Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Mbona mafuta jamani yapo hapa na magari tunaendesha na hakuna shida ya mafuta. Mafuta gani hayo unayozungumzia?
Labda mafuta ya taa!!!
mna akili sana nyie watu wawili+ Eqlypz :washing:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mafuta jamani yapo hapa na magari tunaendesha na hakuna shida ya mafuta. Mafuta gani hayo unayozungumzia?
Labda mafuta ya taa!!!
waongo tu,walishajiandaa hata kabla ya hiyo cease fire agreement kufanya ushetani wao nguruwe hao.....hata wakimtoa Gadaffi watabaki kuteseka tu na dhuluma wanazofanya....sasa wataua watu waseme ni Gaddafi,wataangusha ndege zao makusudi waseme ni Gaddafi ili mradi waweze ku-justify ushetani wao......Gaddaf ni mwanaume wa ukweli,hao wengine wote ******* tu.....:smash:
Ndicho nilikuwa nikijaribu kumwelewesha VUVUZELA.Gaddafi wont go nowhere,je is all of this worthy?Mojawapo ya masharti yao ni kuwa ayarudishe yale majimbo aliyoyakomboa kutoka kwa rebels,na mengineo ndiyo majimbo yenye mafuta,si unakumbuka no fly zone ya Iraki kwa upande wa wa Kurdish?Watachukua wese kiulaini kwasababu hakutakuwa na negotiations with the central government.
Hivi na wewe unajidhania kuwa great thinker? Wewe ni sympasizer tu. Wananchi wa Libya wakikusikia hakika watakujengea kisasi. Usishabikie mambo usiyoyajua. Hao unaowalaani wameombwa na umoja wa nchi za kiislamu wamsulubu huyo mpendwa wako, tena baada ya kubembelezwa sana. Mie nafurahia sana kinachoendelea usiku huu kwani hatimaye wanchi wa Libya watapumzishwa na mgogoro usio wa lazima baada ya best yako anayelilia kufia madarakani kuchezea kichapo cha haja. Halafu nikukumbushe tu kuwa huyo nduguyo ametofautiana na wewe kwani anadai kuwa chanzo ni alqaida na wavuta bangi na madawa ya kulevya. Sasa sijui mkweli ni nani kati ya yeye na wewe?
Are they going to do the same in other countries? Demonstrators are in the streets of Yemen where the govt is killing the population in the capital, Bahrain, Saudi Arabia, etc. How about Ivory Coast?
Hakuna kusugar coat maneno, simply aligoma kuacha kushambulia Benghaz heck his forces were advancing towards the city (kwa mujibu wa Al Arabiya TV) asubuhi ya jumamosi hours baada ya kuambiwa astop, na yeye mwenyewe alisema all military operations zitaimamishwa na kuanza maongezi na rebels. He asked for it let him get it, huyu si ndio alimtumia Idd Amini mercenaries, vifaa na hela wakati wa vita ya Uganda? Asivyo na adabu ata msahama hakuwaomba Watanzania. I bet hakujua what goes around comes around enh?una majibu mepesi na ya haraka haraka.....:lol::lol:
I know you're being sarcastic, but sometimes we need to let off the heat!mna akili sana nyie watu wawili+ Eqlypz :washing:
In general i think the West were quite happy with the arrangements they had with most regimens in Middle East & North Africa! However they were caught unawares by the civilian uprising in the countries especially in Egypt and Libya!!! So in the early days of the civillian uprising they kept their distance and observed, then they judged that the people/civilians would win....and the west being the west they would always look after No.1 (their national interests), hence backed the winning side (with the view of continued influence/ guarding their national interests oil/ military bases etc)!!!
i don't think the West are evil as evil as some have commented but are only acting in their perceived national interests i.e. side with the Libyan people who want a change in leadership now, because they will remember that we did help them hence they will give us preferential treatment when it comes to oil deals etc...
thats my take!!
Under current sarcasm.... Thank You!!mna akili sana nyie watu wawili+ Eqlypz :washing:
Unfortunately, they are!...i don't think the West are evil...
Hakuna kusugar coat maneno, simply aligoma kuacha kushambulia Benghaz heck his forces were advancing towards the city (kwa mujibu wa Al Arabiya TV) asubuhi ya jumamosi hours baada ya kuambiwa astop, na yeye mwenyewe alisema all military operations zitaimamishwa na kuanza maongezi na rebels. He asked for it let him get it, huyu si ndio alimtumia Idd Amini mercenaries, vifaa na hela wakati wa vita ya Uganda? Asivyo na adabu ata msahama hakuwaomba Watanzania. I bet hakujua what goes around comes around enh?
Unfortunately, they are!
Hakuna kusugar coat maneno, simply aligoma kuacha kushambulia Benghaz heck his forces were advancing towards the city (kwa mujibu wa Al Arabiya TV) asubuhi ya jumamosi hours baada ya kuambiwa astop, na yeye mwenyewe alisema all military operations zitaimamishwa na kuanza maongezi na rebels. He asked for it let him get it, huyu si ndio alimtumia Idd Amini mercenaries, vifaa na hela wakati wa vita ya Uganda? Asivyo na adabu ata msahama hakuwaomba Watanzania. I bet hakujua what goes around comes around enh?
Asilimia kubwa ya mafuta ya US inatoka Saudi Arabia, Iraq na Kuwait Libya mnunuzi wake mkubwa wa mafuta ni Italy na Ujerumani.
Ni kweli kabisa lakini ujue kuwa kama Ulaya watapungukiwa mafuta inabidi wabanane na US huko Saudi Arabia, Iraq na Kuwait mwishowe US pungukiwa na ugavi.
Of course, who else's, do you think?Based on your opinions...............
Sawa tumekusikia, tumekuelewa!!! Kwa hiyo tuwaunge mkono mafisadi kwa mgogo wa kutokuunga mkono kinachoitwa Peoples Power? Kwamba wanaoanika upumbavu wa serikali zetu wametumwa na marekani na nchi za ulaya? This is cheap politics and for sure, I beg to differ.
Tiba
Hivi kati ya wananchi wa Libya na wananchi wa Tanzania ni kina nani wanaoteseka?
Hapo utagundua kuwa kuna wakati unafika Demokrasia inakuwa ni ushuzi tu, puumbav.
Tanzania iko kwenye Demokrasia kwa kipindi kirefu sasa, lakini kila kukicha bora ya jana, wajanja wachache wanawakamua wananchi, rasilimali za taifa hazina faida kwa wazalendo, ugumu wa maisha na mfumuko wa bei umeshindwa kuzuilika na mambo mengine ambayo ni kichefu chefu kuyasema.
Live longer Gaddafi...
wewe ni Dikteta uliyewafanyia makubwa wananchi wako.
Tofauti hata na hao marais wanaodai Wa ulaya na huyu mkwere wa hapa
Yep, in fact scenario nyingine ni kuwa wana buy time ili rebels wajipange vizuri with assistance from Arab League na International Community (EU na UN) since washasema Gaddafi amepoteza uhalali wa kutawala then wawasaidie kuadvance kwenda Tripol a la Northern Alliance in Afghanistan.Ndicho nilikuwa nikijaribu kumwelewesha VUVUZELA.Gaddafi wont go nowhere,je is all of this worthy?Mojawapo ya masharti yao ni kuwa ayarudishe yale majimbo aliyoyakomboa kutoka kwa rebels,na mengineo ndiyo majimbo yenye mafuta,si unakumbuka no fly zone ya Iraki kwa upande wa wa Kurdish?Watachukua wese kiulaini kwasababu hakutakuwa na negotiations with the central government.
Unfortunately, they are!