Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
teh teh asante sana Nonda, J-mushi na mpiga kelele kwa kusimama imara kuwajuza watu juu ya hizi habari za Libya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USHINDI WA WAAFRIKA WA LIBYA DHIDI YA NaTo
teh teh asante sana Nonda, J-mushi na mpiga kelele kwa kusimama imara kuwajuza watu juu ya hizi habari za Libya...

Mkuu unategemea Chavez atabadilisha msimamo pia? Au nae amepotoka kwa kupinga uhalifu unaofaywa na US-NATO huko Libya na kwa Gaddafi? Ile ndoto ya African Monetory fund na benki za Afrika ndio inazimwa.....ukoloni unaendelea na sisi wenyewe ndio tunafurahia.. kazi kweli kweli.
Mkuu naona naona teh teh nyingi kwa sana. Just make sure that just in case Nonda na J-Mushi wakibadilisha msimamo kama AU na wewe utabadilsiha. Ni ngumu sana kuwa trust Waafrika.
Ni ngumu sana kuwa trust Waafrika.
Despite all that the African Union (AU) has recognised Libya's interim leaders the National Transitional Council (NTC) as the country's de facto government. This is even the fact that NATO has extended its stay in Libya for another three months. Hivi wale mliokuwa mnaisapoti AU kwa kutoitambua NTC mnasemaje sasa? Kazi kweli kweli.
Mkuu naona naona teh teh nyingi kwa sana. Just make sure that just in case Nonda na J-Mushi wakibadilisha msimamo kama AU na wewe utabadilsiha. Ni ngumu sana kuwa trust Waafrika.
Huna lolote la maana!askari kanzu alikuja na mashamsham na vurugu akiwa habari kuwa mtoto wa Gadaffi sheikh Khamis ameuwawa.
lakini kamanda Nonda akamtuliza chini kisha akampa ushahidi kuwa Sheikh Khamis yuko hai na Salama.
Kesho yake Channel zake zikamuonyesha kisha akapotea nywiiii kama Konokono aliyemwagiwa chumvi.
Then ktk kupitapita kwake huko akatujia na Habari kuwa watoto watatu watukutu wa Kiongozi wa Libya anayetambuliwa mpaka na Mungu yaani Kanali Gaddafi wamekamatwa.
Then Kama kawaida GENERALI Nonda akamtuliza chini kisha akamueleza ukweli kuwa watoto wako hai na hawajakamatwa na Mbwa koko yeyote.
Na haikuishia hapo makamanda wakaonekana ktkt ya Tripoli wakiwa na mamia kama si maelfu ya wapambanaji wakiwa wenye afya njema.
then ndugu yako Askari kanzu akaingia chaka na kukauka nywiiiiii kama duduwasha aliyedokolewa.
Hakuishia hapo ndugu yangu huyu askari kanzu akakurupuka tena na habari za kuuawa kwa mara ya pili kwa Khamisi Gadaffi, ila safari hii hakuna aliyehangaika nae kwani nahisi siku ileile Khamisi alijitokeza na kumuumbua.
Baba huyu kahuishia hapa kwani alikuja kivingine na kisha akaanzisha Thread inayosema kuwa ''GADAFI KWISHA HABARI YAKE...WAASI SASA WAMEMZINGIRA''...
Tangu mwezi huu umeanza Gadaffi kazingilwa mpaka leo, na ndugu yangu askari kanzu sijamsikia kufumuka tena kutueleza kuwa Ghadafi amekimbia au bado kazingirwa.
So kwa kifupi mi nikionaga posti ya Askari Kanzu kwanza huwa nacheka then namkumbuka Al-Saaf yule waziri wa Habari wa Serikali ya Hayati Rais Saddam Hussein al-tikrit.
Kwani style zao za porojo ni mlemle yani
In order to show the world a scene of victorious rebels celebrating the conquest of Tripoli in Green Square, a set resembling Green Square was built in Doha, Qatar, but some significant details in the architecture of its ancient buildings were omitted. Unfortunately, the images in this collage have been "stretched" to fit a rectangular frame. An "unstretched" photo of the real Green Square is shown beneath the videos at the end of this story.Apo unamlenga nani?UONGO HUU WA AL-JAZEERA ULIUGUNDUA ?...
Apo unamlenga nani?
Nimeridhika na jibu, asante!... Swali lingine mkuu!?