Mwanzoni waingereza walisema kuwa "Gaddafi was on his way to Venezuela".
Juzi wameambiwa na mwakilishi wa UN kuwa sasa baada ya "humanitarian(military) intervention" ndio kweli kuna humanitarian crisis na amependekeza mashambulio ya pande zote yasitishwe ili vyakula na madawa yaingizwe Libya.
Na sasa wanakuja na "janja" nyengine.Eti ahame nchi ,aende uhamishoni.
Bofya hapa.
https://www.jamiiforums.com/international-forum/133807-gaddafi-delusional-mad-man.html