The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Mbona wamekuwa kama nyuki,kila nchi ya kikafiri imetuma midege yake.Hii yote ni no fly zone?.Iwapo wamekwenda mbali kuliko kutekeleza azimio la UN Ghadhafi alalamike wapi?.
Baada ya Libya Saudia itafuata.Visingizio vitakavyotungiwa maazimio ya UN havikosekani.Urafiki wa Saudia na US kuuziana takataka za kijeshi unaweza kubadilika usiku mmoja tu.
Allah atajibu.
 
iNGEKUWA ENZI YA BUSHI MAREKANI MBONA HUYU GADDAFI ANGEKUWA KASHATINDULIWA ZAMANI
 
Huyu mwehu anaweza piga watu wake mwenyewe kisha akanyooshe vidole allied forces!
 
Mbona wamekuwa kama nyuki,kila nchi ya kikafiri imetuma midege yake.Hii yote ni no fly zone?.Iwapo wamekwenda mbali kuliko kutekeleza azimio la UN Ghadhafi alalamike wapi?.
Baada ya Libya Saudia itafuata.Visingizio vitakavyotungiwa maazimio ya UN havikosekani.Urafiki wa Saudia na US kuuziana takataka za kijeshi unaweza kubadilika usiku mmoja tu.
Allah atajibu.
Wewe unaongea kuhusu ukafiri na wakati Saudi huko nchi takatifu yenu wanasapoti na hata hizo silaha wako tayari kuzitumia dhidi ya asiye kafiri mwenzenu?
 
dah naona wakubwa wameamua kufanyia mazoezi ya midege yao kwa ghadaffi.
 
Naheshimu maoni yako lakini all in all Libya belongs to all Libyans, and not only to Gadhafi and his sons. Wananchi wametaka mabadiliko, alichotakiwa ni kuwasikiliza na kukaa nao chini, lakini aliamua kuwauwa na hayo ndio matokeo yake.
msnbc wanadai Gaddafi ku address Nation any time.
Back to the point,na mimi pia nayaheshimu maoni yako,hata hivyo nilidhani hasara ya vita ni kubwa zaidi kwa wananchi hao na Taifa lao....Na pia kudai kuwa unawatetea wananchi hao maslahi yao na huku unawatandika mabomu na kuwadisplace kwa mwananchi wa kawaida ataona maruwe ruwe tu.
Longterm consequences ndicho nilimaanisha,achilia mbali zile short term ama imediate ones ie loss of lives.
 
Mbona wamekuwa kama nyuki,kila nchi ya kikafiri imetuma midege yake.Hii yote ni no fly zone?.Iwapo wamekwenda mbali kuliko kutekeleza azimio la UN Ghadhafi alalamike wapi?.[/COLOR]
Baada ya Libya Saudia itafuata.Visingizio vitakavyotungiwa maazimio ya UN havikosekani.Urafiki wa Saudia na US kuuziana takataka za kijeshi unaweza kubadilika usiku mmoja tu.
Allah atajibu.

Kwa hiyo hata UAE na hizo nchi nyingine za kiarabu zinazoshirikiana wa the west ktk hii operesheni na makafir?
Ghadafi anatakiwa akalalamike kwa China, Chavez na Ahamedinajad. Hao ni maswahiba wake kinaoma lakini wameuchuna na kuufyata. Nilitegemea wangemsaidia kijeshi. Inamaanisha nini ama akina Chavez na wenzie ni marafiki wa wakati wa raha tuu?
 
Ni kweli Gadaffi amewafanyia wananchi wake yaliyo mema, lakini kwa kujiinua nafsi yake juu ya Mungu wa Israel hapo alipolitukana taifa la Israel na kuikashifu biblia alipokuwa uganda aliyafuta yoote mema ikiwa aliwahi kuwa nayo.
Na iwe kwake kama ilivyokuwa kwa mfalme Nebkadneza alipojiinua na kujivuna kwa kiburi chake juu ya Mungu wa Israel.
Aliondolewa fahamu na kutiliwa akili za mnyama wa pori na kuishi porini miaka saba.
Gadaffi nayampate makuu kuliko haya. Sii kama nitakavyo mimi bali mapenzi yakoo ee Mungu yakanitangulie kwa hili.
.
 
Mbona wamekuwa kama nyuki,kila nchi ya kikafiri imetuma midege yake.Hii yote ni no fly zone?.Iwapo wamekwenda mbali kuliko kutekeleza azimio la UN Ghadhafi alalamike wapi?.
Allah atajibu.
Kwa "ukafiri" una maanisha nini?
 
Libya state TV wanasema wameiangusha ndege moja ya ufaransa.Waingereza nao wameanza strikes
Source:msnbc
My Take:Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hapo utagundua wameshagawana huku wakija kwenye microphone wanadai ni kuwaprotect wananchi.Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawwathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then hata kama wasingepigwa vita.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns na wakati wanaifanya kuwa mbaya zaidi.
Mkuu kumbuka hii ni Operation ya NATO na Arab League countries so nchi zote zilizo chini ya NATO zinashiriki in one way or another kuna watakaotoa ndege wengine bases (Malta na Italy), wengine watasaidia logistics na maswala kama hayo.
 
Ofcourse mkuu,kwani NATO si mataifa tu?Sasa unategemea wataacha kuenforce interests zao za kibiashara mara baada ya kumwondoa Gaddafi?
Hawajitolei bure.
 
627.jpg

A pilot boards his French Dassault Rafale combat aircraft, seen in this photo released by ECPAD (French Defence communication and audiovisual production agency), at the Saint-Dizier military base, eastern France, March 19, 2011, before taking off on a mission to overfly Libya.

p44854-canadian-f18-hornet-fighters.html
1221.jpg

Canadian CF18 Hornet fighters arrive at the air base of Trapani Birgi in the southern island of Sicily on March 18, 2011. Italian air bases could play a key role in any military action against Libya but the prospect of Rome's first operation against its former colony since World War II carries high risks, experts said.

4101.jpg

Crew members perform pre-flight preparations on Italian Tornado ECR fighters at the Trapani Birgi air base in the southern island of Sicily on March 18, 2011. Italy on March 18 offered the use of its air bases to impose a no-fly zone on Libya and said it could help take out Libyan radars and defence systems after the UN cleared the way for air strikes. Italy has 'granted the use of military bases on its national territory', the government's press office said after an emergency cabinet meeting in Rome.

2175.jpg

A Danish F-16 Fighting Falcon jet fighter flies over the Sigonella NATO Airbase in the southern Italian island of Sicily March 19, 2011.
hizo ndege zinaweza kukutana na SAM na anti aircraft artillery kutoka kwa Gaddafi maana ana hizi hapa ambazo zinaweza kumsaidia
k.JPG

kk.jpg

kk-.jpg
kl.jpg
li.jpg
libb.jpg
lid.jpg
ll.JPG
llb.gif
lo.jpg
ls.jpg
 
Pentagon wansema Libyan Leaders and Govt are not targets....Na Gaddafi yuko onair now!Anaweza kuwashangaza wengi wenu humu...Teh teh teh!Hata hivyo Gaddafi haonekani live,bali ni sauti tu.
Source:msnbc news
 
Mbona wamekuwa kama nyuki,kila nchi ya kikafiri imetuma midege yake.Hii yote ni no fly zone?.Iwapo wamekwenda mbali kuliko kutekeleza azimio la UN Ghadhafi alalamike wapi?.
Baada ya Libya Saudia itafuata.Visingizio vitakavyotungiwa maazimio ya UN havikosekani.Urafiki wa Saudia na US kuuziana takataka za kijeshi unaweza kubadilika usiku mmoja tu.
Allah atajibu.
ngoja wafundishwe-hao ndo wanaoweza kuwanyoosha hao ambao wanajiita si makafiri-Saudia haitafwata-Iran ndo itakayo fwata-wait and see
 
Security council si Arab League nor OIC......sikuwa nazungumzia Security Council bali Arab League

Nice try but, ili tamko lilitolewa March 1st, wakati wanatoa tamko ilo hali haikuwa mbaya kulinganisha na sasa. Cha kujiuliza ni nini kilichowafanya wakapiga U-turn?
Military intervention in Libya opposed by OIC, Arab League - Arab News
Arab League ministers to reject military intervention in Libya - Haaretz Daily Newspaper | Israel News
Arab League hadi baada ya Sarkozy na Clinton leo hawaungi mkono military intervention,wanachotaka ni no fly zone to protect civilians,westerners wanawatumia tu but msimamo wao haujabadilika

BTW: am not trying to answer....i know what am saying! :washing:
 
Gaddafi anasema wananchi wa Libya wanaomba msaada wa mataifa ya Afrika,ya kiarabu na kiislam kuwasaidia dhidi ya uvamizi wa crusaders.Anadai wanapigania uhuru.
 
Kwa mantiki hii potofu ina maana kuna makafiri kibao Africa?
Itakuwa hivyo mkuu,
back to the topic,Gaddafi katoa statement...Gaddafi anasema wananchi wa Libya wanaomba msaada wa mataifa ya Afrika,ya kiarabu na kiislam kuwasaidia dhidi ya uvamizi wa crusaders.Anadai wanapigania uhuru....Nadhani pia ana imply uislam uko under attack kama cjakosea.
 
Back
Top Bottom