The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Rosemarie, kwanza hongera kuanzisha thread ya mambo ya maana hata kama jukwaa silo.

Pili hoja ya satelite ni kweli, ila sio dola 500 kwa mwaka, ni dola 500 kwa mwaka, ni dola laki 5!, Yaani ni 500,000.

Ila sio hivyo tuu, ametaka kuanzisha muungano wa Africa, United States of Africa ili Afrika iwe na nguvu kuliko Marekani, alipanga kuanzisha Bank of Africa na African Monetary Fund ili bara Africa tusiyategemee haya mashirika makubwa ya fedha ambayo ni ya kibeberu.

Kufuatia mipango hiyo, Marekani na kimada wake Uingereza wakaamua Gadafi lazima aondoke!.

Its very sad Waafrika hatulioni hili na tunawaacha wafanye wanavyotaka!.

Kila shetani na Mbuyu wake, hata Hitler alikuwa na mazuri alitaka kuunganisha Ulaya yote iwe nchni iwe na Nguvu zaidi kama dola moja! na baadaye aunganishe Dunia yote iwe moja na iwe nguvu zaidi na zaidi kama Dunia ya watu wote chini ya Adolf Hitler. Bahati mbaya hatuhitaji watu kama Adolf Hitlter hapa Duniani; tunahitaji mfumo wa Umoja hatuhitaji utawala wa mtu mmoja huo ndio upuuzi wa Qadhaffi kwa wale msiomgeuza na kumuangalia upande wa pili
 
Rosemarie, kwanza hongera kuanzisha thread ya mambo ya maana hata kama jukwaa silo.Pili hoja ya satelite ni kweli, ila sio dola 500 kwa mwaka, ni dola 500 kwa mwaka, ni dola laki 5!, Yaani ni 500,000.Ila sio hivyo tuu, ametaka kuanzisha muungano wa Africa, United States of Africa ili Afrika iwe na nguvu kuliko Marekani, alipanga kuanzisha Bank of Africa na African Monetary Fund ili bara Africa tusiyategemee haya mashirika makubwa ya fedha ambayo ni ya kibeberu.Kufuatia mipango hiyo, Marekani na kimada wake Uingereza wakaamua Gadafi lazima aondoke!.Its very sad Waafrika hatulioni hili na tunawaacha wafanye wanavyotaka!.
ni kweli kabisa mkuu hawa jamaa hawataki kabisa sisi afrika tuamke na huyu mkuu wa kaya angekuwa ameamka sasa tungekuwa mbali sana kwa nini usiongee dukuduku lako...i hate white than they think...
 
Rosemarie nakusifu kwa kuleta kitu kisichohusisha imani leo,mawazo yako ni mazuri ngoja nikusaidie kidogo,amount ni 5m dollars,na pia alilipa gharama za kutafiti uwezekano wa kuanzisha safaru moja,uendeshaji wa AU asilimia kubwa alikuwa analipa yeye,Libya ilikuwa moja ya nchi isiyodaiwa na mtu,kuna bilioni zaidi ya 150 Ulaya na Marekani za Libya kwenye mabenki na uwekezaji ambazo wanataka kuzipora kwa kisingizio cha capital freeze lakini hazirudi tena kama zile za Iraq,Mabutu na Abacha.

swali nalojiuliza kila siku ina maana viongozi wa kiafrica hawaoni hili?hawawezi kusimama na kumtetea gadafi?nafikiri alikuwa na idea nzuri na africa!
 
swali nalojiuliza kila siku ina maana viongozi wa kiafrica hawaoni hili?hawawezi kusimama na kumtetea gadafi?nafikiri alikuwa na idea nzuri na africa!
Wanaona dadangu lakini viongozi wengi wameshatiwa mfuko tena wa nyuma na kusahaulika,Gaddafi aliwauliza Wazungu kitu kimoja tu na wakashindwa kujibu aliuliza 'katika hela zote zilizopo nje kuna hata dola moja kwenye akaunti lenye jina langu au zote ziko kwenye akaunti za serikali ' ?
 
kutokana na gharama za simu miaka ya 90 africa ilikuwa inailipa ulaya kwa kutumia settlite yao ya Intelsat dola 500 kwa mwaka,
gadafi aliamua kuinunulia africa setilite ili kuondokana na gharama kubwa inayoilipa ulaya kwa mwaka,
hayo mabomu tunayoyaona leo libya ni hasira za wazumgu kuwanyima dola 500 kwa mwaka!

Una uhakika ni dola 500 (dola mia tano tuu)? au umekosea hizo hesabu?
 
Whatever we do Africans shall remain to be slaves for ever whether we like it or not.
 
kutokana na gharama za simu miaka ya 90 africa ilikuwa inailipa ulaya kwa kutumia settlite yao ya Intelsat dola 500 kwa mwaka,
gadafi aliamua kuinunulia africa setilite ili kuondokana na gharama kubwa inayoilipa ulaya kwa mwaka,
hayo mabomu tunayoyaona leo libya ni hasira za wazumgu kuwanyima dola 500 kwa mwaka!

What a silly assumption!
 
Asante kwa topik yako hii murua, lakini nadhani karesearch kadogo labda kangeipa hii mada uzito zaidi. The battle for Libya inavyanzo vingi sana, lakini sidhani kwamba $500 tu ndio sababu ya kutaka kumuondoa huyu Papa Ghadafi. Na mbona huongelei kwa nini baadhi ya walibya wengine hawamtaki? Au, kwa nini baada ya kukaa madarakani kwa miaka 42, anadhani kwamba mwanae ndie anafaa kuiongoza Libya?

Siikatai hoja yako, ingawa nadhani inahitaji maelezo zaidi, lakini nadhani kizazi cha sasa hivi hawakubaliani ya yale mambo ya zamani ambayo Serikali (haswa za kiarabu) zinatoa welfare (Posho) kwa wanancho wao ili wakae kimya inapokuja kwenye mamuuzi muhimu ya mustakabali wa nchi zao. Kipindi kile kimekwisha.
 
USA na washirika wake ni washenzi tu, mafisdi wakubwa wa dunia hii.
Hivi yanayojiri somalia, sudani nk hawayaonei uchungu? leo wanakuja kuonea uchungu watu wanaosoma bure kuanzia a to z, afya almost bure, posho hata kama huna kazi, uhakika wa nyumba na kulipiwa maari. Uchumi imara na kwa manufaa ya wote nk.
Eti kisa freedom to speech ndio wamuone gadafi hafai. HUU NI UPUUZI WA KUTUPWA.
Wengi wetu humu ni wepesi mno wa kukubali propaganda za kimagharibi bila kutumia akilii zetu kuchangamanua mambo.
Hivi udikteta wa Gadafi unaweza kulinganisha na demokrasia ya JK inayosifiwa na US katika maisha ya watu wake.
Nili waamini sana waarabu katika kujisimamia mambo yao lakini hili la kukubali kutumiwa na US na washirika wake kutoa viongozi wao nimewadharau sana.
 
Wasiojua haya mambo mabaya ya watu wa Ulaya na Marekani ndio wanashadadia ghaddaff kuondolewa...yaani ni ujinga mkubwa kumtoa ghadaff madarakani kisa eti anaua watu wake wakati us wanaua kila siku duniani kote...wale waasi wajinga tu majuha hawajui wanatumika baadae watalia...
 
Aise, watalia au watauawa?
 
Rosemarie, kwanza hongera kuanzisha thread ya mambo ya maana hata kama jukwaa silo.

Pili hoja ya satelite ni kweli, ila sio dola 500 kwa mwaka, ni dola 500 kwa mwaka, ni dola laki 5!, Yaani ni 500,000.

Ila sio hivyo tuu, ametaka kuanzisha muungano wa Africa, United States of Africa ili Afrika iwe na nguvu kuliko Marekani, alipanga kuanzisha Bank of Africa na African Monetary Fund ili bara Africa tusiyategemee haya mashirika makubwa ya fedha ambayo ni ya kibeberu.

Kufuatia mipango hiyo, Marekani na kimada wake Uingereza wakaamua Gadafi lazima aondoke!.

Its very sad Waafrika hatulioni hili na tunawaacha wafanye wanavyotaka!.

Yameshatumika mabilioni ya pesa na kutia hasara kubwa kwa nchi ya Libya kutaka kumuondoa Ghadafi madarakani kwa kampeni iliyodhaniwa kwamba ingechukua wiki mbili tu. Sasa mwezi wa tatu jamaa bado "yuko madarakani". Pamoja na kuwa sikubaliani na Ghadafi lakini hao wengine nao ni wauaji tu kama Ghadafi. Kule ICC ghadafi anatafutwa kwa udi na uvumba kwa kile kinachoitwa "crime against humanity" lakini sijui kuna tofauti ipi Ghadafi akiua Wananchi wake na bomu la "nanihii" ambalo lilikuwa limelengwa ili kumua ghadafi au majeshi yake likakosea njia na kuua raia ambao hawana hatia yoyote ile. Hii ndio dunia yetu iliyojaa undumilakuwili wa hali ya juu akiua Ghadafi ni crime against humanity lakini wengine wakiua basi hakuna tatizo lolote lile hawa ni wateule maalum walioruhusiwa kuchukua uhai wa binadamu chungu nzima bila kuwa na wasiwasi wa kubebwa mzobemzobe mpaka kule ICC ili kujibu tuhuma zao za mauaji ya raia wasio na hatia.
 
gholizadeh20110709095654857.jpg

Jul 9, 2011 9:57AM

Libyan long-time ruler Muammar Gaddafi remains defiant, saying his regime will not collapse under pressure from NATO airstrikes.

"The regime in Libya will not fall -- it is based on the people, not on Gaddafi. NATO is wrong if it thinks it can topple the regime of this country," Gaddafi was quoted by AFP as saying on Friday.

He made the remarks in an audio message relayed to thousands of supporters in Sabha, some 750 kilometers (450 miles) south of Tripoli.

"This gathering of more than a million people is a new message to Europe, to the crusaders and colonialists: the regime does not belong to Gaddafi, it is the people's regime and the people will not give up an inch of its land or bow down to invaders" Gaddafi added.

The Libyan ruler once again threatened to carry out retaliatory attacks on Europe for waging a war against Libya but stated a chance will be given to European countries to "come to their senses."

He reiterated that resistance is the only option in front of Libyans and urged NATO to halt attacks on his troops. He added that the fate of Libyan people should be left to their own decisions.

Gaddafi said the Western powers seeking to exploit Libya's oil are creating trouble for the Libyan people
.

Komredi Kaddaf Hakurupuki, anawapa muda wajifikirie ( US,UK,France maana ndio wameamua kuiabisha NATO) kwa wanachokifanya. Muda huo pia ni kwa wananchi wa Ulaya kupima yale viongozi wao wanayofanya kama wanaridhika nayo au la, ili wakati Komredi atakapoamua kuwatandika
wananchi hao wasilalamike kuwa walikuwa hawajui kinachoendelea.

PressTV - Libyan regime will not fall: Gaddafi
 
Back
Top Bottom