu ya magari ya kifahari anapokuwa ziara nchi za nje. Kumbe mbwembwe zote hizo, wananchi wake wanateseka kwa ukata!!! Sasa mwisho wake umetimia. Nawafagilia wananchi wa Libya kwa kuamua kumuondoa madarakani kwa nguvu. Mungu atawawezesha.

Mh! hivi wewe mbona huwa ueleweki mara unawaponda waislam unawaponda unawaita wanywa kahawa na kashata tu leo tena unasema unawafagilia huwo unaitwa UNAFIKI wewe waislam kwako ni wajinga siku zote, unatamani mambo ya wanywa kahawa na kashata leo hii?
 
Uwezo Tunao,
Huenda ukawa ni mchambuzi mzuri wa mambo ya midle east..
Nini kilichomo midle east?
Nini demands hasa za raia wa nchi hizo?
Je wananchi wanatendewa ndivyo-sivyo na tawala zao ama?
Nani hasa wanao-organise mpaka kufikia malengo?
Je, ni sababu hizohizo zatumika kwa mataifa yote ya kaskazini ku-demand wanayoyadai? yanalingana madai yao?
Inamaana ile 'arab league' iliyo chini ya Amr Mousa kwa kitambo haikuwatendea haki hao raia?

Japo nausingizi ila nisaidie niyajue hayo, yananitatiza bali nahitaji kuyajua. Bravo

Jibu ni rahisi mno; mataifa mengi ya nchi za kiarabu, mara baada ya kujihakikishia 'URAFIKI WA KARIBU NA UTAYARI WA KUTUNZA MASLAHI YA KIUCHUMI YA BAADHI YA NCHI ZA MAGHARIBI', wamefika mahala wakajisahau kabisa na kudhani kwamba hadi hapo tayari wamejinunulia bima ya maisha ya utawala ndani ya nchi zao na dhamani halisi ya wananchi na utumishi kwao ukatoweka kama theluji jua linapokua kali na umasikini ukaota mizizi kwa wengi na ajira kukimbia hewani.

Pili, maonevu yakazidi kuliko kipimo cha uvumilivu wa kawaida kwa binadamu; kwa kisingizio cha kuwa mstari wa mbele kutetea sera ya Marekani ya nchi za nje huko Uarabuni, ambayo ni jambo jema tu taifa kujichagulia mkondo kama huo, vile vile watawala hawa wengi wa nchi za Arabuni wameitumia fursa hiyo kuwa ni cheti cha kusaliti vikundi pinzani ndani ya nchi zao na kuvitangazia ubaya kwamba ni vikundi vya kigaidi. Hii ndio maana hata baada ya Ben Ali na Mubarak kuangushwa bado hakukujitokeza chama shupavu kushika madaraka.

Tatu, udhaifu wa kushindwa kulinda SAUTI ZA WACHACHE / VIKUNDI VYENYE SAUTI DHAIFU KATIKA JAMII kama vile sauti ya Wakristo na kuendekeza zaidi UDINI, sauti ya akina mama (Mwanamke akitoka nje ya ndoa huuaua peke yake na wala haguswi mwanamme walioshiriki wote / wanawake hawana haki nao kutoa talaka kwa wame zao) ni miongoni mwa mitofali ya biskuti ambayo hivi sasa inamomonyosha bila huruma nchi za Uarabuni. Katika hili baadhi ya mataifa yaliowahi kwenye kuomba moto kwenye jiko lao mataifa haya (ikiwemo Zanzibar) nao wajiandae na tatizo hili. Ni jambo ambalo nchi za magharibi kutilia mkazo sana lakini Mama Makinda naye mtihani huu huelekea kumshinda kule bungeni.

Ulaji rushwa mkubwa wa dolla kwa kila mkataba unaotiliwa sahihi kwa ajili ya ama uchimbaji mafuna na bidhaa zake nyinginezo au uwekezaji katika kuyafanyia biashari, jinsi ambavyo makampuni mengi ya mafuta ya kimataifa hupendelea kushiriki, n a fedha hizo za kifisadi kuingizwa katika mifuko ya wachache kuendelea kuponda maisha ya raha ajabu. Nadhani nasi hapa ndiko tulikokopea wazo la UFISADI WA KUPINDUKIA ambao huko nyuma ulikua tu ni msamiati wa mtu kudowea mke wa mwenziwe.

Ugumu wa fikra za miaka 47 kule Uarabuni kukubali kuukaribisha kwa mikono miwili harakati za demokrasia ya kweli na siasa za ushindani katika uwanja wa mpira wenye majani mabichi, usawazisho murua na kupingana kwa nguvu za hoja na wala sio hoja za nguvu kama alivyoonyesha majuzi dogo Al-Islam Gaddafi wa Libya. Badala ya yote, mataifa haya yamekua ni midikteta ya zaidi ya umri wa mtu wa kuweza kuwa na mji wake kabisa. Mubaraka katawala miaka 29, na Gaddafi miaka 42 - kero tupu!!!

Kwa ujummla ni kwamba imeonekana dhahiri kwamba RAMANI YA AMANI KATI YA NCHI ZA ISRAEL NA PALESTINA kamwe haiwezi kufanikiwa katika bahari kubwa ya maji machafu ya siasa na fikra miaka ya 47 na badala yake ili mafanikio yapatikane kwa namna ya kudumu zaidi ndipo kukaonekana haja ya kusafisha kwanza maji yote ya siasa za Uarabuni na kuhakikisha kuagana kabisa na uzamani (TO MAKE A CLLEAN BREAK WITH THE PAST) na ukurasa mpya na endelevu kufunuliwa.

Karibu tena
 
Huyu mtoto wa Gadaffi alivyokuwa anaongea kwa kujiamini hiyo jana utadhani ndo Rais wa nchi.Je huyu kijana ana mamlaka gani Libya?

si kama Ridhwani tu anavojitanua kifua utadhani na yeye ni makamu wa rais....mitoto mijinga sana hii....yaani ghadafi bure kabisa anatumia madege ya kivita kuwauwa raia wake???? kweli madaraka ni mabaya sana ,
 
miaka miwili/mitatu iliyopita nilimwambia ab-tichaz kuwa utawala wa pakistan utaangushwa alafu nchi nyingi za arabuni zitafuata (thinking yemen, syria) lakini sio misri, libya au tunisia.

Tatizo kubwa la hawa watawala wa middle east walijisahau wakadhani bado wako kwenye 70s na 80s sasa vijana wa miaka 30 na kushuka chini wamefunguka macho a) wana access na internet na cable/satellite tv b) wamesoma na wako more liberal c)wanataka maisha sawa na wenzao wa nchi za magharibi.

Hili kundi kulituliza kwa maneno tuu ya sijui infidels hivi infidels vile wakati kila siku hao watawala wao wanakimbilia uko uko kula maisha wanakuwa hawakuelewi.
 
resize_image

© trust.org

gaddafi

Snap Analysis: Libya's Muammar Gaddafi will fight to the end

News found at 02:30 02/21/2011 on reuters.com
ALGIERS (Reuters) - Libyan leader Muammar Gaddafi will fight attempts to unseat him until "the last man standing," one of his sons said on ...
Continue reading on reuters.com

UJUMBE HUMU

Kauli huumba!!! Viongozi wetu wa sasa tafadhali jaribuni kuwadhibiti watoto wenu au mtu yeyote katika familia kutopendelea pendelea kujionyesha pua lake katika mambo muhimu na nyeti kitaifa eti kwa kujibebea tu cheo chake ndani ya familia nyumbani na kuileta kwa jamii nzima katika taifa.

Vile vile, kama bado kuna kachembe chochote cha uadilifu bado utakua umebaki, jitahidini kuwazuia wanafamilia hawa kutumia vibaya FURSA TUNAZOKUPA WEWE NA WEWE TU kama kiongozi wa ngazi fulani katika jamii yetua. Kama taifa tunaingia hasara maradufu fursa hizo zinapotumika na watu wasiohusika kwa kuwa tunao uhakika kwamba hatutegemei kupata tija yoyote pindi mtu huyo anapotumia fursa hizo.

Mfano mzuri ni kwamba wakati Mhe Kikwete ni rais wetu, tupende tusipende, Ridhiwani Kikwete hana ushirika katika cheo hicho hivyo anapotumia msafara wa TAASISI INAYOITWA URAIS sisi walipakodi tutegemee tija gani hadi hapo???

Yeye kama mwanasheria anaelewa fika dhani hii na angekua ni mwakilishi mzuri wa elimu hiyo kwa familia ili watumie tu fursa za Mzee Jakaya Mrisho Kikwete lakini hata siku moja wasiguse FURSA za yule mtu mwingine aitwaye Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Na hili liwaendee viongozi wote nchini mpaka na Mawaziri Kivuli, Madiwani, Mameya, hata Prof Lipumba anapotumia fursa za chama cha CUF ambazo wananchi tunazigharamia, Makatibu Wakuu, Mzee Makamba, Makatibu kata na kadhalika. Kwa jinsi hiyo kama taifa tutakua na nidhamu ya matumizi ya rasilmali chache tulizonazo kuleta tija zaidi kwa nchi yetu.
 
Hivi ndivyo hata TANZANIA twapasa kufanya, ukichoka unaonesha kwa vitendo na sio kuendelea tuu kukubali kuchoshwa.

WATANZANIA tuige mfano.
 
Hakika damu ya mtu ikimwagika ogopa sana,yaani kile kifo cha yule mtunisia alojiua kwa ukata wa maisha ndo kimehamasisha anguko la tunisia,misti,na sasa yememn,bahrain,l4bya hali si shwari...
 
Mh! hivi wewe mbona huwa ueleweki mara unawaponda waislam unawaponda unawaita wanywa kahawa na kashata tu leo tena unasema unawafagilia huwo unaitwa UNAFIKI wewe waislam kwako ni wajinga siku zote, unatamani mambo ya wanywa kahawa na kashata leo hii?

what a crap
 

Fall of a dictator: Mad dog Gaddafi flees as Libyan regime crumbles

by Martin Fricker, Daily Mirror 22/02/2011


WITH his hated regime crumbling around him, spineless Colonel Gaddafi sneaked off yesterday – but not before one last order: "Send in the bombers."

As thousands demonstrated in Tripoli, there were claims he had boarded a private jet and fled to Venezuela. But before he vanished, the vengeful dictator made one last terrifying bid to cling on to his 41-year rule – and punish the protesters who had toppled him.

He ordered his air force to BOMB unarmed civilians – with warplanes and gunships swooping on crowds. After losing control of huge swathes of the country, Gaddafi also unleashed an army of foreign mercenaries – paid up to £20,000 a head – to gun down protesters from 4x4 vehicles.

In the early hours of this morning he came out of hiding to make a bizarre statement, broadcast on state TV. Clutching a large brolly, he clambered out of a battered truck and said: "I am in Tripoli and not Venezuela. So don't believe these dogs and these television channels."

Although the footage was said to be broadcast live from Gaddafi's home in Tripoli, the location could not be confirmed as journalists have been banned. The bullet-ridden location looked like the set of a disaster film.

Human rights groups said up to 400 people have died since violence first erupted in Libya on Thursday. With journalists expelled from the country it was left to horrified locals to describe the appalling attacks.

Tripoli resident Adel Mohamed Saleh told Al Jazeera: "What we are witnessing today is unimaginable.

SEARCHING

"Warplanes and helicopters are indiscriminately bombing one area after another. There are many, many dead." Asked if the bombing was still going on he said: "Yes. Anyone who moves, even if they are in their car they will hit you."

In the second largest city of Benghazi, pro-democracy demonstrators seized power as government security forces were overwhelmed. With the east of the country out of government control, there are now fears Libya could descend into civil war.

One campaigner said: "It is the end game for Gaddafi – and he is reacting with death and destruction."

Earlier snipers shot dead protesters as the demonstrations spread to Tripoli for the first time. People were gunned down indiscriminately by security forces loyal to the 68-year-old leader.

Militiamen also opened fire on protesters from moving vehicles, leaving the city's Green Square littered with bodies. Medical sources in Tripoli said at least 60 had been killed. One witness said: "Vehicles turned up full of secret servicemen. They shot from the vehicles, killing anyone they could and running over others."

Another claimed mercenaries were even murdering injured protesters as they arrived at the city's hospital.

By daybreak the square and surrounding streets were empty. Pro-Gaddafi security men looted banks and government buildings. Protesters set fire to police stations and the Hall of the People – Gaddafi's main symbol of power. One local said: "It's in flames. There is panic and chaos. Government officials are running away, along with the military."

Medics in Benghazi said they were struggling to cope with the casualties. One doctor said: "It's mayhem. The government is operating a shoot-to-kill policy."

In Benghazi, protesters celebrated as police disappeared from the streets.University professor Hanaa Elgallal said: "Youths with weapons are now in charge. There are no security forces anywhere."

Protester Salahuddin Abdullah added: "The city is completely under the control of the demonstrators." According to one medic, the bodies of 13 officers were discovered inside the city's main security headquarters. Dr Ahmed Hassan said he believed they had been executed by fellow security forces for refusing to attack protesters.

As the violence escalated, David Cameron paid a surprise visit to Egypt at the start of a Middle East tour. He condemned the situation in Libya as "the most vicious form of repression".

EXCESSIVE

Foreign Secretary William Hague urged Britons to stay away and said emergency evacuation plans were being considered. He said he believed Gaddafi had fled to Venezuela, where he has previously stayed on Margarita Island.

Officials in South America denied the claim, but a source at Tripoli's Mitiga Airport said he saw three planes leaving early this morning, adding: "Gaddafi was on one."

Dozens of Brits arrived at Heathrow from Tripoli last night and told of their ordeal. Teacher Lisa Ali, 37, who fled with her two daughters, said: "The embassies weren't telling us anything. They should have started getting us out days ago.

"My husband's still there, but I can't get in touch with him. There were hundreds queuing to get a flight out." Holidaymakers Valerie and David Cook had already been scheduled to fly home last night after 12 days in Libya.

Valerie said: "We were in the old part of Tripoli, but in the early hours the shooting seemed to be getting closer." Another woman sobbed: "My husband's stuck there because we were told the flight was full – but it wasn't. I pray he's OK."

Despite the best efforts of the Libyan authorities to crush the protests, several senior government officials broke rank yesterday. Justice Minister Mustafa Mohamed Abud Al Jeleil resigned over "the excessive use of violence".

And the country's envoy to the Arab League, Abdel Moneim al-Honi, announced he was "joining the revolution". Protests broke out in the town of Ras Lanuf, the site of an oil refinery and petrochemical complex.

Police fled the city of Zawiyah after violent demonstrations. And nine towns in the east, including Zuara and Zlitan, were said to be under the control of tribal groups.

In Malta, two Libyan fighter jets landed unexpectedly at the country's international airport and their pilots asked for political asylum. It is believed they had refused to carry out Gaddafi's orders to bomb civilians.

Petrol giant BP has suspended operations in Libya and is preparing to evacuate staff. The turmoil saw oil prices soar by $1.67 to nearly $88 a barrel as investors panicked.

Voice of Mirror: Page 10

Read more: Fall of a dictator: Mad dog Gaddafi flees as Libyan regime crumbles - mirror.co.uk
Go Camping for 95p! Vouchers collectable in the Daily and Sunday Mirror until 11th August . Click here for more information

UJUMBE HUMU:
Huu ndio uhalisia wa udikteta na unyama wa mmbwa aliouonyesha Mzee Muammar Gaddafi kabla ya kutoroka nchi kwenda mafichoni ambako hivi sasa anache michezo kama ya filamu hizi za kisasa za kujirekodi huko na kutuma kwenye TBC1 ya huko kutangazwa.

Kwa kweli mwisho wa huyu baba umekuja vibaya mno; (1) Jeshi limegawanyika vijipande vijipande huku asilimia kubwa ikiwaunga mkono wananchi, (2) maafisa wa ngazi za juu Usalama wa Taifa lao sasa warudiana wao kwa wao, (3) Mabalozi 9 wamejiuzulu na wengine kibao kubakia madarakani lakini wakiunga mkona wazi wazi wananchi kwa madai kwamba ndio waliowatuma kazi na wala si Gaddafi.

Kwa hasira askari mamluki waliokodishwa toka nchi za nje sasa wawaua wananchi wakiwa wamekalia nyuma ya mi-pick ups, huwakanyaga makusudi na magari, humpiga risasi mtu yeyote yule watakaomuona barabarani, huwamalizia kabisa majeruhi ambao wako taabani na kuwamiminia risasi madaktari wanaowatibu majeruhi.

Huyu ndiye Kanali Muammar Gaddafi, rafiki wa karibu wa baadhi ya viongozi wengi tu hapa ukanda wetu wa Afrika Mashariki!!! Mungu uwarehemu wote waliopoteza maisha na ummpe japo dakika moja Kanali Muammar Gaddafi akiri kwa mdomo wake mauaji haya ya kinyama kabla hajalamba kidole chake, chenye kinachodaiwa kuhifadhi tayari kwa lolote lile, sumu ya mamba na kukata roho.

Unyama huu Mungu hapendi![/SIZE][/COLOR][/LEFT]
 
miaka miwili/mitatu iliyopita nilimwambia ab-tichaz kuwa utawala wa pakistan utaangushwa alafu nchi nyingi za arabuni zitafuata (thinking yemen, syria) lakini sio misri, libya au tunisia. Tatizo kubwa la hawa watawala wa middle east walijisahau wakadhani bado wako kwenye 70s na 80s sasa vijana wa miaka 30 na kushuka chini wamefunguka macho a) wana access na internet na cable/satellite tv b) wamesoma na wako more liberal c)wanataka maisha sawa na wenzao wa nchi za magharibi.
Hili kundi kulituliza kwa maneno tuu ya sijui infidels hivi infidels vile wakati kila siku hao watawala wao wanakimbilia uko uko kula maisha wanakuwa hawakuelewi.

Laiti kungalikuepo hata mtu mmoja tu mwenye uwezo wa kufanya maamu na akaweza kuzingatia kwa dhati kabisa haya unayoyanena, nadhani kama nchi tungalikwepa hii dhoruba kali ya kimapinduzi ya nguvu ya umma lakini kwa kuwa ni wale wale wa 47 ni kwamba mpaka waone wanaingia kaburini wangali hai ndipo watakapogundua kwamba, licha ya ustaarabu wote huu ambao Wa-Tanzania bado tumeendelea kuwaazimisha, hatuna mzaha na mafisadi wenye kiburi, chuki binafsi na misimamo mikali ya kidini.
 
Back
Top Bottom