The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Obama authorizes secret support for Libya rebels

(Reuters) - President Barack Obama has signed a secret order authorizing covert U.S. government support for rebel forces seeking to oust Libyan leader Muammar Gaddafi, government officials told Reuters on Wednesday.

Obama signed the order, known as a presidential "finding", within the last two or three weeks, according to four U.S. government sources familiar with the matter.

Such findings are a principal form of presidential directive used to authorize secret operations by the Central Intelligence Agency. The CIA and the White House declined immediate comment.

News that Obama had given the authorization surfaced as the President and other U.S. and allied officials spoke openly about the possibility of sending arms supplies to Gaddafi's opponents, who are fighting better-equipped government forces.

Exclusive: Obama authorizes secret support for Libya rebels | Reuters
 
Kwa Mujibu Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Ya Uingereza Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Libya Mr Musa Kousa Ametangaza Kujiuzulu Na Amekimbilia London. Habari Hizo Zinasema Pia Mr Kusa Amesema Hayupo Tayari Kufanya Kazi Chini Ya Utawala Wa Gadaffi. Hata Hivyo Serikali Ya Libya Imekanusha Habari Za Mr Kousa Kujiuzulu.
 
Baada ya habari za Moussa Koussa kudefect kuibuka, kuna hii update nyingine.

00:43 Almanara Media reports that 32 Libyan Diplomatic cars have crossed the Libyan-Tunisian border into Tunisia. There is news that the following Libyan diplomats are in Tunisia making plans to defect and leave to Europe: 1. Abu Zaid Dorda – Chief of Intelligence
2. Shukri Ghanem – Oil Minister
3. AbulGasem AzZwai – General Secretary of the People's Committee
4. AbdulAati Abedi – Libyan Ambassador to Tunisia
 
Mkuu.
Hao wote kama wana-defect wanaingia katika mtego wa West na US.
Watarahisisha Gaddaffi kuanguka lakini wasisahau ile treatment aliyopata Tariq Aziz wa Iraq..yeye pia alijisalimisha!
 
Baada ya habari za Moussa Koussa kudefect kuibuka, kuna hii update nyingine.

00:43 Almanara Media reports that 32 Libyan Diplomatic cars have crossed the Libyan-Tunisian border into Tunisia. There is news that the following Libyan diplomats are in Tunisia making plans to defect and leave to Europe: 1. Abu Zaid Dorda – Chief of Intelligence
2. Shukri Ghanem – Oil Minister
3. AbulGasem AzZwai – General Secretary of the People's Committee
4. AbdulAati Abedi – Libyan Ambassador to Tunisia
nataman wangekimbilia uganda au kwa waarab wenzao.
 
Baada ya habari za Moussa Koussa kudefect kuibuka, kuna hii update nyingine.

00:43 Almanara Media reports that 32 Libyan Diplomatic cars have crossed the Libyan-Tunisian border into Tunisia. There is news that the following Libyan diplomats are in Tunisia making plans to defect and leave to Europe: 1. Abu Zaid Dorda – Chief of Intelligence
2. Shukri Ghanem – Oil Minister
3. AbulGasem AzZwai – General Secretary of the People’s Committee
4. AbdulAati Abedi – Libyan Ambassador to Tunisia
Ni kawaida katika kundi lolote kuwepo majitu majoga na maongo.Hawa hujulikana vyema wakati wa matatizo.Tanzania tuna wanasiasa kama hao.Mchana ni CCM usiku ni CHADEMA.
Vyovyote iwavyo hali halisi inaonesha Ghadhafi ana watu na askari wa kutosha kuendeleza kile alichosema vita vya muda mrefu.Na wengine watakwenda kutoka nchi za kusini.
Hao waasi wameshasema bila msaada wa mabwana zao hawawezi kupambana na watu wa Ghadhafi.Ukali wa Ghadhafi wa namna hii unatokana na kuelewa kwamba pale hakuna kosa bali ni njama tu za kuleta ukoloni.Huu ni mfano wa mtu anavyokubali kufa na jambazi wanaoingia nyumbani kwake.Ni mara chache sana kusikia mwenye nyumba kakimbia kupitia mlango wa nyuma.Kinyume chake ni kawaida kusikia majambazi wamemuua mmiliki wa nyumba fulani.Kwa vile pale ni kwake,huamua apambane tu hata akiuwawa.
Mtego waliojiingiza Amerika na washirika wake kama France na UK ni kuwa hatimae watalazimika kuteremka chini na kuzidi kuleta uchochezi.Hii haikubaliki watakufa mpaka waone bora kuachia.
Kundi moja la waasi lina usongo na Ghadhafi,hawa ni wahuni na wala unga na ndio wanaounga mkono NATO na nchi za ulaya zije kuwasaidia.Kundi la pili lina usongo na Marekani na washirika wao ambao wanauwa ndugau zao Pakistan,Somalia na kwengine kote duniani.Hatimaye makundi haya yatapigana yenyewe kwa yenyewe.
Iwapo Ghadhafi atakuwa hayupo na hata akiwa mafichoni,hao washirika wa Ulaya watakuwa na kazi mpya ya kuchochea ili kundi lao lishinde.Hii itakuwa ndio kutwanga maji kwenye kinu kwani tayari wafuatiliaji wa mambo wanatabiri kwamba hali Libya itakuwa tofauti na Iraq na Afghanistan.
 
koussa.jpg

Former Libyan foreign minister Moussa Koussa resigned and flew to London on Wednesday. [Reuters]

Gaddafi apoteza Waziri muhimu sana na nyaraka za siri kibao kwa kipindi ambapo vita vimemuelemea zaidi nchini mwake.
 
Kundi hatari zaidi la awamu ya pili ya CIA waingia rasmi nchini Libya wiki jana; tayari washikishs UTAMBI (Silaha kedekede tena za kisasa zaidi vikiwemo satellite phones) vikundi vya waasi nchini Libya.

Ni breaking news ya dakika chache zilizopita.

CNN
 
Nimefatilia CNN muda mfupi uliopita ni kwamba ameomba 'assylum' NA ANAONGEA NA SERIKALI YA UK JUU YA HIFADHI YA KISIASA KABLA YA KUTANGAZA RASMI KUJIUZULU. Ila Kousa kwa sasa yupo nchini uingereza.
 
Kundi hatari zaidi la awamu ya pili ya CIA waingia rasmi nchini Libya wiki jana; tayari washikishs UTAMBI (Silaha kedekede tena za kisasa zaidi vikiwemo satellite phones) vikundi vya waasi nchini Libya.

Ni breaking news ya dakika chache zilizopita.

CNN

Naona hapa jets zimeanza kutarget satellite scrambling source, soon Libya itakuw ahaina TV, Internet na simu.

Ila ili la Moussa Koussa kukimbilia UK linaleta picha kadhaa, a)Gaddafi yuko mbioni kuachia ngazi/ kukimbia b)Fanya kitu kibaya na cha ajabu. Maana huyo Moussa Koussa ndio alikuwa head of intelligence na mmoja wa watu wa karibu sana wa Gaddafi sasa imagine misiri yote aliyonayo, sasa hivi anatafuta amnesty sintoshangaa akaamua kumuuza rafiki yake ili apewe hifadhi ya kisiasa.
 
One of the most critical phases will most certainly be expected to be on toward weekend with the going going away of Libyan intelligence guy. He is believed to be holding crucial documents that would help in making Libyan public access their freedom a lot earlier than expected!!

Kinachonishangaza eti hawa watu wa magharibi wanasema bila aibu ya kwamba rebel wako weak kupambana na jeshi la Gadafi.Mhhhhh na lazima wawezeshe kisilahaa. Mbona hawawezeshi rebel wa somalia al shabaab? mbona hawamwezeshi joseph koni maana hana ubavu wa kupambana na jeshi la mseven.Mhhhh
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona hapa jets zimeanza kutarget satellite scrambling source, soon Libya itakuw ahaina TV, Internet na simu.

Ila ili la Moussa Koussa kukimbilia UK linaleta picha kadhaa, a)Gaddafi yuko mbioni kuachia ngazi/ kukimbia b)Fanya kitu kibaya na cha ajabu. Maana huyo Moussa Koussa ndio alikuwa head of intelligence na mmoja wa watu wa karibu sana wa Gaddafi sasa imagine misiri yote aliyonayo, sasa hivi anatafuta amnesty sintoshangaa akaamua kumuuza rafiki yake ili apewe hifadhi ya kisiasa.

Moussa Koussa is a Traitor! mijitu kama hii haiaminiki! Cowards!...I hope naye ataishia kama FM wa Iraq miaka ile, Tariq Aziz aliyemkimbia Saddam Hussein.
 
One of the most critical phases will most certainly be expected to be on toward weekend with the going going away of Libyan intelligence guy. He is believed to be holding crucial documents that would help in making Libyan public access their freedom a lot earlier than expected!!

...mnh, The west and the world will reap what they sow in that region. Haki ya nani nilidhani 'we' are winning war against terror, ...Soon the west will come to understand what freedom means to the caged 'beast!'
Anyway, kwa wasoma alama za nyakati wanaamini yalishatabiriwa haya.
 
Press briefing

NATO HQ, Brussels

13:30 - Oana Lungescu, the NATO Spokesperson, will brief the press on the recent international conference in London and on Libya. She will be joined by Admiral Giampaolo Di Paola, Chairman of the NATO Military Committee and, from Naples via video teleconference, by Lieutenant General Charles Bouchard, Commander of the NATO military operations in Libya. They will brief on NATO’s operation Unified Protector.

Source: NATO
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime,walibya walivyo wajinga wapo tayari kuuana wao kwa wao huku wakisaidiwa silaha za kumalizana wenyewe kwa wenyewe na mataifa ya nje,inasikitisha sana.
 
Hawa jamaa kama wanataka Ghadaffi aondoke wampe deal ya kwenda south africa na wasimshitaki kwenye mahakama za kitaifa. Wasipofanya hivyo Ghadaffi atashinda vita na Libya itakuwa kama zamani!!!. Nato ni wa Europe ambao wanajua kuongea lakini si wapiganaji kabisa na Marekani haitapeleka jeshi la chini hivyo basi Ghadaffi atashinda kwa kishindo wasikompa deal. Inabidi wampe deal mapema kwani akijua atashinda hatakubali deal yeyote. Hivyo kama hawa jamaa hawako makini na kuzungumzia ni jinsi gani watamshitaki Ghadaffi basi watashidwa vita. Huwezi kushinda vita Africa!
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime,walibya walivyo wajinga wapo tayari kuuana wao kwa wao huku wakisaidiwa silaha za kumalizana wenyewe kwa wenyewe na mataifa ya nje,inasikitisha sana.

...and the west never learns! Fitna zile zile za 80's Afghanistan Vs Russian army, fitna zile zile 90's Somalia Vs Rebels,...fitna zile zile 2000's Iraqi vs Kurds & Shia Militants. Kila baada ya miaka kumi Coalition forces 'wanajitahidi' kuzalisha new wave ya Terrorists! Wanaondoa 'Dictators' na 'Tyrrants' ambao kidogo wanawasaidia War against terror na kuacha vurugu mechi, wenye meno wachakachue!

Leo hii hakuna salama Afghan, hakuna salama Iraq, ...na Somali Pirates tunaona mambo yao ilhali Serikali ya Somalia ipo Mogadishu tu!
Na tushike majembe tukalime, Coalition forces wanatuma silaha kwa Rebels, na undercover agents. Gaddafi akishaondoka, silaha hizo hizo zitatumika against Westeners.
 
Back
Top Bottom