The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Libya: UN backs action against Colonel Gaddafi

The UN Security Council has backed a resolution on Libya that supports a no-fly zone and "all necessary measures" to protect civilians.

Meeting in New York, the 15-member body agreed "to protect civilians and civilian-populated areas under threat of attack".

It also supported a no-fly zone to help halt the advance of Libyan leader Col Muammar Gaddafi's forces.
Reports suggest air strikes may begin within hours of the resolution passing.

The US, UK and France proposed the council resolution, backing action short of an invasion. It passed 10-0 with five abstentions.
French Foreign Minister Alain Juppe, introducing the resolution, said: "In Libya, for a number of weeks the people's will has been shot down... by Colonel Gaddafi who is attacking his own people.

"We cannot let these warmongers do this, we cannot abandon civilians."
He added: "We should not arrive too late."

Russia and China - which often oppose the use of force against a sovereign country as they believe it sets a dangerous precedent - abstained rather than using their power of veto.

Earlier reports suggested that if the resolution was passed, air attacks on Col Gaddafi's forces by the British and French air forces could begin within hours.

BBC News - Libya: UN backs action against Colonel Gaddafi

Sasa polisi wa dunia wameamua kumuondoa Gaddaffi. Na sioni mwanya wa Gaddaffi ku-survive hii move. Huenda Ufaransa wakawa wa mwanzo kuanza kumshambulia Gaddaffi hasa baada ya kusema wataweka hadharani jinsi walivyompatia Sarkozy fedha za kampeni ya urais.
 
kweli hapa JF kuna Khinzir na Khelb.....yaani mnavyoshadadia hiyo no-fly zone kwa Libya dah...

Ya kwenu na mafisadi wenu na ugumu waa maisha mlionao hamyaoni..
 
Baada ya mwezi mmoja kupita ndio sasa hivi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kukubali kuwepo kwa eneo lisiloruhisu ndege za Libya kuruka ili kuwalinda raia. Maswali na wasi wasi wangu:
1. Je, ikiwa walikuwa na nia hiyockwa nini BUUM limechelewa kufanya maamuzi?
2. Katika maamuzi ya BUUM, hayaruhusiwi majeshi ya kigeni kuingia ndani ya ardhi ya Libya, je watazuwiaje silaha nzito za Gadaffi zinazowamaliza "waasi"?
3. Libya imo ndani ya Afrika, nini nafasi ya Umoja wa Afrika katika maamuzi muhimu yanayolihusu bara lao?
 
Je watafanya pia kwa Bahrain? Au kwa vile US wana base yao huko wataulinda utawala wa Bahrain?
 
Baada ya mwezi mmoja kupita ndio sasa hivi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kukubali kuwepo kwa eneo lisiloruhisu ndege za Libya kuruka ili kuwalinda raia. Maswali na wasi wasi wangu:
1. Je, ikiwa walikuwa na nia hiyockwa nini BUUM limechelewa kufanya maamuzi?
2. Katika maamuzi ya BUUM, hayaruhusiwi majeshi ya kigeni kuingia ndani ya ardhi ya Libya, je watazuwiaje silaha nzito za Gadaffi zinazowamaliza "waasi"?
3. Libya imo ndani ya Afrika, nini nafasi ya Umoja wa Afrika katika maamuzi muhimu yanayolihusu bara lao?

Mkuu.
Lugha ya azimio iko pia "all necessary measures"...The UN Security Council has backed a resolution on Libya that supports a no-fly zone and "all necessary measures" to protect civilians.

Sasa hapo maana yake watatumia kila uwezo wanaona unafaa kumuondoa Gaddaffi.
 
Bora hii kitu wamepitisha....ila naona kama damu inaweza kumwagika kidogo...........maana hapo lazima nguvu itumike
 
kweli hapa JF kuna Khinzir na Khelb.....yaani mnavyoshadadia hiyo no-fly zone kwa Libya dah...

Ya kwenu na mafisadi wenu na ugumu waa maisha mlionao hamyaoni..
Gang naona kama vile huelewi, labda ni wewe ambaye ni Khinzir au Khelb?. I have been Gaddafi's supporter for not less than 30 years, but that support ceased when Gaddafi decided to turn against his own people. Read me carefully, I am not saying the problems are over for the people of Libya. But Gaddafi has got to go, after 42 years in power. He is a spent force!
 
Je watafanya pia kwa Bahrain? Au kwa vile US wana base yao huko wataulinda utawala wa Bahrain?

Mkuu huko sidhani kama wanaweza kufanya maana libya imekuwa too much ndio maana wameamua kuchukua huu uwamuzi.........
 
Je, Gaddafi atapona?

17 March 2011 Last updated at 23:06 GMT
Libya unrest: UK forces 'could be in action by Friday'

_51694587_011536295-1.jpg

Colonel Gaddafi has warned rebels in Benghazi his troops are coming

UK forces could be in action over Libya as early as Friday, after the UN backed a no-fly zone and "all necessary measures" to protect civilians.

A senior UK government source has told the BBC action could take longer, but would be within days of the vote. The resolution rules out a foreign occupation force in any part of Libya. Foreign Secretary William Hague said the UK would "now respond" to the responsibility it placed on UN members. He said the resolution authorised a no-fly zone over Libya and "all necessary measures" to protect the civilian population - including those in the rebel stronghold of Benghazi.

..."It is necessary to take these measures to avoid greater bloodshed," Mr Hague said.

"This places a responsibility on members of the United Nations and that is a responsibility to which the United Kingdom will now respond."


-Full Story: BBC
 
Je watafanya pia kwa Bahrain? Au kwa vile US wana base yao huko wataulinda utawala wa Bahrain?
Swali ni wananchi wa Bahrain wameomba msaada wa UN na je jeshi la Bahrain linatumia ndege kutawanya waandamanaji? Saudi Arabia (part ya GCC) wameshapeleka wanajeshi Bahrain.
 
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN-Security Council) limepitisha azimio la kuchukua hatuwa zote ikiwamo kuzuia mashambulio ya ndege ktk anga la libya, kwa madai ya kuhakiki usalama wa raia na wananchi wa libya unalindwa. Wakati huo huo ufaransa imekuwa ikisisitiza kufanyike uvamizi wa kijeshi muda wowote pindi azimio hilo litakapo kiukwa kitu ambacho nchi za uchina na urusi imekipinga.
Swali; je malengo kamili ya azimio hili ni nin?
Source; bbc.co.uk
 
Lengo la lile azimio ya UN ni kutafuta Kusafirisha Gaddafi na wanawe ahera kwa haraka zaidi kama ilivyotokea kwa familia ya Saddam Hussein kule Irak.

Mwambie JK akamuage mapemba mfadhili wake huyo kisiasa na kifedha kabl hajaanza maisha mapya ahera!!

Masikini Alhaj Qadhafi, bora angejiondokeaga tu mapema kama Ben Ali na Hosni Mubarak hata kama maana yake ni kubakia jobless Ughaibuni!
 
kuna tetesi kuwa wanataka mafuta na Utajiri wa Libya, je kuna ukweli? Yasemekana hii ni agenda ya siri!
 
hawa watu wa magharibi nao kwa unafika? c walikua wanamcfia wanamakiribisha makwao hapa pana agenda ya siri hapa c bure mkwer mkwere ukuona mwenzakoa ananyolewa tia maji haraka sana yanakuja na kwako
 
inaniuma kuona watu wakiuwawa ila sijui ni ipi hasa solution sahihi.
 
Ninasikitishwa sana na watu wanaoshabikia uvamizi wowote unaoasisiwa na mataifa ya ulaya. Ivi ni nchi gani waliyovamia kwa heading ya kulinda haki za binadamu ambayo mpaka sasa inautulivu. Jamani jamani haya siyo ya kushabikia kiiiiivo. Suala la Africa limalizwe na waafrica wenyewe. Mbona Ivory cost hawaendi pale watu hawako wanakufa?
 
i think us air force has killed more civillian than gadaffi air forces why the hell then protecting libyan civillian from gadaffi air force is more important than protecting iraq and afghan civillian from us and nato drones! or bombs from us aircraft are not bad compared to bombs from gadaffi aircraft? double standard?
 
Back
Top Bottom