Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiwa strong-anaweza kubakia madarakani-maana sources nyingine zinasema miji mingine ipo cool tu,ni baazi ya miji tu ndo kuna matatizokuweni na akili, aljazeera hawamtaki gadafi,gadafi hapatani kabisa na gulf countries ikiwemo qatar ambayo ndipo ilipo aljazeera...gadafi ni mtetezi wa kweli wa afrika na ameonesha kwa vitendo na kusaidia sana
Kuweni na akili, Aljazeera hawamtaki Gadafi,Gadafi hapatani kabisa na Gulf countries ikiwemo Qatar ambayo ndipo ilipo aljazeera...Gadafi ni mtetezi wa kweli wa Afrika na ameonesha kwa vitendo na kusaidia sana
Gaddaf urges un security to council to set up a fact finding committee
Aljazeera ya zamani sio sasalakini kumbuka pia al-jazeera wanaonyesha picha za maandamano na machafuko,na al jazeeera sizan kama watakuwa upande wa marekani au wa alqaeda
He urged the United Nations and NATO to "set up fact-finding committees" to find out how people were killed
ningependa NATO na wengine wanaojiita wanapigani haki na usawa,basi wafwate hayo aliyosema hapo juu,kuliko kumlaumu kwa kusikiliza one sided story
Aljazeera ya zamani sio sasa
Walibya watamkumbuka sana Ghadafi, ngoja nnchi ichukuliwe na majangili.
Mara mia Gadafi aliewasomesha na kuwapa karibu huduma zote bure. Hata kama kaiba, lakini anawajali sana watu wake.
CCM huu mwaka wa 50, hamna kitu tunapata bure lakini bado tumeikumbatia.
Kweli mkataa pema pabaya panamwita